Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The City that never sleeps. DSM.
FB_IMG_1685853664262.jpg
FB_IMG_1685853649016.jpg
FB_IMG_1685853642259.jpg
FB_IMG_1685853633405.jpg
FB_IMG_1685853612150.jpg
FB_IMG_1685853574779.jpg
FB_IMG_1685853555711.jpg
FB_IMG_1685853543522.jpg
FB_IMG_1685853532154.jpg
 
Sawasawa kaka, huko ndio kukomaa kwa akili, kukubali tofauti za mawazo na misimamo, ni kosa kwa baadhi ya watu kujiona wao ndio wenye haki miliki ya mifumo ya maisha.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Mkuu joto la jiwe samahani kama swali langu litakukwaza. Wewe ni gay? Na kwa nini hutaki kua na watoto? Natanguliza samahani lakini
 
Tanzanias agricultural produces are like Chinese industrial goods to our neighbors kila nchi inalalamika the level of influx that's damaging their local competitiveness [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo ndio maana halisi ya GDP kubwa [emoji16] yaani inaonekana kwa vitendo sio kubakia kwenye karatasi tuu kama ya Mashakahola.
 
Yanga tumekufa kiume huko kwa wamanga[emoji16] sasa tusubiri African Super League toka kwa mwakilishi wetu number moja tukae kwa kutulia.
 
Mimi sio yanga ila imeniuma sana [emoji16] anyway tukiendelea na speed hii lazima mwakani tuwe na timu nne group stage hata zisipofuzu robo uwepo wao ni point tosha tutazikusanya kwenye caf five years ranking kwenye ligi yetu ila sasa Azam Ni kama fala saa nyingine na huyo Singida Bs simuamini Ngoja tuone

Sahivi tushamuangusha chini linafoot [emoji123]
Tunawafukuzia maghareb nations tuboreshe miundombinu uwekezaji wa maana uwepo kwenye soka tuiangushe psl ndio sub saharan pekee waliobakia mbele yetu maana wa south wana mdomo . All in all haijalishi ni mda gani lazima kombe la caf litakuja Tz
 
Azam ina kwaza sana... Kwa resources na facility waliyo nayo walitakiwa kuongoza ligi.. Ila sijui wanakwama wapi.
 
Mkuu joto la jiwe samahani kama swali langu litakukwaza. Wewe ni gay? Na kwa nini hutaki kua na watoto? Natanguliza samahani lakini
Hahahaha.[emoji3598][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom