joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwasababu nimemgusa SSH, Wacha unafiki mkuuAgain ficha upumbavu!
Kwasababu nimemgusa SSH, Wacha unafiki mkuuAgain ficha upumbavu!
Kama tuliweza kuiboresha bandari na kuongeza ufanisi sisi wenyewe bila ya mwekezaji, kulikuwa na shida gani kuboresha changamoto ndogo ndogo mpaka kutafuta mwekezaji mwingine? Miaka 30 ya TICS walichimba hata cm moja ya kina?
Hayo majengo yasije yakaporomoka 🤣🤣
Kwasababu nimemgusa SSH, Wacha unafiki mkuu
Mkuu nlikuwa Jburg siku kadhaa za huko nyuma, nlifikia Hotel Moja iko pale Sandton,
nikamchukua taxi mmoja anipeleke Soweto kuna ndugu yangu huko , toka Sandton hadi Soweto ni almost 50kms , na barabara zote ni dual carriage. nikampa option ya walau kunizungusha Soweto ,
Nilizungushwa extensions kadhaa za Soweto ,
Imagine nlizunguka na Yule Taxi kwa karibu masaa matatu na nikampa Rand 400 tu, halafu akanisimulia namna anakutana na wabongo wengi wanaoenda South Africa, mwamba ni mtu mzima kiaina ila ni mtu Poa sana (ukitaka contacts pm )
Niseme tu kuwa Soweto sio Slum kama hawa Wakundustan wasio na exposure wanavyodhani,
Soweto pekee ni kama nusu ya mji wa Nairobi wote ,
Soweto ina mitaa yote 100% imepigwa lami na mitaa ipo clear na huduma zote za maji na umeme zipo ( japo wanacomplain mambo ya blackouts)
Kitu pekee nilielewa Kundustan ni failed state ni vile nipoona gharama za bia, chakula na bidhaa Sandton ni cheaper kuliko naikundu,
Kenya is a failed state, That’s it;
Ukipata hela nenda kanywe bia Sandton ,
Kule local beer kama Castle ni around 1.2USD na msosi full ni kama 10$ plus pisi za pale Sandton ni kali mno na haziringi na ni karimu sana, Asante sana kwa ile pisi inaitwa Khumbutso Hakika ilinipa kampani mno.
Naahidi kutimiza ahadi yangu ya kuileta hii pisi kunako zenji kama ilivyo mujibu wa ombi lake.
Nimeenda nairobi mara kibao ila safari yangu ya Jburg imenifanya nijifunze mambo mengi sana , pale OR Tambo International airport pekee patakujibu maswali yako yote , halafu utaambiwa bado that’s not even the biggest Airport in SA.
Hitimisho: Kundustan ni nchi ya hovyo. a typical failed state.









NAIKUNDU 
Mkuu, ninakushauri ingia YouTube Sikiliza malumbano ya hoja kati ya Halima Mdee na Spika Tulia Akson, pia Sikiliza mchango Prof.Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe, ninaamini utapata kujua kwa upana na marefu.Mkaushie huyo mzee baba au nenda nae hivyo hivyo. Ila tuwekane sawa suala la DPW. kilichopitiswa na bunge ni kuanza mazingumzo au? Na kama ni hivyo barua ambazo zina sahini ya mbalawa za mwezi wa 10 mwaka jana zilikua na lengo ngani? Je kusikikiza kwako bunge na kumsikiliza zitto kuna sehemu umesikia wameshauri chochote kitakachojadiliwa au wamebaliki yaliyo kwenye mkataba wa awali?
Kocha mchezaji!Masikini akipata....Simba tulishawahi kuwa na makombe matatu mwaka 1993, kipindi kicho tukiwa na kocha mchezaji Hassan Hafif, sijui hata kama umewahi kumsikia.
Mkaushie huyo mzee baba au nenda nae hivyo hivyo. Ila tuwekane sawa suala la DPW. kilichopitiswa na bunge ni kuanza mazingumzo au? Na kama ni hivyo barua ambazo zina sahini ya mbalawa za mwezi wa 10 mwaka jana zilikua na lengo ngani? Je kusikikiza kwako bunge na kumsikiliza zitto kuna sehemu umesikia wameshauri chochote kitakachojadiliwa au wamebaliki yaliyo kwenye mkataba wa awali?
Ghorofa za udongo. Ujenzi juakali sn huu sijui mnaupendeaga nn au ndio pesa hakuna.
Ameumia😂😂😂Ghorofa za udongo. Ujenzi juakali sn huu sijui mnaupendeaga nn au ndio pesa hakuna.
Sports Club VillaKocha mchezaji!
Kuna ile club ya Uganda alikuwa akichezea yule mchezaji mkali sana Majid Musis. Nini .....Villa, sijui.
Tatizo lipo kwenye usimamizi na wala siyo uwekezaji, mbona tuliweza kuboresha bandari zetu zote bila ya wawekezaji, bandari ya Tanga ilikuwa imekufa lakini sasa meli zinakuja. Kwenye reli waliletwa wawekezaji kutoka India wakaishia kuiua, serikali hiyo hiyo iliweza kuifufua reli ya Tanga na Arusha. Utaona hapa usimamizi ndiyo tataizo.Mkuu, mawazo Kama hayo kuwepo katika jamii, ndio sababu serikali inalazimika kupeleka bungeni Ili kutoa ufafanuzi kwanini inataka kufanya hivyo, bunge likielewa na kukubaliana na serikali litapitisha, lisiporidhika litakataa.
Kikao Cha bunge siku ya Jumamosi iliyopita kilikua ni mahususi kwa ajili ya jambo hili, na kilikua kikao Cha moto kweli, ungekisikiliza, nadhani ungepata majibu ya swali lako. Ila kwa ufupi ni kwamba viwanda vingi hapa nchini na nchi mbalimbali duniani vilijengwa na serikali lakini vinaendeshwa na wabia mbalimbali, Kagera sugar, Bank ya NBC, Kiwanda Cha Cement Tanga, BRT, na vingi vinginevyo. Hivi mkuu kwanini Yanga na Simba wanaleta makocha wa kigeni wakati tunao makocha wa ndani?
Kenya is not an Arabic country where they paint everything.....Who said building stones must be painted.....nyinyi ndio mnaishi the year 1800 .....Ghorofa za udongo. Ujenzi juakali sn huu sijui mnaupendeaga nn au ndio pesa hakuna.