babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Yaani Naislums ni kawaida sana kukuta mito inayotiririsha maji ya vinyesi, ukifuatilia chanzo cha mto unakuta ni maji ya chooni. [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Halafu wanapanda mboga mboga kando ya mto wa kinyesi.
Halafu wanapanda mboga mboga kando ya mto wa kinyesi.