Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hakuna mtu anafuatilia hizi takataka Bro..Mnashindwa kushinda shitty second tier cup, bure kabisa nyinyi.View attachment 2646346
Hakuna mtu anafuatilia hizi takataka Bro..Mnashindwa kushinda shitty second tier cup, bure kabisa nyinyi.View attachment 2646346
Unafananisha diamond league na shitty African events!?Hakuna mtu anafuatilia hizi takataka Bro..
Nani anaefuatilia michezo ya akina mama.? Akina mama wenyewe hawafuatilii michezo ya wanawake 🤣🤣Unafananisha diamond league na shitty African events!?
Haya matakataka hayana issue mzee.Mnashindwa kushinda shitty second tier cup, bure kabisa nyinyi.View attachment 2646346
Mzee hayo mauchafu ya kukimbia kimbia hayana dili, huwezi kufananisha na heshima ya soka.Unafananisha diamond league na shitty African events!?
Commercial loan


Hivi vitu bwana. Sasa kama mimi namjua mGhana anaeishi Tanzania
. Na yeye kwa maneno yake mwenyewe anasema Tanzania is safer than Ghana kiasi kwamba familia yake wamepapenda sana Tanzania. Hana mpango wa kurudi kwao 
Mrithi wa Magic!