Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ndio unavyojiongopea.?Nairobi = (dar+mwanza+arusha+Dodoma)²
Ndio unavyojiongopea.?Nairobi = (dar+mwanza+arusha+Dodoma)²
Hiv viwanda vidogo vidogo sanaUtasikia sisi Tanga tuna viwanda serious 😁😁 cc Sama boy 255
View attachment 2655877View attachment 2655878View attachment 2655879View attachment 2655880
Kwaiyo unapinga hiyo ripoti sio ya kweli sio?, Wapi WB imekanusha?,.Bado umekwamilia ripoti ya (WB) ambayo imekua debunked kama ya upotoshaji au kisa imeiweka dar port juu ya Mombasa!? Huwezi kusoma majira ukaona kwanini ni dar port inauzwa na sio Mombasa. Hata hio Djibouti Nina mashaka nayo lazima mchina anaifyonza.
Hilo linyang'au halitaki kukubali kuwa liinchi lake linaporomoka kwa kasi ya ajabu🤣Kwaiyo unapinga hiyo ripoti sio ya kweli sio?, Wapi WB imekanusha?,.
![]()
TRT Afrika - Tanzanian port surpasses Kenya in world rankings
Kenya's Port of Mombasa has experienced a decline in the number of cargo volume as vessels opt for the neighbouring Port of Dar es Salaam in Tanzania.www.trtafrika.com
Nunua Azam tv ung'arishe macho! Wenzio wanaililia Azam TV. Ije kuwakomboa!!Kwa viwanja vipi, ebu tuonyeshe tulinganishe.
Kwa hiyo yani sisi tumeshindwa kukaripiana na kuwajibishana sisi Kwa sisi au mama hataki lawama za kuonekana anwaendesha watzKwasababu hiyo ya uzembe na ukiritimba uliokithiri serikalini, ndio sababu serikali inatafuta wabia Ili waende she hiyo bandari.
sio kwa mara ya Kwanza Air France, Lufthansa na British Airways zilikuwa zinakuja Bongo!
Kama vile sportpesa ilivyowateka, kenya ni baba yenu milele🤣🤣Nunua Azam tv ung'arishe macho! Wenzio wanaililia Azam TV. Ije kuwakomboa!!
Kwan sport pesa ni ya kenya ?? 😅😅😅 au kila kizuri duniani ni chenuKama vile sportpesa ilivyowateka, kenya ni baba yenu milele🤣🤣View attachment 2655987
Mukifika level hzi unitag mm 😅😅😅Kama vile sportpesa ilivyowateka, kenya ni baba yenu milele🤣🤣View attachment 2655987