The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Kwa TZS manaake apo bicycle moja ni zaidi ya 1.5mil, nchi ya kipuuzi sana hii.Level ya mwisho ya dharau
Mpaka misaada ipo overpriced, sio projects tu
Kwa TZS manaake apo bicycle moja ni zaidi ya 1.5mil, nchi ya kipuuzi sana hii.Level ya mwisho ya dharau
Mpaka misaada ipo overpriced, sio projects tu
Mambo ya kale haya unaleta, hakuna ufanano kati ya Tz na Kenya kwa sasa, tuko mbali sn, hamna uwezo wa ku level na sisi, tunafanya mambo makubwa nyie bado mmelala.Hata muambiwe hamsikii dimwits.....Kenya is miles ahead of the overrated tz....facts only......Every foreigner and honest tanzanians confess it very seamlessly...
Wait did I hear you say slumsIt's all clear for everyone to see....surely....Nairobi has the slum areas but not even 10% closer to this dump called dar...no greenery whatsoever

you seem to care about the Zanzibar separation, don't you think you should start back home ? I mean that "pwani si Kenya" movement could really use your supports right now.be instrumental of changes if you really want to inspire zanzbarianThey invited me to invest in Zanzibar…. I will if they separate from Tanganyika….… Jk… don’t eat me alive now..

You can never get such ugly aerial views in Nairobi Kenya over a very large area.....the surest way to get an overall score of a city is to just fly above it and daresalaam has proven to be a very ugly city by all standards almost 90% unplanned...
this city hapanaMkuu, tatizo la waafrika ni unafiki, na uwezo mdogo wa kufikiria, mkuu huu mjadala unadhihirisha ni kwa kiasi gani elimu yetu bado haijatukomboa, hivi kweli msomi wa chuo kikuu unawezaje kuzungumza vitu sawa na bibi yangu wa kijijini?, hii ni aibu na ni janga kwa bara letu.
Hii habari ya kutumia Lugha ya "maumbile" au kuzungumza kuhusu habari ya kupata watoto, au mume na mke ndio waliohalalishwa kufanya sex, ni kauli za kizamani Sana, watu wasio na "exposure", watu wenye elimu ndogo na kugubikwa na mafundisho ya dini ndio wanazungumza Lugha za namna hii.
Africa tumetawaliwa na Imani za uchawi na dini,tena dini za kigeni. Hiyo habari za maumbile, kupata watoto, mke na mume, vyote unavitoa katika vitabu na mafundisho ya dini za kigeni(Uislam/Ukristo), "Nothing but continuation of mental slavery, primitivity and inability to think on your own freerly. Sio wote tunaoamini kwenye kupata watoto, kwanini msimuambie Papa,mapadre na masista wapate watoto au wafanye sex Kama kweli binadamu waliumbwa kwa ajili hiyo?.
Punguzeni ushamba kidogo, Kila mtu yupo huru kuishi maisha anayopenda, muhimu asihathiri na kuingilia uhuru wa wengine, amkeni waafrika, dini hizi zinawalemaza akili, kuwajaza ujinga na kuwadanganya Kama huko Shakahola.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Juice in Africa in 2021
South Africa ~ 7,315 MTs (9th Globally)
Kenya ~ 3,851 MTs
Benin ~ 3,344 MTs
Togo ~ 3,001 MTs
Egypt ~ 1,801 MTs
Notice that Egypt is appearing here although it doesn't produce Pineapples.
Yes, because they are a leading importer in the continent and from what they import, they process and export the Juice
Kenya ~ 34,476 MTs (5th Globally)
Eswatini ~ 3,577 MTsMkuu, tatizo la waafrika ni unafiki, na uwezo mdogo wa kufikiria, mkuu huu mjadala unadhihirisha ni kwa kiasi gani elimu yetu bado haijatukomboa, hivi kweli msomi wa chuo kikuu unawezaje kuzungumza vitu sawa na bibi yangu wa kijijini?, hii ni aibu na ni janga kwa bara letu.
Hii habari ya kutumia Lugha ya "maumbile" au kuzungumza kuhusu habari ya kupata watoto, au mume na mke ndio waliohalalishwa kufanya sex, ni kauli za kizamani Sana, watu wasio na "exposure", watu wenye elimu ndogo na kugubikwa na mafundisho ya dini ndio wanazungumza Lugha za namna hii.
Africa tumetawaliwa na Imani za uchawi na dini,tena dini za kigeni. Hiyo habari za maumbile, kupata watoto, mke na mume, vyote unavitoa katika vitabu na mafundisho ya dini za kigeni(Uislam/Ukristo), "Nothing but continuation of mental slavery, primitivity and inability to think on your own freerly. Sio wote tunaoamini kwenye kupata watoto, kwanini msimuambie Papa,mapadre na masista wapate watoto au wafanye sex Kama kweli binadamu waliumbwa kwa ajili hiyo?.
Punguzeni ushamba kidogo, Kila mtu yupo huru kuishi maisha anayopenda, muhimu asihathiri na kuingilia uhuru wa wengine, amkeni waafrika, dini hizi zinawalemaza akili, kuwajaza ujinga na kuwadanganya Kama huko Shakahola.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
soo unatetea ushoga?Mkuu, tatizo la waafrika ni unafiki, na uwezo mdogo wa kufikiria, mkuu huu mjadala unadhihirisha ni kwa kiasi gani elimu yetu bado haijatukomboa, hivi kweli msomi wa chuo kikuu unawezaje kuzungumza vitu sawa na bibi yangu wa kijijini?, hii ni aibu na ni janga kwa bara letu.
Hii habari ya kutumia Lugha ya "maumbile" au kuzungumza kuhusu habari ya kupata watoto, au mume na mke ndio waliohalalishwa kufanya sex, ni kauli za kizamani Sana, watu wasio na "exposure", watu wenye elimu ndogo na kugubikwa na mafundisho ya dini ndio wanazungumza Lugha za namna hii.
Africa tumetawaliwa na Imani za uchawi na dini,tena dini za kigeni. Hiyo habari za maumbile, kupata watoto, mke na mume, vyote unavitoa katika vitabu na mafundisho ya dini za kigeni(Uislam/Ukristo), "Nothing but continuation of mental slavery, primitivity and inability to think on your own freerly. Sio wote tunaoamini kwenye kupata watoto, kwanini msimuambie Papa,mapadre na masista wapate watoto au wafanye sex Kama kweli binadamu waliumbwa kwa ajili hiyo?.
Punguzeni ushamba kidogo, Kila mtu yupo huru kuishi maisha anayopenda, muhimu asihathiri na kuingilia uhuru wa wengine, amkeni waafrika, dini hizi zinawalemaza akili, kuwajaza ujinga na kuwadanganya Kama huko Shakahola.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa wanamkomenti ana utoto mwingi...Hata muambiwe hamsikii dimwits.....Kenya is miles ahead of the overrated tz....facts only......Every foreigner and honest tanzanians confess it very seamlessly...
Mkuu, Kila mtu mzima anayo maamuzi yake mwenyewe, baba yangu na Mimi ni watu wawili tofauti, alichokiamua baba yangu kuwa na watoto, sio lazima na Mimi nikifuate, Mimi pia Niko huru kuchagua njia na maisha yangu, kwani kabla ya kunizaa alinishirikisha?, huwezi jua huenda ningekataa kuzaliwa, usichukulie kuzaliwa kwangu Kama ni ushindi na jambo la maana sana kiasi Cha kutaka nimpongeze mzazi wangu, yeye alifanya kwa uamuzi wake kwa kutumia utashi na matakwa yake, ambayo huenda sikubaliani nayo, yeye ni uhuru wake wa maamuzi Kama binadamu huru.Iko hivi mkuu, wala huhitaji kuita watu washamba au primitive, huko ulaya hujaenda pekeyako. Vinginevyo hii pia ni dalili ya primitively and hillbilly.
Hata ulaya na marekani majority bado wanapinga mambo ya ushoga na usagaji.
Kipimo rahisi zaidi kupima civilization ni kuangalia namna gani mtu anaheshimu mtazamo tofauti na wake.
Unasema uhuru, ni kweli uhuru, lakini uhuru lazima uwe na mipaka. Hili ndio linatutofautisha sisi na wanyama wa porini,
Ukisema uwe na uhuru huo unaosema wewe bila mipaka itafika hatua baba ataoa binti yake, si uhuru ? Ni nini tofauti ya binadamu na mbuzi?
Na, hao unaowaona wako civilized mbona hawajataka kuheshimu mtazamo tofauti (wa Uganda ?) kisha kuwaletea vitisho?
Mimi binafsi naheshimu mawazo yako japo kwangu sikubaliani nayo,
Kwa mfano: wewe huamini katika kupata watoto, lakini wazazi wako waliamini katika watoto ndio maana wewe ukawako.
Mkuu ni kweli we can’t exist kama tuna mawazo yanayofanana, kwa hiyo kwenye mapungufu ya mawazo yako wako wanaofidia.
Kwa mfano: imagine leo wanaume wote wa Tanzania wakawa na mawazo kama yako y’a kusema hawataki watoto , unadhani kutakuwa na Tanzania hapo baadae?
Muhimu Zaidi, hapa kwenye kutofautiana mawazo na mitazamo, ili kusiwe na vurugu sasa ni lazima kuwe na sheria na taratibu,
Na sheria hizi zinatungwa pia kuzingatia matakwa ya wengi (demokrasia)
Demokrasia ni civilization, na simply demokrasia means wengi wape,
Watanzania wengi hawataki ushoga. Hii ni Sawa na lazima hawa ndio wasikilizwe. Mambo ya uzinzi nk ni kawaida kwa jamii ila ushoga ni deviation,
Wala sio kama mnavyodai ni sexual nini sijui.
Ni simply abnormality, deviation , disorientation.
Kama wewe pia huamini katika watoto kwangu mimi ni hiyo pia abnormality, sababu hakuna kiumbe hai asiyehitaji reproduction , you reproduce or you perish. This is from biological point of view.
Ninatetea uhuru wa mtu, nilipinga tabia za Magufuli kukandamiza uhuru wa watu, nitapinga mtu yeyote mwenye kukandamiza uhuru wa mtu mwengine bila sababu za msingi.soo unatetea ushoga?
si ushoga baba wacha upumbavu! wacha kutetea upuuzi wa kuvunja family values!Ninatetea uhuru wa mtu, nilipinga tabia za Magufuli kukandamiza uhuru wa watu, nitapinga mtu yeyote mwenye kukandamiza uhuru wa mtu mwengine bila sababu za msingi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uko yues na Bando huna! Shenz tyme!!Am baaack!… what did I miss?….. on a new note, just watched live a moment ago… FAITH KIPYEGON just broke the World Record in the metric Mile ( 1500 m)…in Florence, Italy…..Congratulations to our golden girl!