Mkuu, Uganda haijaingiliwa na mtu, sheria za Uganda zinasema ushoga hapana, na Sheria za Marekani zinasema sheria kandamizi hapana.
Kila nchi Iko na sheria yake, Sasa Kama utekelezaji wa katiba ya Marekani unaleta athari kwa nchi nyingine nje ya Marekani, hilo sio lengo la Marekani, hiyo ni shida ya hiyo nchi kuwa tegemezi, mbona North Korea, Iran, Russia zimewekewa vikwazo lakini hawalalamiki?
Mkuu, nchi yoyote Iko na uhuru na maamuzi yake, wachague kati ya vikwazo au kuachana na hiyo sheria, uamuzi ni wenu, lakini hakuna nchi itakayoachwa bila kupata vikwazo.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app