Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africa kusini ina interests gani mpaka wanataka kuja kuwekeza kwenye mradi wa pesa ndefu kiasi hiki?
Screenshot_20230612-054040.jpg

Wameshindwa kushindana na Mombasa port wakaona wamuuzie DP, kitawaramba watanzakundu🤡

Acha kuweweweka subiria moto wa Dar Port,naona Wakunya walifanya sana Kampeni ya kupotosha ila imewakata.

Ruto ameshaanza kuweweseka baada ya kusikia kishindo Cha DP World
 
Africa kusini ina interests gani mpaka wanataka kuja kuwekeza kwenye mradi wa pesa ndefu kiasi hiki?
View attachment 2654592

Hiyo reli ya mtwara mbamba bay ni hot cake kwasababu ya bandari ya mtwara na mines huko kusini mwa Tanzania makaa ya mawe, chuma nk na pia mizigo ya nchi jirani. Hii reli ni highly viable project ndio maana wanaikimbilia sana.
 
Unaachaje mradi wa LNG Lindi na Mozambique?
Pia Ina connectivity ya Nchi nyingi.
 
Back
Top Bottom