Kwahio nikiamuru laptop yangu kwa kuiambia zima.. na ikazima ..laptop yangu inakuwa kiumbe hai?Yes, ni kiumbe hai ndiyo na ndiyo maana Yesu aliamuru upepo tulia ukatii. Kuna viumbe hai vingi tu sayansi bado imeshindwa kuvijua, mfano ardhi, maji, upepo n.k
1. Ardhi ni kiumbe hai ndiyo maana inakuwa, inaishi na inakufa.
2. Maji ni uhai, hatuwezi kusema hivyo alafu maji yenyewe yasiwe hai.
3. Upepo nishaelezea...
Au hata hizi simu zetu, ukisema switch off, na ikaswitch off.. simu inakuwa kiumbe hai?


