ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,489
- 88,633
Jamaa gani?Mama Yanga huyu, anatumia tuu mwanya wa mafanikio ya timu, au itakuwa "order" ya yule jamaa.
Jamaa gani?Mama Yanga huyu, anatumia tuu mwanya wa mafanikio ya timu, au itakuwa "order" ya yule jamaa.
Unataka kusema remote inacontrol.. toka msoga kwa mwanayanga 😅😎🤣Mama Yanga huyu, anatumia tuu mwanya wa mafanikio ya timu, au itakuwa "order" ya yule jamaa.
Mi ni Yanga bt hii kuitumia yanga kwa ajili ya kujinufaisha Kisiasa inanikera sanaa na nina uhakika cko pekee angu tunaolerwa na ccm kujiingiza yanga yaan nakerekaa sanaaakabisa kaka, huu ni ujinga huu na matumizi mabaya kabisa[emoji706]
🙄 ushabiki umezidi,Yanga sio Timu ya Taifa
Kwa hiyo Kwa sababu una chuki binafsi ndio umekuja na comment hii si ndio? 😁😁Mi ni Yanga bt hii kuitumia yanga kwa ajili ya kujinufaisha Kisiasa inanikera sanaa na nina uhakika cko pekee angu tunaolerwa na ccm kujiingiza yanga yaan nakerekaa sanaaa
Dodo lingine jangwani, mama Yanga damu.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama Yanga huyu, anatumia tuu mwanya wa mafanikio ya timu, au itakuwa "order" ya yule jamaa.
Unataka kusema remote inacontrol.. toka msoga kwa mwanayanga 😅😎🤣
Yanga ilipofika wanastahili kupongezwa wamefanya kitu kikubwa sana na pamona na fitna za waarabu lakini wametoka na ushindi na kuonesha mpira wa high standards kwa kweli anastahili kuwapongeza na tanzania kwa ujumla yanga imekua tishio kwa team nyingi africa hasa kwa waarabu wanaojifanya ni smart kuliko wengine hebu tupongeze kwa mafanikio makubwa sana na mkumbuke final kama hzi zinaangaliwa na watu wengi sana duniani hvo ni kichocheo cha utalii piaMama Yanga huyu, anatumia tuu mwanya wa mafanikio ya timu, au itakuwa "order" ya yule jamaa.
Mwigulu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa gani?
Tuliza kipapa kitu walichofanya yanga hakijawah kufkiwa kwenye ukanda huu na tanzania imeonekana bora kwenye ukanda wa soka duniani na bado dhulma za soka la kiafrica zimewapata na wamepata matokeo
Kuna mtu ana funguo za BOT ndio anamaanisha huyo achana na Msoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka kusema remote inacontrol.. toka msoga kwa mwanayanga [emoji28][emoji41][emoji1787]
Hili lilikua kombe la rais wa nigeria abiola 😅😅😅
Hakuna mtu wa kumpa Rais directives za kisengerema..Mwigulu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mkuu kwa pesa gani wanazotumia Yanga, hiyo mi benz wanayonunuliana huko utafananisha na vijisenti vinavyotumiwa, lkn pia hili suala litachochea Ari na wivu wa kimaendeleo kwa timu pinzani za Yanga ili wajuwe kwamba ukifanya vzr utakula mema ya nchi. Wacha Yanga waoneshe mfano wengine watakaza sana next time japo inauma ila watazoea mana hata mm ingeniuma sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi ni Yanga bt hii kuitumia yanga kwa ajili ya kujinufaisha Kisiasa inanikera sanaa na nina uhakika cko pekee angu tunaolerwa na ccm kujiingiza yanga yaan nakerekaa sanaaa
Hueleweki.Hakuna mtu wa kumpa Rais directives za kisengerema..
Samia ndio Rais ataleta Neema Tanzania na wewe unajua
Hili lilikua kombe la rais wa nigeria abiola [emoji28][emoji28][emoji28]
Na hili kombe ni makombe mawili yalionganishwa pamoja sasa ni kombe kubwa bro hebu tuacheni ushindani wa kiutani turudi kwenye reality
View attachment 2646685