Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mmeazima tena basi la Uganda?
Ngoja uumie zaidi. Hata Man city hawajawahi kuwa na parade kama hii
Screenshot_20230611-091552.jpg
Screenshot_20230611-091611.jpg
Screenshot_20230611-091510.jpg
Screenshot_20230611-091502.jpg
Screenshot_20230611-091416.jpg
Screenshot_20230611-091408.jpg
 
Hivi unajua tofauti kati ya activism and Violance?. Kitendo Cha bunge kuwaka moto hiyo ni dalili ya activism. Kuandamana, kuchoma tairi barabarani, kurusha bomu za kutoa machozi, kuvunjwa kwa maduka na kuvamia mashamba na biashara za watu na watu kuuliwa, hiyo ni" Violance". Only uncivilized people can choose violence over dialogue".
#violence#
 
Nilihisi hivo
Aisee kumbe wewe ni katoto kabisa, Yani umemaliza form four mwaka jana, no wonder unaona 2003-2009 ni zamani sanaaaa

Mm ni uncle wako kumbe, anyways, karibu Dar, ofcourse miaka niliyokuwa nasoma mm pale Azania ilikuwa miongoni mwa shule bora hapa Tz ila kwa sasa ni ya kawaida sana, karibu kijana wangu, pia usome sana hii mitandao usiipe kipaumbele sana itakuharibu dogo.


Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa
 
Back
Top Bottom