Kama kawaida yenu kupenda kudanganya, Nkurunzinza hajawahi kufika Nairobi kutafuta matibabu, ni mke wake ndiye aliyekuja Nairobi wakati mumewe alibaki Burundi na kufariki
"We have never denied that" ... Yeah right 🤣🤣🤣
Nairobi has its issues we have never denied that like you but look at your numbers.....smh
Bro, Kenyans huwa wanatabia za kujisifia kwenye suala la investments in real estates, we last month kwenye kufanya research zangu .. nikagundua baada ya SA hakuna taifa in Sub Saharan Africa linaeza rival Namibia.. take a look 👇. Afrika kuna mataifa yameendelea bhanaAtleast Bongo ifike Level hizi za Johannesburg.
Sio takataka za flying toilets with filthy stinking cholera infested streets,
Mji watu wanakunya kwa plastic bags and throw away
See how J’burg looks like
View attachment 2655104
Nilijua utalipuka. Huyo jamaa anashutumu kwamba Kuna rushwa ilifanyika baada ya kufa Magufuli Ili watu wapige pesa, anatoa shutuma bila ushahidi wowote, ndio ninemuuliza hayo maswali, hukupaswa kupanic na kutoa matusi, ungekua na busara, ungesaidia kumuambia huyo bwana athibitishe madai yake dhidi ya rais.Ficha upumbavu!
Kaka nilisikiaga kundustan walikuja kuomba flight cargo yetu ikifika iwe inabeba na mizigo yao,ni kweli?Nyie mnazo ngapi.
Mkuu, hata Mimi pia ninataka vitu viwe vizuri, ninachukia Rushwa, lakini ninachukia zaidi kutoa lawama na shutuma na kuwapakazia watu bila kuwa na ushahidi wowote, Kumbuka yaliyomkuta Cyprian Msiba, mkuu kuwa makini na chunga Sana mdomo wako.Ushahidi gani unataka wewe? are you dead, don't you have eyes and brain to perceive and figure out?
Hzi behewa unafikiri nataka nikaweke chumbani kwangu? wewe huoni nyaya zinaning'inia?? tunataka kilichokizuri kwa wote na sio huu ujinga wakati hela zimetumika.
Amin mkuu,hao dp watawanyoosha kundustan kisawa sawaAcha kuweweweka subiria moto wa Dar Port,naona Wakunya walifanya sana Kampeni ya kupotosha ila imewakata.
Ruto ameshaanza kuweweseka baada ya kusikia kishindo Cha DP World
![]()
President Ruto revives plans to lease five ports in Sh1.4trn U-turn
President William Ruto’s administration will lease the operations and management of five critical ports.www.businessdailyafrica.com
Lengo nikukuonyesha uongo uliodai kwamba Nkurunzinza na Magufuli walifia Kenya. Sasa umegundua kwamba ninyi ni waongo?Bibi na kijana wake walitibiwa wapi Hadi wakapona?
Mbona hawakuwa airlifted to dar na ni karibu???
Bandari haijauzwa!! Wala mkataba bado! Mbona mmeng'ang'ania vitu vya ajabu!!Kama kweli hawa DW wanajali uhuru wa wananchi mbona hawatetei malalamiko yao kuuzwa kwa bandari?
Eti ushahidi ni macho yake,Kataneni shingo basi maana hicho mlichokipata ndio kinaendana na pesa mliyolipa..
Kama hakuna value for money CAG afanye uchunguzi ikibainika ni kweli basi washughulikiwe



Africa Kuna watu wana vichwa vigumu Sana.Bandari haijauzwa!! Walamkaba bado! Mbona mmeng'ang'ania vitu vya ajabu!!
Ndio maana yake mkuu. Ukiacha hilo wanajua pia ujio wa hii ndege itaua biashara ya ya horticulture wanajua fika mazao mengi wamekuwa wakinunua kutoka Tz zen wao wanafanya packaging kupeleka ulaya na kwingineko, sasa wameomba ushirikiano huo ili kulinda maslahi yao ila tumewastukia.Kaka nilisikiaga kundustan walikuja kuomba flight cargo yetu ikifika iwe inabeba na mizigo yao,ni kweli?
Kuna video niliiona humu wakiwa dar kuleta maombi yao,kama unayo ni dm kakaNdio maana yake mkuu. Ukiacha hilo wanajua pia ujio wa hii ndege itaua biashara ya ya horticulture wanajua fika mazao mengi wamekuwa wakinunua kutoka Tz zen wao wanafanya packaging kupeleka ulaya na kwingineko, sasa wameomba ushirikiano huo ili kulinda maslahi yao ila tumewastukia.
Niliifuta ile mkuu.Kuna video niliiona humu wakiwa dar kuleta maombi yao,kama unayo ni dm kaka
Mkuu, hata Mimi pia ninataka vitu viwe vizuri, ninachukia Rushwa, lakini ninachukia zaidi kutoa lawama na shutuma na kuwapakazia watu bila kuwa na ushahidi wowote, Kumbuka yaliyomkuta Cyprian Msiba, mkuu kuwa makini na chunga Sana mdomo wako.
Mkuu, tunaomba ushahidi.With all due respect, that's poppycock!
It seems you don't even know corruption in its broadest sense. Have you ever heard of moral and/or intellectual corruption? Go and study these types of corruption, you will know that this government is rotten and stinks of corruption to the core.
Sio kila kitu uchangie, vingine kaa kimya. Itakulindia heshima.