ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Something big on drawing tableHueleweki.
Something big on drawing tableHueleweki.
Sio mm ninaepinga labda nikuulize CAFCC imetokana na makombe gani labda tueleweshane 😅😅😅 tatizo tunaleta utani wa jadi kwenye mambo ya msingi wao wenyewe CAF wanasema ni tema ya kwanza kutoka tanzania kufkia hatua ya fainal inamaana wao hawajui auUnapingana hadi na official website ya CAF!
Yanga kapata wivu Simba kufanikiwa na kupanda rank CAF na wao tumewaona mwaka huu wamejitahidi sana ila bado kuna kazi kubwa mbele yao kufikia point alizonazo Simba CAF na hatimaye na wao waweze kucheza African Super League kwa miaka ijayoSasa mkuu kwa pesa gani wanazotumia Yanga, hiyo mi benz wanayonunuliana huko utafananisha na vijisenti vinavyotumiwa, lkn pia hili suala litachochea Ari na wivu wa kimaendeleo kwa timu pinzani za Yanga ili wajuwe kwamba ukifanya vzr utakula mema ya nchi. Wacha Yanga waoneshe mfano wengine watakaza sana next time japo inauma ila watazoea mana hata mm ingeniuma sanaa![]()

Hongera mkuu, ni maneno mazuri ya kujipa moyoYanga kapata wivu Simba kufanikiwa na kupanda rank CAF na wao tumewaona mwaka huu wamejitahidi sana ila bado kuna kazi kubwa mbele yao kufikia point alizonazo Simba CAF na hatimaye na wao waweze kucheza African Super League kwa miaka ijayo![]()







African super league ni chaguo wanafanya tu sio kwamba wanaangalia sana ubora wa team sio kweli na bahat nzuri yanga wameombewa nafas pia😅😅😅Yanga kapata wivu Simba kufanikiwa na kupanda rank CAF na wao tumewaona mwaka huu wamejitahidi sana ila bado kuna kazi kubwa mbele yao kufikia point alizonazo Simba CAF na hatimaye na wao waweze kucheza African Super League kwa miaka ijayo![]()
Unapingana hadi na official website ya CAF!
Uchokozi sasa alaf chuki zote wananiletea mm mwenyekiti 😅😅😅😅😅Kuhusiana na wakenya, hii ina ukweli
View attachment 2646757
Who is Edgar bwire in the Kenyan government!?Rudi hapa utuambie renovation ya embu 476m ksh iko wapi 😅😅😅😅