Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This pic
tapatalk_1686550280605.jpg

Access road+ trees+ 2×2 highway (separated by trees)+trees+ rail+trees+walk path+trees+ access road
 
Waongoze kasi za viwanda sema serikali inazingua sana

Viwanda viwe vingi mbalimbali wasiishie hicho cha pombe ili wakulima wauze kwa sana malighafi ndani na nje hapo tunapunguza ku import . Hizi nido, blueband , nakadhalika .

Hapo inakuwa game over
Private sector ndio wanajenga sio Serikali.
 
Huyo nae ana ubishi wa ajabu sana. Hela nyingi zimepigwa na wakina Kadogosa kwakua wale Eurowagons walitakiwa kuzifanyia marekebisho ziwe kama hizo pichani, walipochelewa na Magufuli kafa, fasta wakachukua tenda na kufanya uhuni wa kuleta wagons ambazo ndani wires zinaning'inia.
Una ushahidi?, Kwahiyo unataka kumshutumu Samia Suluhu Hassan kushindwa kusimamia vizuri baada ya Magufuli kufariki?, au unataka kusema Makame Mbarawa aliletwa makusudi na SSH Ili kuja kumuwezesha mama Samia aweze kupiga pesa vizuri kwa sababu ni mzanzibar mwenzake?
Geza Ulole
 
Back
Top Bottom