Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A section of Kisii and we haven't given it city status.....had it been tz..hehe
FB_IMG_1685774283546.jpg
 
Hata muambiwe hamsikii dimwits.....Kenya is miles ahead of the overrated tz....facts only......Every foreigner and honest tanzanians confess it very seamlessly...


What I have discovered is that tanzanians hate the truth.....everyone is telling them the truth but they can't take it positively....hehe
 
Ukiachilia hayo miradi inayoendelea dodoma [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji28][emoji28]

State house dodoma
Outer ring road 112km dual carriageway
Dodoma international airport
Sport arena + ultra modern stadium
NHC housing project
Farkwa dam
Magufuli government city
SGR + modern dry port + TRC HQ building
Veta training institute
Schools and medical centers. Etc

wengine wanaeza kujazia
hii dodoma pia nikitafuta aerial view msema kweli itakuwa tu vituko ...the slum uswazi signature of tanzania towns....haha....I am never blinded by those cherry picked things you want us to see......hiyo mudanganye nayo kina burundi na Mozambique rika zenu
 
Without our money your economy will collapse [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnajifanya lakini mnajua kwenye pesa....hahaha
Screenshot_20230603-103206_Facebook.jpg
 
Ninatetea uhuru wa mtu, nilipinga tabia za Magufuli kukandamiza uhuru wa watu, nitapinga mtu yeyote mwenye kukandamiza uhuru wa mtu mwengine bila sababu za msingi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona unaanza na kumpinga Magufuli? Kwamba ndio kisingizio chako yaani uko na akili za ajabu sana. Acha kutetea ushoga kaka acha!!!
 
On Value Addition

Top Exporters of Pineapple [emoji531] Juice in Africa in 2021

[emoji1221] South Africa ~ 7,315 MTs (9th Globally)
[emoji1139] Kenya ~ 3,851 MTs
[emoji1047] Benin ~ 3,344 MTs
[emoji1244] Togo ~ 3,001 MTs
[emoji1093] Egypt ~ 1,801 MTs

[emoji3502]Notice that Egypt is appearing here although it doesn't produce Pineapples.

[emoji3502]Yes, because they are a leading importer in the continent and from what they import, they process and export the Juice

Top Exporters of Prepared or Preserved Pineapples

[emoji1139] Kenya ~ 34,476 MTs (5th Globally)
[emoji1235] Eswatini ~ 3,577 MTs

All other countries in the continent have less than 1,000 MTs

#DataSpeaks
Pigia makofi mama ngina source 👏👏😅
 
Ninatetea uhuru wa mtu, nilipinga tabia za Magufuli kukandamiza uhuru wa watu, nitapinga mtu yeyote mwenye kukandamiza uhuru wa mtu mwengine bila sababu za msingi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kua shoga ni uhuru yani kubadili maumbile muumba aliokupatia ndio haki aloo hii dunia imeisha aisee 😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌
 
hii dodoma pia nikitafuta aerial view msema kweli itakuwa tu vituko ...the slum uswazi signature of tanzania towns....haha....I am never blinded by those cherry picked things you want us to see......hiyo mudanganye nayo kina burundi na Mozambique rika zenu
Unitaftie au mm nishakuwekea hapo hujaona au kipofu wewe 😅😅😅😅 5 yrs to come mombasa itakuja kuchukua somo dodoma
 
Mkuu, Kila mtu nzima anayo maamuzi yake mwenyewe, baba yangu na Mimi ni watu wawili tofauti, alichokiamua baba yangu kuwa na watoto, sio lazima na Mimi nikifuate, Mimi pia Niko huru kuchagua njia na maisha yangu, kwani kabla ya kunizaa alinishirikisha?, huwezi jua huenda ningekataa kuzaliwa, usichukulie kuzaliwa kwangu Kama ni ushindi na jambo la maana sana kiasi Cha kutaka nimpongeze mzazi wangu, yeye alifanya kwa uamuzi wake kwa kutumia utashi na matakwa yake, ambayo huenda sikubaliani nayo, yeye ni uhuru wake wa maamuzi Kama binadamu huru.

Hivi mkuu, kwanini usiende Vatican ukawaambia kuanzia Papa, Mapadre na masista wote kwamba wanakwenda kinyume na lengo la Mungu ambalo ni watu kuzaana?, au kuoana na kuzaana kumeumbiwa waafrika pekee?. Kwani papa katika Imani yetu ya kikatoliki si ndiye muakilishi wa Mungu hapa duniani, vipi anakwenda kinyume na matakwa ya Mungu, hivi Kama sio baba yake kumzaa tungepata wapi Papa Kama yeye na Mapadre na masista wangepatikanaje?, Mkuu mbona unajenga hoja nyepesi kiasi hicho?

Mkuu, huko Ulaya na Marekani, miaka 100 iliyopita walikua waumini wa Imani za dini Sana, kuzidi hata sisi huku Afrika, lakini baada ya jamii kuendelea kuelimika, Leo hii wajapan wenye kuamini Mungu ni 5%, Ulaya haizidi 20% na mwelekeo unazidi kwenda chini. Imani za ushoga nazo mwendo ni huo huo, miaka 40 iliyopita hawakua wakikubalika huko Ulaya na America, hivi Sasa hadi viongozi wa dini wapo mashoga na wanakubalika.

Mkuu, Education is a social vaccine, people need to be vaccinated against social diseases like religion, superstition, gossip, and unscientific way of reasoning, the only vaccine to eradicate the Shakahola and homophobia is to educate communities. Africans are far from being vaccinated.

Kila nchi iamue vile inadhani inapenda, Uganda inapenda kuwahukumu na kuwaua mashoga, USA inapenda kuziwekea vikwazo nchi zote zenye Sheria kandamizi. Kwako wewe unaona Marekani kuiwekea vikwazo Uganda sio demokrasia, lakini Uganda kuwaadhibu baadhi ya raia wake ni demokrasia, hivi baba akiwatesa watoto wake alio wazaa, serikali haipaswi kuingilia?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbona haweki sheria kandamizi kwa saud arabia, qatar, UAE, bahrain ambao wanapinga kwa vifo hvo hvo kwann ni uganda au kwann africa ??? Nilikuuliza haki za binaadamu ziko africa tu kwa ajili ya kuficha laana zao lakini kwao haki za binaadamu hakuna 😅😅😅😅
 
Iko hivi mkuu, wala huhitaji kuita watu washamba au primitive, huko ulaya hujaenda pekeyako. Vinginevyo hii pia ni dalili ya primitively and hillbilly.
Hata ulaya na marekani majority bado wanapinga mambo ya ushoga na usagaji.
Kipimo rahisi zaidi kupima civilization ni kuangalia namna gani mtu anaheshimu mtazamo tofauti na wake.
Unasema uhuru, ni kweli uhuru, lakini uhuru lazima uwe na mipaka. Hili ndio linatutofautisha sisi na wanyama wa porini,
Ukisema uwe na uhuru huo unaosema wewe bila mipaka itafika hatua baba ataoa binti yake, si uhuru ? Ni nini tofauti ya binadamu na mbuzi?
Na, hao unaowaona wako civilized mbona hawajataka kuheshimu mtazamo tofauti (wa Uganda ?) kisha kuwaletea vitisho?
Mimi binafsi naheshimu mawazo yako japo kwangu sikubaliani nayo,
Kwa mfano: wewe huamini katika kupata watoto, lakini wazazi wako waliamini katika watoto ndio maana wewe ukawako.
Mkuu ni kweli we can’t exist kama tuna mawazo yanayofanana, kwa hiyo kwenye mapungufu ya mawazo yako wako wanaofidia.
Kwa mfano: imagine leo wanaume wote wa Tanzania wakawa na mawazo kama yako y’a kusema hawataki watoto , unadhani kutakuwa na Tanzania hapo baadae?

Muhimu Zaidi, hapa kwenye kutofautiana mawazo na mitazamo, ili kusiwe na vurugu sasa ni lazima kuwe na sheria na taratibu,
Na sheria hizi zinatungwa pia kuzingatia matakwa ya wengi (demokrasia)
Demokrasia ni civilization, na simply demokrasia means wengi wape,
Watanzania wengi hawataki ushoga. Hii ni Sawa na lazima hawa ndio wasikilizwe. Mambo ya uzinzi nk ni kawaida kwa jamii ila ushoga ni deviation,

Wala sio kama mnavyodai ni sexual nini sijui.
Ni simply abnormality, deviation , disorientation.

Kama wewe pia huamini katika watoto kwangu mimi ni hiyo pia abnormality, sababu hakuna kiumbe hai asiyehitaji reproduction , you reproduce or you perish. This is from biological point of view.
Aisee umeongea point nyingi sana.
 
Mbona unaanza na kumpinga Magufuli? Kwamba ndio kisingizio chako yaani uko na akili za ajabu sana. Acha kutetea ushoga kaka acha!!!
Huyo jamaa huwa anamuona Magufuli ndiyo mkandamizaji mkubwa wa haki za binadamu, ndio sababu nimemtaja Ili ajue kwamba nipo "fair and consistent", kwamba hata kwa wale ninaowakubali Kama Magufuli, lakini linapokuja swala la uhuru na haki za binadamu, sina upendeleo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, tatizo la waafrika ni unafiki, na uwezo mdogo wa kufikiria, mkuu huu mjadala unadhihirisha ni kwa kiasi gani elimu yetu bado haijatukomboa, hivi kweli msomi wa chuo kikuu unawezaje kuzungumza vitu sawa na bibi yangu wa kijijini?, hii ni aibu na ni janga kwa bara letu.

Hii habari ya kutumia Lugha ya "maumbile" au kuzungumza kuhusu habari ya kupata watoto, au mume na mke ndio waliohalalishwa kufanya sex, ni kauli za kizamani Sana, watu wasio na "exposure", watu wenye elimu ndogo na kugubikwa na mafundisho ya dini ndio wanazungumza Lugha za namna hii.

Africa tumetawaliwa na Imani za uchawi na dini,tena dini za kigeni. Hiyo habari za maumbile, kupata watoto, mke na mume, vyote unavitoa katika vitabu na mafundisho ya dini za kigeni(Uislam/Ukristo), "Nothing but continuation of mental slavery, primitivity and inability to think on your own freerly. Sio wote tunaoamini kwenye kupata watoto, kwanini msimuambie Papa,mapadre na masista wapate watoto au wafanye sex Kama kweli binadamu waliumbwa kwa ajili hiyo?.

Punguzeni ushamba kidogo, Kila mtu yupo huru kuishi maisha anayopenda, muhimu asihathiri na kuingilia uhuru wa wengine, amkeni waafrika, dini hizi zinawalemaza akili, kuwajaza ujinga na kuwadanganya Kama huko Shakahola.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Umeamua kusapoti ushoga? Katika hili natofautiana na wewe ila kila la heri katika harakati zako.
 
Mbona haweki sheria kandamizi kwa saud arabia, qatar, UAE, bahrain ambao wanapinga kwa vifo hvo hvo kwann ni uganda au kwann africa ??? Nilikuuliza haki za binaadamu ziko africa tu kwa ajili ya kuficha laana zao lakini kwao haki za binaadamu hakuna [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nilishakujibu hili swali, nitarudia kukujibu kwasababu ninahisi umeishiwa hoja. Nilisema hata Mimi ninapinga kwanini USA haiziwekei vikwazo hizo nchi ulizotaja, hiyo sio sawa.

Marekani ishutumiwe kwa kutokuziwekea vikwazo hizo nchi zilizotajwa kwasababu inafanya kosa kwa kutoweka vikwazo, lakini inapaswa kusifiwa na kupongezwa kwa kuiwekea vikwazo Uganda.

Kazi ya polisi ni kukamata wahalifu, huwezi kulaumu au kuwaambia polisi kwanini wanakamata wahalifu mtaani kwenu kwasababu hawajakamata mtaa wa pili, kosa la polisi ni kutokamata wahalifu mtaa wa pili, si kukamata wahalifu mtaani kwenu.

Conclusion;
USA ipo sahihi kuweka vikwazo Uganda

USA inafanya makosa kwa kutoweka vikwazo Uarabuni

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kale haya unaleta, hakuna ufanano kati ya Tz na Kenya kwa sasa, tuko mbali sn, hamna uwezo wa ku level na sisi, tunafanya mambo makubwa nyie bado mmelala.
Huyo "content creator" anaweza kusema chochote ili achote watazamaji na kulipwa vizuri na Google. Ukweli unabaki palepale. Amejua namna ya kuwachota hawa mashakahola.🤣
 
Back
Top Bottom