Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, tunaomba ushahidi.

Hizo nyaya zinazo onekana zikining'inia ni sehemu za kupachika Screen za Kuonyesha vituo.

Kuhusu hizi nyaya nilikutumia post muda tu, nayajua haya makitu vizuri tu. Na geza emekuoneshea picha ya jinsi yalitakiwa yawe baada ya kufanyiwa ukarabati na sio yalivyo sasa.

Umetumiwa picha za kila aina ya jinzi hizo behewa zilitakiwa kuwa baada ya kukarabatiwa na hizi chini picha nyingine za zilizo karabatiwa. Behewa hazina hata meza, wewe vipi? usilazimishe wengine wakubaliane na wewe kwakua tu ni mshamba.

Attachments

  • 1686587425009.png
    1686587425009.png
    154.4 KB · Views: 29
Kuhusu hizi nyaya nilikutumia post muda tu, nayajua haya makitu vizuri tu. Na geza emekuoneshea picha ya jinsi yalitakiwa yawe baada ya kufanyiwa ukarabati na sio yalivyo sasa.

View attachment 2655199

Umetumiwa picha za kila aina ya jinzi hizo behewa zilitakiwa kuwa baada ya kukarabatiwa na hizi chini picha nyingine za zilizo karabatiwa. Behewa hazina hata meza, wewe vipi? usilazimishe wengine wakubaliane na wewe kwakua tu ni mshamba.

Mkuu umeona hiyo clip Kadogosa anasema kuwa kutakuwepo na TV za kuonyesha vituo, na hizo sehemu ambazo nyaya zinaonekana ni sehemu ambazo tayari Kuna vyuma vya kushikilia TV, nadhani hata wewe unaona.

Mkuu, kwani zile behewa mpya Kuna meza katika Kila kiti?, Kawaida katika behewa hizi, kunakuwepo na meza Moja au mbili katikati ya behewa, na katika hiyo meza huwa viti vinakuwa vikiangaliana, hata kwenye hayo mabehewa Kuna meza tazama vizuri kabla ya Kulalamika.

Pamoja na hayo yote, huna ushahidi wowote wa kuthibitisha kuwepo kwa rushwa hata Kama meza hakuna, inawezekana hao wataalamu wetu waliomba zitolewe Ili kuongeza idadi ya viti( who knows?).

Mkuu, mambo haya ya kushutumu watu kwa kudhaania na kutumia fikra zako binafsi, ndiko kulikomuweka Cyprian Musiba matatani, alishindwa kuthibitisha mahakamani, japo alikua akizungumza kwa kujiamini na uhakika zaidi ya wewe. Mkuu chunga Sana ulimi wako.

Mkuu, nionyeshe hizo meza hapa kwenye hizi trains
 
Bandari haijauzwa!! Wala mkataba bado! Mbona mmeng'ang'ania vitu vya ajabu!!
Africa Kuna watu wana vichwa vigumu Sana.
Hatuna tatizo na uwekezaji, bali uwazi wa mikataba, watanzania tunataka kujua muda wa mkataba, na masharti ya kuvunjwa kwa mkataba kama tukishindwana mbele ya safari. Ni kwa nini hayo hayajawekwa wazi kwa wananchi? Ndiyo maana watu wanakuja na hitimisho la kuuzwa.

Si Mbarawa wala Azim Dewji aliyefafanua kuhusu muda wa mkataba, tena Dewji (namuheshimu sana huyu mfadhili wetu wa zamani wa Simba, ila hili hapana) ameenda mbali na kusema, eti serikali haitakiwi kuelezea yote yaliyo kwenye mkataba kwasababu wengine (zaidi ya DP World) wanaweza kuwapiku , sasa kupikuana si ndiyo demokrasia yenyewe, au nyinyi mmekuwa hamuanini tena katika demand and supply?
 
Hatuna tatizo na uwekezaji, bali uwazi wa mikataba, watanzania tunataka kujua muda wa mkataba, na masharti ya kuvunjwa kwa mkataba kama tukishindwana mbele ya safari. Ni kwa nini hayo hayajawekwa wazi kwa wananchi, ndiyo maana watu wanakuja na hitimisho la kuuzwa.

Si Mbarawa wala Azim Dewji aliyefafanulia kuhusu muda wa mkataba, tena Dewji (namuheshimu sana huyu mfadhili wetu wa zamani wa Simba, ila hili hapana) ameenda mbali na kusema, eti serikali haitakiwi kuelezea yote yaliyo kwenye mkataba kwasababu wengine (zaidi ya DP World) wanaweza kuwapiku , sasa kupikuana si ndiyo demokrasia yenyewe, au nyinyi mmekuwa hamuanini tena katika demand and supply?
Mkuu, mbona umeambiwa bado hakuna mkataba ulikwisha ingiwa kati ya Tanzania na hao DPW?, Sasa huo muda wa mkataba utatoka wapi Kama mkataba wenyewe bado haupo?. Mkuu umemsikiliza Zitto kwa makini?, umefuatilia mjadala wa bunge vizuri?.
 
Mkuu, mbona umeambiwa bado hakuna mkataba ulikwisha ingiwa kati ya Tanzania na hao DPW?, Sasa huo muda wa mkataba utatoka wapi Kama mkataba wenye bado haupo?. Mkuu umemsikiliza Zitto kwa makini?, umefuatilia mjadala wa bunge vizuri?.
Mbona wametumia nguvu nyingi kutuelezea faida za huo uwekezaji kabla ya mkataba kusainiwa? Tutajuaje kama makataba utahusisha hizo faida?
 
Kuhusu hizi nyaya nilikutumia post muda tu, nayajua haya makitu vizuri tu. Na geza emekuoneshea picha ya jinsi yalitakiwa yawe baada ya kufanyiwa ukarabati na sio yalivyo sasa.

Umetumiwa picha za kila aina ya jinzi hizo behewa zilitakiwa kuwa baada ya kukarabatiwa na hizi chini picha nyingine za zilizo karabatiwa. Behewa hazina hata meza, wewe vipi? usilazimishe wengine wakubaliane na wewe kwakua tu ni mshamba.

Mkuu, onyesha TV na meza katika hizi train za ghorofa

Wewe na Mimi nani mshamba?
 
Mbona wametumia nguvu nyingi kutuelezea faida za huo uwekezaji kabwa ya mkataba kusainiwa? Tutajuaje kama makataba utahusisha hizo faida?
Lengo la serikali ni kutafuta muwekezaji kuiendesha hiyo bandari baada ya waendeshaji waliokuwepo kumaliza mkataba wao(TICS), serikali inalazimika kabla ya kufanya hivyo, kupeleka bungeni Ili bunge liridhie.

Wakati serikali inaomba bunge liridhie, ndio kelele zikaanza, wapotoshaji wakasema bandari imeuzwa, serikali ikalazimika kutumia nguvu kubwa kuwaelimisha wananchi ambao tayari walikua katika taharuki na hamaki kubwa.

Serikali ingeweza kunyamaza na kuendelea na hiyo azma yake hata bila kutumia nguvu kuwaelimisha wananchi na hakuna lolote lingeweza kuizuia kufanya hivyo, lakini lengo ni kuhakikisha wananchi wanaelewa ukweli.
 
Bro, Kenyans huwa wanatabia za kujisifia kwenye suala la investments in real estates, we last month kwenye kufanya research zangu .. nikagundua baada ya SA hakuna taifa in Sub Saharan Africa linaeza rival Namibia.. take a look [emoji116]. Afrika kuna mataifa yameendelea bhana

Mkuu nlikuwa Jburg siku kadhaa za huko nyuma, nlifikia Hotel Moja iko pale Sandton,
nikamchukua taxi mmoja anipeleke Soweto kuna ndugu yangu huko , toka Sandton hadi Soweto ni almost 50kms , na barabara zote ni dual carriage. nikampa option ya walau kunizungusha Soweto ,
Nilizungushwa extensions kadhaa za Soweto ,

Imagine nlizunguka na Yule Taxi kwa karibu masaa matatu na nikampa Rand 400 tu, halafu akanisimulia namna anakutana na wabongo wengi wanaoenda South Africa, mwamba ni mtu mzima kiaina ila ni mtu Poa sana (ukitaka contacts pm )

Niseme tu kuwa Soweto sio Slum kama hawa Wakundustan wasio na exposure wanavyodhani,
Soweto pekee ni kama nusu ya mji wa Nairobi wote ,
Soweto ina mitaa yote 100% imepigwa lami na mitaa ipo clear na huduma zote za maji na umeme zipo ( japo wanacomplain mambo ya blackouts)
Kitu pekee nilielewa Kundustan ni failed state ni vile nipoona gharama za bia, chakula na bidhaa Sandton ni cheaper kuliko naikundu,

Kenya is a failed state, That’s it;
Ukipata hela nenda kanywe bia Sandton ,
Kule local beer kama Castle ni around 1.2USD na msosi full ni kama 10$ plus pisi za pale Sandton ni kali mno na haziringi na ni karimu sana, Asante sana kwa ile pisi inaitwa Khumbutso Hakika ilinipa kampani mno [emoji120].
Naahidi kutimiza ahadi yangu ya kuileta hii pisi kunako zenji kama ilivyo mujibu wa ombi lake.

Nimeenda nairobi mara kibao ila safari yangu ya Jburg imenifanya nijifunze mambo mengi sana , pale OR Tambo International airport pekee patakujibu maswali yako yote , halafu utaambiwa bado that’s not even the biggest Airport in SA.
Hitimisho: Kundustan ni nchi ya hovyo. a typical failed state.
 
Lengo la serikali ni kutafuta muwekezaji kuiendesha hiyo bandari baada ya waendeshaji waliokuwepo kumaliza mkataba wao(TICS), serikali inalazimika kabla ya kufanya hivyo, kupeleka bungeni Ili bunge liridhie.

Wakati serikali inaomba bunge liridhie, ndio kelele zikaanza, wapotoshaji wakasema bandari imeuzwa, serikali ikalazimika kutumia nguvu kubwa kuwaelimisha wananchi ambao tayari walikua katika taharuki na hamaki kubwa.
Kama tuliweza kuiboresha bandari na kuongeza ufanisi sisi wenyewe bila ya mwekezaji, kulikuwa na shida gani kuboresha changamoto ndogo ndogo mpaka kutafuta mwekezaji mwingine? Miaka 30 ya TICS walichimba hata cm moja ya kina?
 
Nilijua utalipuka. Huyo jamaa anashutumu kwamba Kuna rushwa ilifanyika baada ya kufa Magufuli Ili watu wapige pesa, anatoa shutuma bila ushahidi wowote, ndio ninemuuliza hayo maswali, hukupaswa kupanic na kutoa matusi, ungekua na busara, ungesaidia kumuambia huyo bwana athibitishe madai yake dhidi ya rais.

NB; TV za kuonyesha vituo zitakuwepo, hizo nyaya zinazo onekana na kulalamikiwa kwamba ni Rushwa, ndio sehemu zitapachikwa TV

Again ficha upumbavu!
 
Kama tuliweza kuiboresha bandari na kuongeza ufanisi sisi wenyewe bila ya mwekezaji, kulikuwa na shida gani kuboresha changamoto ndogo ndogo mpaka kutafuta mwekezaji mwingine? Miaka 30 ya TICS walichimba hata cm moja ya kina?
Mkuu, mawazo Kama hayo kuwepo katika jamii, ndio sababu serikali inalazimika kupeleka bungeni Ili kutoa ufafanuzi kwanini inataka kufanya hivyo, bunge likielewa na kukubaliana na serikali litapitisha, lisiporidhika litakataa.

Kikao Cha bunge siku ya Jumamosi iliyopita kilikua ni mahususi kwa ajili ya jambo hili, na kilikua kikao Cha moto kweli, ungekisikiliza, nadhani ungepata majibu ya swali lako. Ila kwa ufupi ni kwamba viwanda vingi hapa nchini na nchi mbalimbali duniani vilijengwa na serikali lakini vinaendeshwa na wabia mbalimbali, Kagera sugar, Bank ya NBC, Kiwanda Cha Cement Tanga, BRT, na vingi vinginevyo. Hivi mkuu kwanini Yanga na Simba wanaleta makocha wa kigeni wakati tunao makocha wa ndani?
 
Back
Top Bottom