islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]watu mna madharau mtafanya wakundustani wajinyonge jaman ...Hizi takataka ni za nini mzee.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]watu mna madharau mtafanya wakundustani wajinyonge jaman ...Hizi takataka ni za nini mzee.?
Hapana hili ni lingine hata render yake ilishawekwa humu. Sasa hivi TZ tuna miradi mingi hadi mingine tunaisahau mkuu.[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Mm huwa nachanganya sana hili daraja, kwani hili sio lile la wami?
Hapa ndio pana shida.Unazungumzia mambo ya Mpango Mzee,kama ni mipango Iko Toka Mwendazake akiwa hai ni porojo tuu Hadi kesho
Kama inakuja halafu inakata, inakuja inakata...nikasema labda nijipe muda. Lakini kila mtu anamtazamo wake ngoja nisiongee sana.Unajiaibisha sana kaka, watu wanakutegemea sana even me, hizi comment zako sizani kama unafikiria na followers wako, achana na hii mada tafadhali japo najua utanipinga ila nakuomba achana nayo, huwa najisikia vibaya mtu nnayemkubali akiongea hivi.
Mkuu, kutofautiana mawazo ndio kukomaa, ni kujidanganya Kama Kila siku utasoma au nitasoma posts ambazo tutakubalia Moja kwa Moja, huo sio ukomavu wa kimawazo, lazima siku zingine tutofautiane Ili tujuane zaidi.Unajiaibisha sana kaka, watu wanakutegemea sana even me, hizi comment zako sizani kama unafikiria na followers wako, achana na hii mada tafadhali japo najua utanipinga ila nakuomba achana nayo, huwa najisikia vibaya mtu nnayemkubali akiongea hivi.
You missed alot your fellow Kenyans wamekimbia karibia wote wamepigwa na kitu kizito kichwani.Am baaack!… what did I miss?….. on a new note, just watched live a moment ago… FAITH KIPYEGON just broke the World Record in the metric Mile ( 1500 m)…in Florence, Italy…..Congratulations to our golden girl!
You can never get such ugly aerial views in Nairobi Kenya over a very large area.....the surest way to get an overall score of a city is to just fly above it and daresalaam has proven to be a very ugly city by all standards almost 90% unplanned...
It's all clear for everyone to see....surely....Nairobi has the slum areas but not even 10% closer to this dump called dar...no greenery whatsoeverHii ni Nini sasa,!!!
Unaweza sema ni dandora dumping site!!!
Unajifariji mwenyewe eti mzee.?It's all clear for everyone to see....surely....Nairobi has the slum areas but not even 10% closer to this dump called dar...no greenery whatsoever