joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, kwani Mungu alianzilishwa na nani, au alijitokeza mwenyewe tu?. Sasa Kama kujitokeza kwenyewe kunawezekana kwa Mungu, vipi kwa wengine kusiwezekane?Hizo nguvu za kimazingira zimetokea wapi na nani muanzilishi wa hizo nguvu au zimejitokea zenyewe tu bila muanzilishi.
Mzee wa Joto fanya hivi kula nyama nyamaza , unapoteaMkuu, Mimi ni muumini wa Sayansi na ninaijua vizuri Sana, ukichunguza kwa makini Sana, utaelewa kwamba viumbe vyote "once vilianzia Kama "Single cell organisms, kuanzia hapo safari ya multiplication of single cell ikaanza na species mbalimbali zikajitokeza kutokana na nguvu za mazingira za maeneo husika na vipindi mbalimbali katika umri wa Dunia.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii ni habari njemaMbagala bus stand.
Huyo Mungu ndio Nature maana Kila kitu kinatokana na Nature.Basi huyo nature ndiye Mungu maana kila kitu kiliumbwa na Yeye.
This is jiji kipoison ni mji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jambo ninalosema ni kwamba Kila mtu awe huru kuamini lile analoliamini, asitokee mtu kuonyesha kwamba kile anachokiamini yeye ndio sahihi na wengine wanapotoka.Mzee wa Joto fanya hivi kula nyama nyamaza , unapotea
Amini unachokiamini, japo upeo wako unajulikana upo wapi, chaajabu wewe unayepinga kuhusu mungu ukipatwa na janga utasikia mungu wangu, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kwenye maisha yako yote tokea uzaliwe mpaka ulipofikia haujawahi kutolitaja hilo jina,
Bisha ila moyo wako unaujua huo ukweli
Huyo anayeweza kujitokeza mwenyewe ndiyo Mungu huyo, kama hizo nguvu za kimazingira zilijitokeza zenyewe bila muanzilishi basi ndiyo Mungu huyo ninayemuamini mm.Mkuu, kwani Mungu alianzilishwa na nani, au alijitokeza mwenyewe tu?. Sasa Kama kujitokeza kwenyewe kunawezekana kwa Mungu, vipi kwa wengine kusiwezekane?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sayansi yenyewe inajua kwamba nature ndiyo Mungu.Huyo Mungu ndio Nature maana Kila kitu kinatokana na Nature.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyio mwehu Mkenya tungeanza kumpuuza na kumkazia moderator apite nae, ili aje na uraia wake wa Kikenya.Serikali kwenye hili imecheza kama pele,tena iangalie na mazao mengine kama parachichi na apples wafanye kama hivi
Organized religion inaleta manufaa mengi lakini pia hasara kibao. Ukienda kanisani unaenda kusikiliza na kuondoka. Lolote atakalosema priest na Wewe unapokea bila ku-QUESTION. Religion imeondoa ability ya watu kuwa na critical thinking maana ni RADICALIZATION of the masses. Tofauti na shule, huwezi kuuliza maswali kanisani na Ndio Maana faith-based beliefs ni STRONG kwenye jamii ya evangelical Christians.Hahahaha, hii ndio maana halisi ya kuwa "brainwashed". Mkuu hakuna kitu Kama hicho, hata wanaamini Sayansi pia wanaamini kwamba 'Nature ndio Alfa na Omega.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watu wanalazimisha kweli kuhalalisha ushoga, hiyo ya twiga wanaume kugusana shingo eti wanaita ushoga. Inaweza kuwa ni njia ya wao ku socialize tuu. Hatujui lugha yao, hivyo hatuwezi kuwasemea.Bro unanitag kwenye vitu gani? Mwambie alete ushahidi sio analeta porojo😆😆😆
2B ni hela ndogo sana na sidhani kama kutakuwa na chamaana hapo.Mbagala bus stand.
Siyo kweli, mambo mengi sana bado hayana maelezo ya Kisayansi. Mfano bado watu hawajaweza kuelezea Mpemba effect .Mkuu, Kila kitu kina maelezo yake ya kisayansi, unaweza ukaamua kukataa maelezo ya sayansi na kubaki na Imani yako, hiyo ni hiari yako. Muhimu ni Kila mtu awe huru kuamini kile ambacho akili yake inakiamini na kukielewa, kwasababu hata nikikuomba ueleze "roho" ni nini na nikiomba uweke ushahidi wa kuwepo kwa hiyo "roho" utarudi Kule Kule kwenye nadharia na Imani za dini.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Miaka ile ya kulikuwa na wimbi kubwa la kujitanua kwa utawala wa makaburu, waliichukua Namibia, akaja Ian Smith kuichukua Southern Rhodesia na alikuwa na mpango wa kujitanua North. Makaburu kwa kushirikiana na Jonas Savimbi walikuwa wanapigana kuichukua Angola. hivyo ilikuwa ni suala la muda tuu kutufikia.DR wanaoigana tunapakana nao vipi mbona wasiende kusaidiwa?
Zimbabwe,Namibia,Angola,South Africa Zina mpaka upi na Tanzania Hadi usalama Wetu uwe mashalani?
Swala halikuwa muda, swala ni kuwa zilipigwa mpaka wakachemka na wakashindwa.Miaka ile ya kulikuwa na wimbi kubwa la kujitanua kwa utawala wa makaburu, waliichukua Namibia, akaja Ian Smith kuichukua Southern Rhodesia na alikuwa na mpango wa kujitanua North. Makaburu kwa kushirikiana na Jonas Savimbi walikuwa wanapigana kuichukua Angola. hivyo ilikuwa ni suala la muda tuu kutufikia.
Tanzania hatuna dual citizenship, ila mwanamke raia wa nje aliyeolewa na mwamaume Mtanzania anaruhusiwa kuwa na uraia wake wa asili.Hizi zote ni dual citizenship especially marriages.
Porojo za kipuuzi ulizipata kwenye kitabu gani?Miaka ile ya kulikuwa na wimbi kubwa la kujitanua kwa utawala wa makaburu, waliichukua Namibia, akaja Ian Smith kuichukua Southern Rhodesia na alikuwa na mpango wa kujitanua North. Makaburu kwa kushirikiana na Jonas Savimbi walikuwa wanapigana kuichukua Angola. hivyo ilikuwa ni suala la muda tuu kutufikia.
Wewe siku zote Huwa una stress sana 😁😁we huna akili kabisa!
Sasa, mwandishi kakudanganya na figures za $6B, lakini hujaona 20yrs. Hebugawanya hiyo $6B / 20yrs = uone unapata ngapi kila mwaka, ni investment ndogo sana kwa mwaka.
Kutoka a primitive unicellular organism kama amoeba mpaka kuja kujiongeza na kuwa a multicellular mammal mwenye complex systems, ni intelligence ya "nguvu ya kimazingira" gani iliyotumika?Mkuu, Mimi ni muumini wa Sayansi na ninaijua vizuri Sana, ukichunguza kwa makini Sana, utaelewa kwamba viumbe vyote "once vilianzia Kama "Single cell organisms, kuanzia hapo safari ya multiplication of single cell ikaanza na species mbalimbali zikajitokeza kutokana na nguvu za mazingira za maeneo husika na vipindi mbalimbali katika umri wa Dunia.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Not according to your hero Dr Fauci. Remember this? "Trust the science" as if science never change.Uzuri wa Sayansi ni kwamba ni kitu kinachokua na kubadilika Kila siku.