Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
mpaka waruu (viazi)!Vitunguu,carots, ndizi, matunda aina mbalimbali, tangawizi,alizeti,ufuta nk
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
mpaka waruu (viazi)!Vitunguu,carots, ndizi, matunda aina mbalimbali, tangawizi,alizeti,ufuta nk
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Dar View attachment 2645007View attachment 2645008View attachment 2645009View attachment 2645010View attachment 2645011View attachment 2645012View attachment 2645013View attachment 2645014View attachment 2645016View attachment 2645019View attachment 2645020View attachment 2645021View attachment 2645022View attachment 2645023View attachment 2645024
Taahira ni dad Yako,ila kiukweli Dar inanuka.We tahira Dar inanuka kila siku unaweka picha za Dar kiazi kama kiazi
Hii document hifadhi vizuri, Kuna siku mashakahola watasema hii sio mpya ni used.
Rice, cotton. Sisal fiber, timber, telephone polls, tobbaco, cashew nuts, Sunflower by products, meat, fishes.....Vitunguu,carots, ndizi, matunda aina mbalimbali, tangawizi,alizeti,ufuta nk
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Swali lako lina sehemu kuu mbili:
1)Je wewe ni gay?
Hili swali umeliuliza kutokana na msimamo wangu wa kutetea haki za mashoga.
Jibu; Kutetea haki za walemavu au wanawake, sio lazima kufanywe na walemavu au wanawake. Viongozi wote wa nchi zilizo mstari wa mbele kutetea ushoga nao wote ni gays?. Biden, Obama. Riki Sunack, Macron na wengine, wote hawa ni gays?
2)Kwanini sihitaji kuwa na watoto?.
Jibu: Sijawahi kusema kwamba sihitaji au ninahitaji watoto, nimekua nikisema kwamba duniani sio wote tunaohitaji kuwa na watoto, wapo watu ambao hawahitaji watoto na Kuna wenye kuhitaji watoto, ni haki ya mtu kuchagua.
Mkuu binadamu anatofautiana na wanyama katika eneo Moja tu, nalo ni uwezo wa kupanga uzazi. Wanyama hawana uwezo huo, wanaendeshwa na "hormones" za uzazi, hormones zikipanda lazima wafanye sex na wazae, hawana chaguo la kuamua kuzaa au kutozaa, kuwa na watoto au kutokua na watoto, idadi gani ya watoto ninayoimudu kuwatunza.(Primitive way of reproduction)
Waafrika wengi bado hatujaachana sana na wanyama, bado tunaendesha maisha yetu kwa kufanana Sana na wanyama wa porini, bado jamii zetu nyingi zinaishi maisha ya "hunting & gathering", bado tunazaa kwa kuendeshwa na "hormones" na mitazamo ya kijamii badala ya brain(Primitivity).
Mkuu, hivi kwanini Mapadre na masista wa kikatoliki hawazai Wala kufanya sex Kama kweli amri ya Mungu ni kuzaana na kuijaza Dunia?, Ina maana Papa na viongozi wa Katoliki wanapingana na Mungu?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wetuma picha za Nairobi Acha kupepeta mdomoYou've turned to desperate tweets...hehehe.kweli mmeishiwa......in reality 90% of dar ni hizo ugly uswazi slums ati city..... Msisahau pia kuweka video ya Baba levo mtanzania mwenzenu alipowaambia mnajenga tu vidimbwi na you need 25 years kuifikia Kenya....haha
wacha upuuzi wewe Slaa alipoamua kuoa aliacha na upadre! Japokuwa kweli alikuwa padri hapo mwanzo!Nimekuelewa na ufafanuzi mzuri. Kwa hiyo wewe ni mtetezi wa hao watu bora tu hawavunji sheria. Got you my brother. Suala la mapadri nazani ni sheria tu walizojiwekea. Lakini wapo wengi wenye familia nje. Mfano padri slaa kwa hiyo hawakatazwi
Only vitunguu. Matunda mengi tunaexport kuwaliko. Horticulture in general tuko vizuri kuwashindaVitunguu,carots, ndizi, matunda aina mbalimbali, tangawizi,alizeti,ufuta nk
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hadi coffeecoffee,sisal,sea weeds,timber,cashews,tobacco, honey,pyrethrum,

Aaawapii!! chai na maua tu mnaweza kusema mnatuzidi! and not long we will beat u! Esp. now Air Tanzania has turn to cargo exports!Only vitunguu. Matunda mengi tunaexport kuwaliko. Horticulture in general tuko vizuri kuwashinda
Wewe siwakusema nn kinakuja huko maana hununui izo bidhaa wewe,sisi ndio tukuambie hua tunawauzia nnOnly vitunguu. Matunda mengi tunaexport kuwaliko. Horticulture in general tuko vizuri kuwashinda
Chai, kahawa, nanasi, maembe, cabbage, carrot, ovacado, maua, maziwa, viazi, nyanya, watermelon nkAaawapii!! chai na maua tu mnaweza kusema mnatuzidi!