ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Watu wa pwani wenyewe hawawapendi hawa wa central na milimani nakumbuka kile kipindi walichotaka kujitengaBora tuwakubali wahindi na wapakistan kuliko Wakenya mkuu, hao wahindi na wapakistan hawana tatizo lolote na Watz ila Wakenya sio watu kabisa. Mombasa ni sehemu ya Tz haina shida na watu wake wengi wana elements za ki Tz ila Wakenya weusi kutoka maeneo mengine ukiacha Mombasa ni mbwa sana.



Wao wameamua kujitoa kushirikiana na nchi yoyote wanayohisi ni kandamizi, tusilalamike, tuwaache waende.kushirikiana nao kwenye biashara sio tatizo lakini sio kwenye masuala ya sheria na utamaduni wa nchi na watu wake hilo hapana mzeeusilazmishe sheria zao ziwe zetu kwa mlango wa nyuma wa haki za binaadamu kama wao ni mashoga wakae na ushoga wao sio lazima uwepo africa mzee
Lazima wakimbie maisha magumu , ardhi ya watu wachache na ukabila .Not only 12 Kenyans, mpo wengi mnaotaka uraia wa Tanzania sema tunawabana ktk kuwapa uraia nyie Wakenya la sivyo mngekuwa maelfu kwa maelfu.
. Na tumewapiga pin kweli Ushoga haukubaliki hata mkijificha kwenye kichaka cha haki za binadamu, kwanza ukiacha katazo la kidini kuhusu ushoga lkn hata kisayansi ushoga una athari nyingi, mtu ukiwa shoga baadaye una haribikiwa, sasa kama una athari kwnn tuu tolerate?Kitu usichotaka kusikia ni kuwa hiyo act iliyopitishwa Uganda ina-undermine haki za binadamu. Watu kama nyie mnaona Sawa Kwa baadhi ya makundi kwenye jamii kukandamizwa, kudharauliwa, hata pia kufungwa na kuuawa kwasababu haikuathiri kwa namna yoyote.
Tolerance ni kitu ambacho Tanzania imesimamia tangu nchi ipate uhuru. Ndio Maana tunaishi kwa amani tofauti na majirani zetu. Kuheshimu TOFAUTI za watu wengine kama dini zao au madhehebu yao au makabila yao si tofauti na kuheshimu haki za mashoga. Kama Wewe unafurahia kuishi Kwa uhuru bila kuumizwa na watu wengine kwanini utumie uhuru wako kusababisha harm Kwa binadamu mwingine? Huwezi kusema kuwa LIFESTYLE ya mtu mwingine inakukosesha Amani wakati Huyo mtu hajakukosea Kwa kitu chochote. Hiyo ni BIGOTRY. Na wengi humu mmejaa chuki zisizo na sababu.
Hivi Kuna watu washerati Kama waafrika?, au "definition" ya uasherati imebadilika siku hizi?. Wazungu wameamua kutoshirikiana na nchi yoyote wanayodhani sheria zao haziendani na zao, huko sio kulazimisha kitu. Waafrika tulieni kwenu kwenye sheria na maadili mazuri, wacheni kushirikiana na nchi za Ulaya na Marekani zenye laana.Haki za binaadamu ni zipi?? Mbona walimuua gadafi na sadam husein au haki za binaadamu hazikuwepo?? Usifiche maovu na usherati kwa kusingizia haki za binaadamu mangapi ya ugaidi yanafanyika kwenye nchi zao na husikii wakitaja haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kwa vile ushoga wanoutaka wao ndio uwe uhuru kwa africa na kwann africa kwann sio asia ?? Mbona huko hawafanyi wanayoyafanya africa au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia huwez yajibu na hii mada sio size yako mzeee achana nayo
Kuharibu kizazi ni haki za binaadamu![]()
Hao US mbn hawawasumbui Saudi Arabia ambao hawaruhusu ushoga wanakuja kuisumbua Uganda.Haki za binaadamu ni zipi?? Mbona walimuua gadafi na sadam husein au haki za binaadamu hazikuwepo?? Usifiche maovu na usherati kwa kusingizia haki za binaadamu mangapi ya ugaidi yanafanyika kwenye nchi zao na husikii wakitaja haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kwa vile ushoga wanoutaka wao ndio uwe uhuru kwa africa na kwann africa kwann sio asia ?? Mbona huko hawafanyi wanayoyafanya africa au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia huwez yajibu na hii mada sio size yako mzeee achana nayo
Kuharibu kizazi ni haki za binaadamu![]()
Wewe mkuu unawajua Sana wakenyaTatizo lao ni wanafiki sana! Sidhani kama kuna Taifa Africa ambalo halijielewe, halina msimamo, kigeu geu kama Kenya!
Serikali na watu wake wote ni hovyo tu!!
Mkuu mimi nimegusia suala la ushoga ni kinyume kabisa na tamaduni za binadamu sio tu Africa bali dunia nzima na hata wanyama ambao wamezaliwa na jinsia moja hawaingiliani na jinsia yake bali jinsia tofauti na ya kwake, huwa inashangaza sana ukiona wanyama wa jinsia moja wanaingiliana na ni very rare, iweje sisi tulichekee jambo kama hilo kwa misingi ya haki za binadamu?(Ni utamaduni wa dunia nzima kwamba mwanaume kwa mwanamke na si vinginevyo, hilo suala la mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke wanalileta kwa itikadi zao na mpaka sasa hatuelewi kwa nini wanalazimisha iwe hivyo, so hatuwezi kuliacha liendelee kuwa hivyo mana si utaratibu wetu wa Afrika.")
Mkuu, utamaduni ni mambo yanayobadilika kwasababu jamii pia zinabadilika, Kuna tamaduni nyingi Sana ambazo hazikuwepo, au zilikuwepo kwa kiasi kidogo Sana miaka ya 1970s lakini hivi Sasa hazipo.
Mfano mzuri ni utamaduni wa mavazi, miaka ya 1970s vazi la suruali lilikua ni kwa ajili ya wanaume, na shorts(Kaptula), ndio kabisaa, ni WA awake wa kizungu tu ndio ambao walikua wanavaa, hii Leo ni "Opposite".
Mkuu, 98% ya dini na mfumo wa maisha ya hivi Sasa unafuata sheria za dini za kigeni(Uislan na Ukristo), hata huo ushoga unapingwa kwa kutumia Sheria za kidini zaidi kuliko Sheria za kitamaduni.
Sheria zetu za kimila zinaruhusu ndoa za wake wengi, lakini wakristo hawaitumii badala yake wameamua kuo mke mmoja.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hope this time African will be united against western countries, don't forget Kenya is inside them


Alimaanisha wana uwezo wa kuzaa kwamba akiingiliana na mwanamke, sasa kama kuzaa mpaka aingiliane na mwanamke lengo hasa la kuwa shoga ni nini.Ninakubaliana na wewe kwa yote uliyoandika, isipokua sehemu Moja tu
" Pili, mashoga pia wanao uwezo wa kuzaa". Hii sehemu sio sahihi, hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kubeba mimba, bado hiyo technology duniani haipo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kitu usichotaka kusikia ni kuwa hiyo act iliyopitishwa Uganda ina-undermine haki za binadamu. Watu kama nyie mnaona Sawa Kwa baadhi ya makundi kwenye jamii kukandamizwa, kudharauliwa, hata pia kufungwa na kuuawa kwasababu haikuathiri kwa namna yoyote.
Tolerance ni kitu ambacho Tanzania imesimamia tangu nchi ipate uhuru. Ndio Maana tunaishi kwa amani tofauti na majirani zetu. Kuheshimu TOFAUTI za watu wengine kama dini zao au madhehebu yao au makabila yao si tofauti na kuheshimu haki za mashoga. Kama Wewe unafurahia kuishi Kwa uhuru bila kuumizwa na watu wengine kwanini utumie uhuru wako kusababisha harm Kwa binadamu mwingine? Huwezi kusema kuwa LIFESTYLE ya mtu mwingine inakukosesha Amani wakati Huyo mtu hajakukosea Kwa kitu chochote. Hiyo ni BIGOTRY. Na wengi humu mmejaa chuki zisizo na sababu.
Mkuu, hata wanyama wapo mashoga, Kama ilivyo kwa binadamu japo ni very "rare", hata kwa binadamu pia ushoga upo japo ni very "rare". Inashangaza Sana kuona wanyama wanavumiliana kuwa na wenzao ambao tabia zao ni tofauti lakini binadamu tunashindwa kuvumilian, huu ni ubinafsi wa hali ya juu Sana wa binadamu.Mkuu mimi nimegusia suala la ushoga ni kinyume kabisa na tamaduni za binadamu sio tu Africa bali dunia nzima na hata wanyama ambao wamezaliwa na jinsia moja hawaingiliani na jinsia yake bali jinsia tofauti na ya kwake, huwa inashangaza sana ukiona wanyama wa jinsia moja wanaingiliana na ni very rare, iweje sisi tulichekee jambo kama hilo kwa misingi ya haki za binadamu?
Okay. There’s a lot to unpack here.Ushoga haukubaliki hata mkijificha kwenye kichaka cha haki za binadamu, kwanza ukiacha katazo la kidini kuhusu ushoga lkn hata kisayansi ushoga una athari nyingi, mtu ukiwa shoga baadaye una haribikiwa, sasa kama una athari kwnn tuu tolerate?
Mzazi gani angependa awe na mtoto shoga? Unakuwa shoga ili iweje? Mana lengo kuu la sex ukiacha starehe ni kuzaana, je unakuwa shoga ili uzae au? Na kwnn shoga hazai? Ile sehemu ipo kule nyuma sio kwasababu za kuingiliwa bali kujisaidia tu na si vinginevyo, hata mwanamke anayefanywa kule nyuma mwishowe hupata hitilafu kubwa za kimwili, kwnn mnalazimisha kuwe na usawa kwenye jambo ovu namna hiyo?
Kwnn tusiungane kupinga kwa dhati kabisa tabia hizi za kishenzi? unasema mtu akiwa shoga hamuathiti mtu mwingine na kwamba aachwe, je mtu akiwa teja anamuathiri nani? Mbona mateja mnawasumbua wakati hawawaathiri chochote? Kwnn machoko mnataka tuwaache?
Sikatai kwamba wazazi wengi wana expectations za watoto wao kuishi maisha “typical,” that is kufanya ndoa na kuishi kama baba na mama na kuzaa watoto. Lakini Hakuna mtu anayechagua kuwa shoga. Ni Sawa na Wewe ambaye si shoga useme leo kuwa unaamua kuwa shoga. Nina uhakika haiwezekani. Na hii ni misconception kubwa kwasababu watu wengi wanadhani mashoga wamechangua kuwa hivyo walivyo.Mzazi gani angependa awe na mtoto shoga? Unakuwa shoga ili iweje? Mana lengo kuu la sex ukiacha starehe ni kuzaana, je unakuwa shoga ili uzae au? Na kwnn shoga hazai? Ile sehemu ipo kule nyuma sio kwasababu za kuingiliwa bali kujisaidia tu na si vinginevyo, hata mwanamke anayefanywa kule nyuma mwishowe hupata hitilafu kubwa za kimwili, kwnn mnalazimisha kuwe na usawa kwenye jambo ovu namna hiyo?
Kwnn tusiungane kupinga kwa dhati kabisa tabia hizi za kishenzi? unasema mtu akiwa shoga hamuathiti mtu mwingine na kwamba aachwe, je mtu akiwa teja anamuathiri nani? Mbona mateja mnawasumbua wakati hawawaathiri chochote? Kwnn machoko mnataka tuwaache?
a.k.a superpower.Jinsi sera zetu zinavyoaaffect nchi za jirani, ukiona unaweka sheria nchini kwako lakini wanapiga kelele wengine jua wewe una umuhimu mkubwa
Swali zuri Sana mkuuAlimaanisha wana uwezo wa kuzaa kwamba akiingiliana na mwanamke, sasa kama kuzaa mpaka aingiliane na mwanamke lengo hasa la kuwa shoga ni nini.
I am not offended by your childishness. People who stand up against oppression are always ridiculed this way. Lakini that is the least of my worries. Kutetea haki za watu wengine ni paramount.