Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo yani sisi tumeshindwa kukaripiana na kuwajibishana sisi Kwa sisi au mama hataki lawama za kuonekana anwaendesha watz

Sasa jitu kama lizembe si linaburutwa na kama vipi Lina wekwa kando

Au dp world wakija wanafukuzaa wafanyakazi wote hapo bandarini

Hapa inaonekana mfumo wetu wakielimu umekaa kibiashara sana na sio kutoa wajuvi yaani mtu unaweza kuwa gpa Kali alafu maajabu zero
Mkuu, huko Uingereza ambako pia DPW wamekabidhiwa bandari kuziendesha, pia mfumo wao wa elimu sio mzuri?. Watu Kama ninyi wenye kupenda Kulalamika bila sababu za msingi ndio tatizo kubwa la Afrika.
 
Watanzania sisi 80% ya work force ni underperformers! Sio serikali wala sekta binafsi!!
Hali ya utendaji wa kazi na kupata desired results ni ngumu sana nchi hii!
 
Kwahio kisa Balozi Slaa kapendekeza ndo umeona ni wazo zuri?

Wanipe hata mim.. kuimanage TPA ni simple tu. Na sijui kwanin mnapenda kuwahusu watu wa nje na kujiunderestimate sisi wenyew.
Kiufupi, sisi tunafeli kwenye kuingiza siasa kwenye professionalism za watu. Ona sasa mbobezi Dr Matarajio katolewa TPDC, kawekwa sijui mtu gan. Pia tatizo lililopo kila kiongozi anawaza kupiga, kwasababu anajua kuna namna atalindwa

Mim hizi taasis zetu wangefanya haya yafuatayo tungepiga hatua parefu bila kushirikisha wazungu
1. Wakurugenzi wakuu au tuseme top leader wa taasis yeyote wapewe mkataba wa miaka 3.. 'renewable' kwa vipindi hata tano au zaid(yan yule mzuri aendelee kukaa hapo mda mrefu)
2. Yeyote atakapatikana na rushwa au ufisadi, taifisha mali zake zote, tusioneane huruma hata kama ni ndugu yako.. pia hata wakificha.. kbl ya kushika madaraka, andikisha mali hata za ndugu wawili, ndugu yao akifanya madudu hata mali zao zitaifishwe..
3. Tusioneane huruma hata kama kupitia huyo MD, wew una kamrija unapata.
4. Na mengineyo

Tukifanya hiv tutafika mbal bila hata hao wazungu mnaowahusu wakat elimu yao ndo hiohio tuliyonayo

Mim sikuzote ni mmojawapo ninaoamin hawa wazungu hawana kitu kutuzidi, nimeishi nao, nimesoma nao, nimekaa nao. Nashangaaga sana nikiona sehem mgeni mzungu anahusudiwa, wakat mwingine unakuta ni kilaza wa mwisho huko alikotoka, ila akija huku mnamnyenyekea. Dah, huzuni
 
5. Vetting process strictly based on qualifications kwenye ku-hire DGs na si zisiwe nominations za Rais!
 
Watanzania sisi 80% ya work force ni underperformers! Sio serikali wala sekta binafsi!!
Hali ya utendaji wa kazi na kupata desired results ni ngumu sana nchi hii!
Sio underperformers.. ni mfumo wa kuleana hovyohovyo na mambo ya kisiasa. Mf, Dr Matarajio wametoa TPDC.. lkn huyo akipata kitengo nje ana uwezo wa kuleta mafanikio makubwa sana. Wenzetu wanaangalia professionalism, huku tumejaa siasa tu na upigaji.. kila Rais ana mtu wake imrad tu apate vimrija vya kupiga yey na wenzake.

Kwenye hio 80% bila shaka na mim nipo 😂.. lkn naona hata hao wazungu mnaowaleta nimewazidi uwezo
 
Back
Top Bottom