Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just because of 12 kenyans?? This things happen all the time, difference ni kenya allows dual citizenship. Watanzania hapa hmna exposure kabisa, ni mdomo tu
Sasa mbona hakuna mtanzania hata mmoja aliyeomba uraia wa Kenya na kuukataa uraia wake wa Tanzania lakini Kuna raia wengi Sana wa Tanzania waliochukua uraia wa nchi zingine na kuukataa uraia wa Tanzania?.

Kenya is shithole country, there is no a single Tanzanian who would deny his/her citizenship for a Kenyan passport.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Uganda inaweza kuingillia masuala ya marekani?? Kwani marekani ni nani aipangie africa jinsi ya kuishi?? Kwann anaingilia masuala ya sheria za nchi ili iweje sikia bro kila nchi ina sheria na tamaduni pamoja na katiba huwez kulazmisha watu waishi unavotaka ww bro lazima uheshimu maamuzi ya nchi fulani na sio kuwapangia taratibu, mbona ugaidi ukitokea hua hawafundishi nn cha kufanya mbona wakifungwa maisha haji kuwafundisha wafanye nn au haki za binaadamu?? Acheni nchi za afrika ziwe na uhuru wa maamuzi musilete haki za binaadamu kwa kificho cha ushoga na usagaji
Mkuu, Marekani imeingiliaje Uganda?, wao wamesema kwamba katiba Yao haiwaruhusu kushirikiana na nchi zinazopinga ushoga, hiyo ndio katiba ya Marekani inavyosema, wanafuata katiba Yao Kama ambavyo Uganda inafuata katiba yake, tatizo liko wapi?.

Inaonekana sisi waafrika ndio tunataka kuingilia uhuru wa Amerika, tusiwachagulie wamarekani marafiki na maadui, kwao wameona waifanye Uganda kuwa ni adui Yao kwasababu ya hilo kwa mujibu wa katiba Yao, tatizo liko wapi?.

Waganda wawe huru kufanya vile wapendavyo, na USA wawe huru kufanya vile wapendavyo. Kwani ni lazima kwa waganda kwenda Marekani?, kwani ni lazima Uganda kupokea misaada ya wamarekani?, Kwani ni lazima Uganda kushirikiana na nchi ambayo inakwenda kinyume na utamaduni wao?, Kila mtu abaki kwake hakuna kukwaruzana kutokana na tofauti za Imani na mitazamo.

20230530_133341.jpg
 
Waganda wawe huru kufanya vile wapendavyo, na USA wawe huru kufanya vile wapendavyo. Kwani ni lazima kwa waganda kwenda Marekani, kwani ni lazima Uganda kupokea misaada ya wamarekani?, Kwani ni lazima Uganda kushirikiana na nchi ambayo inakwenda kinyume na utamaduni wao?, Kila mtu abaki kwake hakuna kukwaruzana kutokana na tofauti za Imani na mitazamo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa katiba ya uganda inawahusu nn america au sheria za uganda zinawahusu nn america? Kwann wafuate katiba zao kwenye nchi sio zao au uganda ni colony ya america naomba jibu mkuu??

Huwez kuzipangia nchi zingine sheria zako unazozitaka wakat sio nchi yako haiwezekani katiba ya uganda hairuhusu ushoga basi unatakiwa uiheshimu kwasababu ni maamuzi yao hio ndio democracy lakini haiwezekani ulazmishe tamaduni za ushoga kwenye nchi za watu haiwezekani bro na haya mambo tuyachunge sana ni mabaya kuliko hata hio covid 19 au ebola
 
Mkuu, Marekani imeingiliaje Uganda?, wao wamesema kwamba katiba Yao haiwaruhusu kushirikiana na nchi zinazopinga ushoga, hiyo ndio katiba ya Marekani inavyosema, wanafuata katiba Yao Kama ambavyo Uganda inafuata katiba yake, tatizo liko wapi?.

Inaonekana sisi waafrika ndio tunataka kuingilia uhuru wa Amerika, tusiwachagulie wamarekani marafiki na maadui, kwao wameona waifanye Uganda kuwa ni adui Yao kwasababu ya hilo kwa mujibu wa katiba Yao, tatizo liko wapi?.

Waganda wawe huru kufanya vile wapendavyo, na USA wawe huru kufanya vile wapendavyo. Kwani ni lazima kwa waganda kwenda Marekani?, kwani ni lazima Uganda kupokea misaada ya wamarekani?, Kwani ni lazima Uganda kushirikiana na nchi ambayo inakwenda kinyume na utamaduni wao?, Kila mtu abaki kwake hakuna kukwaruzana kutokana na tofauti za Imani na mitazamo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
sasa kama uganda haitaki unachotaka ww basi dawa ni kuwekea vikwazo 😆😆🙌🙌🙌 tujifunze kujitegemea ndio sera za ujamaa zilivo vya bure madhara yake ndio hayo sasa

Kama sio lazma kwa uganda kwenda marekani kwann america inaweka vikwazo na kuwalazmisha mataifa mengine wafanye hvo?? Huo ndio uungwana au?? Kwasababu wao wakubwa ndio wazionee nchi ndogo kwa kulazmisha laana zao au??
 
Uganda inaweza kuingillia masuala ya marekani?? Kwani marekani ni nani aipangie africa jinsi ya kuishi?? Kwann anaingilia masuala ya sheria za nchi ili iweje sikia bro kila nchi ina sheria na tamaduni pamoja na katiba huwez kulazmisha watu waishi unavotaka ww bro lazima uheshimu maamuzi ya nchi fulani na sio kuwapangia taratibu, mbona ugaidi ukitokea hua hawafundishi nn cha kufanya mbona wakifungwa maisha haji kuwafundisha wafanye nn au haki za binaadamu?? Acheni nchi za afrika ziwe na uhuru wa maamuzi musilete haki za binaadamu kwa kificho cha ushoga na usagaji
Mkuu, Kila mtu afanye na kumshawishi mwengine afuate vile aonavyo yeye ni sahihi, atakayeshindwa atamfuata mwenzake. Acha Uganda na USA wapambane, atakayeshindwa atamfuata mwenzake

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ninaheshimu mawazo yako, lakini sikubaliani na wewe.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndio maana Huwa namlaumu baba wa Taifa, kutumia rasilimali zetu na Nguvu kazi yetu Kwa Ajili ya kupihania na kujenga Nchi za watu bila makubaliano ya kutulipa Kwa kisingizio Cha undugu..

Hakuna Taifa linawachukulia Watzn eti ni ndugu labda kwenye ngazi za Kisiasa ila huku chini unachezea kichapo kama kawaida.

Imagine watu wanalaumu Hadi Kuuwawa Kwa Gadafi ambae alidiriki kumsaidia Idd Amini Ili atupe kichapo..

Matatizo ya Nchi yali burst baada ya vita ya Uganda.

Mwisho urafiki uendane na kusaidiana sio hadithi zisizo na msingi,Bora hata Cuba ukiacha mambo ya ku train human power Bali walitoa pesa za kujenga Barabara ya Morogoro Dom na Songea Njombe kama sijakosea..

China pia Wana Cha kuonesha kama Tazara nk hao Russia mnaoshobokea walifanya kipi Cha kuonekana zaidi ya kujifichia kwenye ku train human power na hadithi za kufikirika huko jeshini?
 
Sasa mbona hakuna mtanzania hata mmoja aliyeomba uraia wa Kenya na kuukataa uraia wake wa Tanzania lakini Kuna raia wengi Sana wa Tanzania waliochukua uraia wa nchi zingine na kuukataa uraia wa Tanzania?.

Kenya is shithole country, there is no a single Tanzanian who would deny his/her citizenship for a Kenyan passport.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We dwanzi kenya allows dual citizenship huhitaji kuukana uraia wako ili upewe uraia wa kenya kama mnavyofanya nyinyi
 
Mkuu, Kila mtu afanye na kumshawishi mwengine afuate vile aonavyo yeye ni sahihi, atakayeshindwa atamfuata mwenzake. Acha Uganda na USA wapambane, atakayeshindwa atamfuata mwenzake

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

hehehe atakeishindwa amfate mwenzie basi nimekuelewa yani manake kwavile ww mkubwa basi ulazmishe wadogo wafate laana zako ndio maana yake au? Sijuu tunatoa wapi mguvu kutetea ushoga aloo 🙌 alaf nyuma ya mlango tunashabikia democracy 😆😆😆
 
Sasa katiba ya uganda inawahusu nn america au sheria za uganda zinawahusu nn america? Kwann wafuate katiba zao kwenye nchi sio zao au uganda ni colony ya america naomba jibu mkuu??

Huwez kuzipangia nchi zingine sheria zako unazozitaka wakat sio nchi yako haiwezekani katiba ya uganda hairuhusu ushoga basi unatakiwa uiheshimu kwasababu ni maamuzi yao hio ndio democracy lakini haiwezekani ulazmishe tamaduni za ushoga kwenye nchi za watu haiwezekani bro na haya mambo tuyachunge sana ni mabaya kuliko hata hio covid 19 au ebola
Mkuu, Kuna sehemu hujaelewa vizuri, Marekani hailazimishi Uganda kubadili au kutokufuata katiba Yao, inachosema Marekani ni kwamba hawawezi kushirikiana na nchi yenye sheria ya kupinga ushoga, Kama ambavyo Tanzania tulikataa kushirikiana na nchi zote zenye Sheria za ubaguzi wa rangi.

Wamarekani sheria zao haziruhusu kushirikiana na nchi yenye sheria kandamizi kwa mujibu wa katiba ya Marekani. Wanachokifanya Marekani ni kutokushirikiana na Uganda, sio kulazimisha Uganda. Ni chaguo la Uganda kuendelea na sheria Yao Ili kulinda maadili Yao vs Uhusiano na US, lipi watachagua?, Ngoja tuone.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana Huwa namlaumu baba wa Taifa, kutumia rasilimali zetu na Nguvu kazi yetu Kwa Ajili ya kupihania na kujenga Nchi za watu bila makubaliano ya kutulipa Kwa kisingizio Cha undugu..

Hakuna Taifa linawachukulia Watzn eti ni ndugu labda kwenye ngazi za Kisiasa ila huku chini unachezea kichapo kama kawaida.

Imagine watu wanalaumu Hadi Kuuwawa Kwa Gadafi ambae alidiriki kumsaidia Idd Amini Ili atupe kichapo..

Matatizo ya Nchi yali burst baada ya vita ya Uganda.

Mwisho urafiki uendane na kusaidiana sio hadithi zisizo na msingi,Bora hata Cuba ukiacha mambo ya ku train human power Bali walitoa pesa za kujenga Barabara ya Morogoro Dom na Songea Njombe kama sijakosea..

China pia Wana Cha kuonesha kama Tazara nk hao Russia mnaoshobokea walifanya kipi Cha kuonekana zaidi ya kujifichia kwenye ku train human power na hadithi za kufikirika huko jeshini?
Hvi ww unafkiri nchi zote zilizotuzunguka zingekua hazina amani ziko kwenye vita unafkiri hii amani iliopo tanzania ingekuwepo??? Inahitaji akili kubwa sana kufkiria haya na siku zote what goes around comes around, diplomacy ni kitu muhimu sana ndio maana unaona tanzania imewekwa SADC kwa heshima kama hio usioitaka ww vitu vingine tumia akili ndogo tu hata kama kubwa huna 😆😆😆😆
 
Mkuu, Kuna sehemu hujaelewa vizuri, Marekani hailazimishi Uganda kubadili au kutokufuata katiba Yao, inachosema Marekani ni kwamba hawawezi kushirikiana na nchi yenye sheria ya kupinga ushoga, Kama ambavyo Tanzania tulikataa kushirikiana na nchi zote zenye Sheria za ubaguzi wa rangi.

Wamarekani sheria zao haziruhusu kushirikiana na nchi yenye sheria kandamizi kwa mujibu wa katiba ya Marekani. Wanachokifanya Marekani ni kutokushirikiana na Uganda, sio kulazimisha Uganda. Ni chaguo la Uganda kuendelea na sheria Yao Ili kulinda maadili Yao vs Uhusiano na US, lipi watachagua?, Ngoja tuone.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa kama hailazmishi kwann aweke vikwazo vya kiuchumi kwa kutumia ubabe wake ?? Kwann yeye haeshimu sheria za nchi zingine ?? Usiniambie hujui bro najua inside ur heart unajua ukweli mtupu kuhusu anachokifanya beberu kwa nchi za africa 😆😆 kuweka vikwazo tu maana yake hueshimu sheria za nchi zingine na kwa maana nyingine ni kwamba unalazmisha ushoga africa ndio ukweli hata ukwepe vipi hautabadilika kua ukweli
 
Ndio maana Huwa namlaumu baba wa Taifa, kutumia rasilimali zetu na Nguvu kazi yetu Kwa Ajili ya kupihania na kujenga Nchi za watu bila makubaliano ya kutulipa Kwa kisingizio Cha undugu..

Hakuna Taifa linawachukulia Watzn eti ni ndugu labda kwenye ngazi za Kisiasa ila huku chini unachezea kichapo kama kawaida.

Imagine watu wanalaumu Hadi Kuuwawa Kwa Gadafi ambae alidiriki kumsaidia Idd Amini Ili atupe kichapo..

Matatizo ya Nchi yali burst baada ya vita ya Uganda.

Mwisho urafiki uendane na kusaidiana sio hadithi zisizo na msingi,Bora hata Cuba ukiacha mambo ya ku train human power Bali walitoa pesa za kujenga Barabara ya Morogoro Dom na Songea Njombe kama sijakosea..

China pia Wana Cha kuonesha kama Tazara nk hao Russia mnaoshobokea walifanya kipi Cha kuonekana zaidi ya kujifichia kwenye ku train human power na hadithi za kufikirika huko jeshini?
Mkuu, enzi hizo za ukombozi, Russia ndiyo ilikua imeshikilia sector ya elimu ya Tanzania, 70% ya wataalamu wa nyanja mbalimbali nchini walikua wakisomeshwa USSR, zaidi ya walimu 1500 toka USSR walisambaa katika shule za serikali na vyuo vikuu hapa nchini.

Mkuu, kwa uchumi wa USSR wakati ule, walitubeba Sana katika kipindi kigumu wakati Dunia nzima ilitutenga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Kuna sehemu hujaelewa vizuri, Marekani hailazimishi Uganda kubadili au kutokufuata katiba Yao, inachosema Marekani ni kwamba hawawezi kushirikiana na nchi yenye sheria ya kupinga ushoga, Kama ambavyo Tanzania tulikataa kushirikiana na nchi zote zenye Sheria za ubaguzi wa rangi.

Wamarekani sheria zao haziruhusu kushirikiana na nchi yenye sheria kandamizi kwa mujibu wa katiba ya Marekani. Wanachokifanya Marekani ni kutokushirikiana na Uganda, sio kulazimisha Uganda. Ni chaguo la Uganda kuendelea na sheria Yao Ili kulinda maadili Yao vs Uhusiano na US, lipi watachagua?, Ngoja tuone.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
sheria za america ndio zinazopangia sheria za nchi zengine?? Kama africa zinaheshimu sheria za nchi zingine kwann wao wasiheshimu sheria za mataifa mengine mbona qatar ilakataa ushoga hadharani na marekani wakaenda na wakafata sheria zote za qatar na wengine walikuja na ndege zanye nembo ya ushoga na wakarudishwa uliona wapi marekani anaweka vikwazo vya kiuchumi ?? Tufungue akili waafrica tunasafari ndefu sana
 
We dwanzi kenya allows dual citizenship huhitaji kuukana uraia wako ili upewe uraia wa kenya kama mnavyofanya nyinyi
Huna akili wewe, kwahiyo dual citizenship ya Kenya inamruhusu mtanzania kuwa raia wa Kenya bila kuukana uraia wa Tanzania?. Hizi akili zenu ndio sababu mnadondokewa na maghorofa Kila siku.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
sheria za america ndio zinazopangia sheria za nchi zengine?? Kama africa zinaheshimu sheria za nchi zingine kwann wao wasiheshimu sheria za mataifa mengine mbona qatar ilakataa ushoga hadharani na marekani wakaenda na wakafata sheria zote za qatar na wengine walikuja na ndege zanye nembo ya ushoga na wakarudishwa uliona wapi marekani anaweka vikwazo vya kiuchumi ?? Tufungue akili waafrica tunasafari ndefu sana
Mkuu, Kama Marekani wamekataa kushirikiana na Uganda, tatizo liko wapi?, Uganda nao wakatae kushirikiana na Marekani.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, enzi hizo za ukombozi, Russia ndiyo ilikua imeshikilia sector ya elimu ya Tanzania, 70% ya wataalamu wa nyanja mbalimbali nchini walikua wakisomeshwa USSR, zaidi ya walimu 1500 toka USSR walisambaa katika shule za serikali na vyuo vikuu hapa nchini.

Mkuu, kwa uchumi wa USSR wakati ule, walitubeba Sana katika kipindi kigumu wakati Dunia nzima ilitutenga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Si ilikuwa inapandikiza Itikadi za kindezi na uvivu za ujamaa aliyokuwa anahubiri Nyerere ndio sababu ikawa hivyo..

Kama kawaida Nyerere aliegemea kwenye kundi la ndege wanafanana,Sasa Leo hii nani anataka huo mfumo wa kipuuzi wa ujamaa wa kina Karl Max na Lenin?
 
Back
Top Bottom