The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Asante Ruto, kamatia hapo hapo usiwaachie mbuzi hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
www.jamiiforums.com
Naibu Rais Kenya: Hatutajenga Barabara kwenye Majimbo yanayopinga Sheria ya Fedha
Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa hizo fedha kama watapinga. Gachagua amesema Serikali inasubiri Sheria hiyo ili iweze kuongeza...