Maridhiano ni kukubali ushoga au sio ๐๐Ndio wameanza madhirikiano na Uganda, tunaanza kulialia.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mnachekesha sn, nikiangalia hii Konza alafu nikiangalia Dodoma huwa inaonesha jinsi mlivyo hopeless, konza nimeanza kuisikia kitambo sana lkn ndio kwanza kuna ghorofa tatu wakati Dodoma imeanza juzi tu hapa lkn leo haishikiki, nyie ni failed state ever.
Haki za binaadamu ni zipi?? Mbona walimuua gadafi na sadam husein au haki za binaadamu hazikuwepo?? Usifiche maovu na usherati kwa kusingizia haki za binaadamu mangapi ya ugaidi yanafanyika kwenye nchi zao na husikii wakitaja haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kwa vile ushoga wanoutaka wao ndio uwe uhuru kwa africa na kwann africa kwann sio asia ?? Mbona huko hawafanyi wanayoyafanya africa au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia huwez yajibu na hii mada sio size yako mzeee achana nayoKitu usichotaka kusikia ni kuwa hiyo act iliyopitishwa Uganda ina-undermine haki za binadamu. Watu kama nyie mnaona Sawa Kwa baadhi ya makundi kwenye jamii kukandamizwa, kudharauliwa, hata pia kufungwa na kuuawa kwasababu haikuathiri kwa namna yoyote.
Tolerance ni kitu ambacho Tanzania imesimamia tangu nchi ipate uhuru. Ndio Maana tunaishi kwa amani tofauti na majirani zetu. Kuheshimu TOFAUTI za watu wengine kama dini zao au madhehebu yao au makabila yao si tofauti na kuheshimu haki za mashoga. Kama Wewe unafurahia kuishi Kwa uhuru bila kuumizwa na watu wengine kwanini utumie uhuru wako kusababisha harm Kwa binadamu mwingine? Huwezi kusema kuwa LIFESTYLE ya mtu mwingine inakukosesha Amani wakati Huyo mtu hajakukosea Kwa kitu chochote. Hiyo ni BIGOTRY. Na wengi humu mmejaa chuki zisizo na sababu.
Hakuna mtanzania angependa kuwa mkenya ila over 90% ya Wakenya wangependa kuwa Watz hata hawa wa humu.Sasa mbona hakuna mtanzania hata mmoja aliyeomba uraia wa Kenya na kuukataa uraia wake wa Tanzania lakini Kuna raia wengi Sana wa Tanzania waliochukua uraia wa nchi zingine na kuukataa uraia wa Tanzania?.
Kenya is shithole country, there is no a single Tanzanian who would deny his/her citizenship for a Kenyan passport.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kushirikiana nao kwenye biashara sio tatizo lakini sio kwenye masuala ya sheria na utamaduni wa nchi na watu wake hilo hapana mzee ๐๐๐๐ usilazmishe sheria zao ziwe zetu kwa mlango wa nyuma wa haki za binaadamu kama wao ni mashoga wakae na ushoga wao sio lazima uwepo africa mzeeHuwez kulazmisha ushoga ambao ni laana kubwa sana kwa kigezo cha haki za binaadamu na democracy never ever kwanza ukiangalia nyuma ya haki za binaadamu kuna matukio yakutisha na propaganda
Hakuna mtu aliyelazimishwa ushoga, ila Marekani imekataa kushirikiana na nchi yoyote yenye sheria kandamizi ya ushoga. Sisi wenye akili na dini nzuri, tujipange Ili tuwatenge wale wote ambao katiba zao zinaruhusu ushoga.
Hivi iweje tunalazimisha kushirikiana na nchi zenye laana Kama USA?, Mimi nilitegemea tungefurahia Marekani kuacha kushirikiana na Afrika kwasababu watatuambukiza laana ya ushoga, badala yake tunataka kuendelea kushirikiana na Taifa lililo na laana,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hata kama tusingekuwepo waha tusingepata hasara yeyote na hata baada ya kuwepo hakuna kitu chochote Cha maana tunapata..SADC ilitakiwa tanzania isiwepo ila wakaikubali tanzania kwa vigezo vya kuchagiza uhuru wa nchi zao ndio maana tanzania pia ni mwanachama wa SADC akili kubwa tu ndio inaweza kuelewa ๐๐๐๐
(Ni utamaduni wa dunia nzima kwamba mwanaume kwa mwanamke na si vinginevyo, hilo suala la mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke wanalileta kwa itikadi zao na mpaka sasa hatuelewi kwa nini wanalazimisha iwe hivyo, so hatuwezi kuliacha liendelee kuwa hivyo mana si utaratibu wetu wa Afrika.")Mkuu suala la ushoga halihusiani na imani, ni utamaduni wa mwafrika tangu enzi na enzi, kwamba mwanaume kwa mwanamke na si vinginevyo. Kuhusu Mungu hiyo imani ya kuamini uwepo wa Mungu hatujaletewa waafrika bali ipo miaka nenda rudi isipokuwa kuna jinsi tulivyokuwa tunaamini sisi waafrika, hakuna taifa lililofundishwa uwepo wa Mungu isipokuwa tunatofautiana jinsi ya kuabudu, sisi tulikuwa na utamaduni wetu wa kuamini.
Ni utamaduni wa dunia nzima kwamba mwanaume kwa mwanamke na si vinginevyo, hilo suala la mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke wanalileta kwa itikadi zao na mpaka sasa hatuelewi kwa nini wanalazimisha iwe hivyo, so hatuwezi kuliacha liendelee kuwa hivyo mana si utaratibu wetu wa Afrika.
Sasa ili uwe mtz ni lazima uukane uraia wako, sheria zetu zinasema hivyo thus y hao Wakenya 12 wameukana uraia wa Kenya.We dwanzi kenya allows dual citizenship huhitaji kuukana uraia wako ili upewe uraia wa kenya kama mnavyofanya nyinyi
Kuna disinformation nyingi kuhusu mashoga na umezitaja mbili: kwamba hawawezi kuzaa watoto na pia ni Pedophiles. Sikatai kwamba kuna mshoga ambao hawana uwezo wa kuzaa au mashoga ambao ni pedophiles LAKINI hizi si defining characters exclusive to them! Kanisa Katoliki Lina maelfu na maelfu ya kesi za PRIESTS abusing children sexually AKA PEDOPHILIA lakini ni watu wachache sana ambao wanasema kuwa kanisa Katoliki ni pedophile. Hii Imani uliyonayo kuwa mashoga ni pedophiles ni ya uongo.Kama makanisa yanakashafa hizo ni wao sisi tunasali kwa Mungu sio mwanadamu Mungu aliumba Mwanaume na Mwanamke akasema mkazae muijaze dunia , Mashoga wanawezaje kuzaa etc , kama wao ni mashoga sawa , ila wasilazimishe watu eti kufunga biashara kisa ushoga , wakati wao wanafanya mambo ya ajabu inculding pedophilia
Zaidi ya Nyerere kwenye aspects zipi?
Typing error, nimesharekebishaMaridhiano ni kukubali ushoga au sio
Aiseeeee![]()
Nae atulie hapo hapo! Kwani ni lazima kwenda!?Mkuu, Kama Marekani wamekataa kushirikiana na Uganda, tatizo liko wapi?, Uganda nao wakatae kushirikiana na Marekani.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huna akili wewe, kwahiyo dual citizenship ya Kenya inamruhusu mtanzania kuwa raia wa Kenya bila kuukana uraia wa Tanzania?. Hizi akili zenu ndio sababu mnadondokewa na maghorofa Kila siku.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app






Ninakubaliana na wewe kwa yote uliyoandika, isipokua sehemu Moja tuKuna disinformation nyingi kuhusu mashoga na umezitaja mbili: kwamba hawawezi kuzaa watoto na pia ni Pedophiles. Sikatai kwamba kuna mshoga ambao hawana uwezo wa kuzaa au mashoga ambao ni pedophiles LAKINI hizi si defining characters exclusive to them! Kanisa Katoliki Lina maelfu na maelfu ya kesi za PRIESTS abusing children sexually AKA PEDOPHILIA lakini ni watu wachache sana ambao wanasema kuwa kanisa Katoliki ni pedophile. Hii Imani uliyonayo kuwa mashoga ni pedophiles ni ya uongo.
Pili, mashoga pia wanao uwezo wa kuzaa. Wana fertility kama straight people. Na pia wanaweza kuwa na watoto wao. Sidhani kama unafahamu teknolojia ya IVF na surrogacy ambayo pia inatumiwa na wanandoa wasio mashoga wenye fertility issues kupata watoto. Lakini si kila mtu kwenye hii dunia anahitaji watoto. Na kuna wengine wanaamua kulea watoto wasio na wazazi wa kuwatunza. Kiufupi, mashoga wanaweza kuzaa watoto. Si kwamba wana mapungufu yoyote.
Mimi naheshimu imani Za watu wote na ninasimamia haki za watu wote. Lakini huwezi kusema kuwa dini yako ndiyo inajenga principles Za maisha ya kila mtu. Si kila binadamu kwenye hii dunia ana Imani uliyonayo wewe. Kwa hiyo fikiri kwanza kabla ya kusema.
Tatizo lao ni wanafiki sana! Sidhani kama kuna Taifa Africa ambalo halijielewe, halina msimamo, kigeu geu kama Kenya!Anaikumbuka africa leo baada ya hali kua tete kwake??
Sijaongea lolote kuhusu Marekani kwenye reply yangu Kwa hiyo sijui umekuwa triggered na nini. Usi-generalize Asia kuwa bara lililo backwards. Nchi nyingi tu Za Asia hazina sheria kandamizi dhidi ya ushoga. Hata China ili decriminalize homosexuality recently (1997 I believe).Haki za binaadamu ni zipi?? Mbona walimuua gadafi na sadam husein au haki za binaadamu hazikuwepo?? Usifiche maovu na usherati kwa kusingizia haki za binaadamu mangapi ya ugaidi yanafanyika kwenye nchi zao na husikii wakitaja haki za binaadamu au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kwa vile ushoga wanoutaka wao ndio uwe uhuru kwa africa na kwann africa kwann sio asia ?? Mbona huko hawafanyi wanayoyafanya africa au haki za binaadamu ziko africa tu ?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia huwez yajibu na hii mada sio size yako mzeee achana nayo
Kuharibu kizazi ni haki za binaadamu๐๐๐