Video na Picha: Mogadishu City ni nzuri kuliko Dar, msidanganywe!

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,812
Ukisikiliza vyombo vya habari kuhusu Mogadishu n Somalia unaweza dhani labda huko ni hakuna maisha kabisa,ule ni upotoshaji n ukweli halisi nimkinyume chake..

Mogadishu ni Moja ya Majiji mkubwa na Jiji limepangwa vizuri na Lina Kasi kubwa sana ya ujenzi wa majengo ya biashara..

Kwa kuifananisha na Dar naona ni nzuri sana ,najua mtatoa mapovu ila huu ndio ukweli mchungu..

My Take: Kwa jinsi wasomali Wana akili, spirit ya ujasiriamali na Wajasiri basi Nchi Yao ikija kupata Utulivu tu mjue Mogadishu itakuwa Dubai ya Afrika.

20230521_215336.jpg
20230521_215339.jpg
 
Ukisikiliza vyombo vya habari kuhusu Mogadishu n Somalia unaweza dhani labda huko ni hakuna maisha kabisa,ule ni upotoshaji n ukweli halisi nimkinyume chake..

Mogadishu ni Moja ya Majiji mkubwa na Jiji limepangwa vizuri na Lina Kasi kubwa sana ya ujenzi wa majengo ya biashara..

Kwa kuifananisha na Dar naona ni nzuri sana ,najua mtatoa mapovu ila huu ndio ukweli mchungu..

My Take
Kwa jinsi wasomali Wana akili,spirit ya ujasiriamali na Wajasiri basi Nchi Yao ikija kupata Utulivu tuu mjue Mogadishu itakuwa Dubai ya Afrika..
View attachment 2639405View attachment 2639406

Wakenya mna mambo sana mkisha loea Tanzania. Kwanini mnakimbia uraia wa nchi yenu na kujivika Utanzania wakati sisi hatufanyi hivyo?
 
Somalia siku ikitulia ndio tutajua hatujui nafikir hiyo nchi ni mwingoni mwa nchi vinara za Africa ambazo zina idadi kubwa ya namba ya Diaspora ingawa wapo huko g'ambo kama wakimbizi lkn kiukweli huko wana pata elimu iliyo bora na lishe bora
 
Shida ya watu wenye akili ndio hiyo,Hadi waje waelewane sio Leo
Itakuwa haraka sana na pia Ina mali
20230529_182126.jpg
20230529_182118.jpg
20230529_182059.jpg
20230529_182002.jpg
20230529_181955.jpg
20230529_181941.jpg
20230529_181926.jpg
20230529_181924.jpg
20230529_181740.jpg
20230529_182013.jpg
 
Back
Top Bottom