ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Kwani mashoga walioko hapa Tzn mlipewa hela ndio wakaja? Walizopora Russia mlipewa hela?Uko radhi upewe hela na ukubali ushoga ?
Kwani mashoga walioko hapa Tzn mlipewa hela ndio wakaja? Walizopora Russia mlipewa hela?Uko radhi upewe hela na ukubali ushoga ?
Wasagane tuu ni private life ,kwani wakisagana wewe unawashwa sehemu gani?😆😆😆😆😆😆😆 kwamba anatetea wanawake wasagane na wanaume wapandane ndio haki hio ambayo ww hujawah isikia kwa mababu zako wote waliotangulia na kama wangekua na mchezo huo ww usingekuwepo duniani leo hii punguza ujinga unaofkirika
Kama biden hapangii nchi zingine kwann uweke vikwazo ?? Au unatuona humu wote tunaakili kama zako?? 😆😆😆
Mm nimekupa tiba kama washakupandia mzee kachukue kaa la moto lenye moto mkali sana weka kwenye kipumulio hicho kiungue kisawasawa hakuna tiba tofaut na hio 🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiona mtu anatetea kwa kuwaekea vikwazo tamaduni zingine maana yake anakulazmisha ufate anavotaka hvi ww kuna nani mjinga wa kuamini kua marekani na washirika wake hawalazmishi ushoga africa ?? Unaeza pinga ?? 😆😆😆😆😆
Kama makanisa yanakashafa hizo ni wao sisi tunasali kwa Mungu sio mwanadamu Mungu aliumba Mwanaume na Mwanamke akasema mkazae muijaze dunia , Mashoga wanawezaje kuzaa etc , kama wao ni mashoga sawa , ila wasilazimishe watu eti kufunga biashara kisa ushoga , wakati wao wanafanya mambo ya ajabu inculding pedophiliaMsinichoshe hakuna mtu alilazimishwa.kuwa shoga,na ushoga isiwe kichaka Cha kufichia madhaifu ya failed state ya Russia na Tzn kuacha kuunga mkono upande wenye maslahi Kwa Nchi in favour of Kutofungamana na upande wowote..
Mimi binafsi ninafungamana na beberu Marekani full stop,mbona makabisa yenu hayo ya RC nk Yana kashfa za ushoga na Bado mnasali?
😆😆😆😆😆😆 dawa ni moja tu chukua kaa la moto gandisha kwenye kipumulio kiungue kisawasawa nje ya hapo hakuna dawa nyingine mzeeMsinichoshe hakuna mtu alilazimishwa.kuwa shoga,na ushoga isiwe kichaka Cha kufichia madhaifu ya failed state ya Russia na Tzn kuacha kuunga mkono upande wenye maslahi Kwa Nchi in favour of Kutofungamana na upande wowote..
Mimi binafsi ninafungamana na beberu Marekani full stop,mbona makabisa yenu hayo ya RC nk Yana kashfa za ushoga na Bado mnasali?
Na Mimi sijasema pesa or anything,hoja yangu ni kwamba nitaside na upande wenye maslahi kwangu na si vinginevyo..Mkuu, Mimi ni miongoni mwa watu wanaoamini katika haki za binadamu na utakumbuka katika hilo nilitofautiana na Magufuli, hata katika hili ninatofautiana na Museven, Tanzania tukipitisha hii Sheria nitapinga, katika hili nipo na USA.
Ila ninapingana na wewe kwa kitendo cha kutumia kigezo Cha pesa kuwa ndio sababu ya kuwakubali USA na kuwakandia Russia. Hivi Sasa China ndiyo nchi yenye uhusiano mkubwa na Afrika katika mambo ya Uchumi na biashara kuliko USA, labda Kama wewe ni mtu wa kupenda misaada ya bure ndio utashabikia USA zaidi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆😆😆 dawa ni moja tu chukua kaa la moto gandisha kwenye kipumulio kiungue kisawasawa nje ya hapo hakuna dawa nyingine mzee
Mwenye macho haambiwi tazama mzee👇👇
Mnasali Mungu au siyo? 🤣🤣🤣🤣🤣Kama makanisa yanakashafa hizo ni wao sisi tunasali kwa Mungu sio mwanadamu Mungu aliumba Mwanaume na Mwanamke akasema mkazae muijaze dunia , Mashoga wanawezaje kuzaa etc , kama wao ni mashoga sawa , ila wasilazimishe watu eti kufunga biashara kisa ushoga , wakati wao wanafanya mambo ya ajabu inculding pedophilia
Yani anataka kuona watu wote humu ni wajinga kiasi tuamini anavoona yeye😆😆Kama makanisa yanakashafa hizo ni wao sisi tunasali kwa Mungu sio mwanadamu Mungu aliumba Mwanaume na Mwanamke akasema mkazae muijaze dunia , Mashoga wanawezaje kuzaa etc , kama wao ni mashoga sawa , ila wasilazimishe watu eti kufunga biashara kisa ushoga , wakati wao wanafanya mambo ya ajabu inculding pedophilia
Hivi kama mkenya unapata wapi nguvu za kushindana na nchi ya ahadi kama Tz, unajua huwa nashangaa sana.Kenya voted to condemn Russias invasion of Ukraine at the UN but still their top diplomat was in Nairobi yesterday for bilateral talks. Tanzakundu abstained the vote
View attachment 2640011
May 29 Russian Foreign Minister Sergey Lavrov holds a meeting with the leadership of the Parliament of
kenya in Nairobi
Hakuna kibano chochote na africa yote inamsimamo huo huo ndio maana yule pelosi alipokuja tanzania hakuzungumzia mambo ya ushoga kwasababu nchi haikubaliani nazo 😆😆😆😆 na kuna mwandishi wa BBC alijaribu kumuuliza hilo swali waziri wa mambo ya nje akamkatia siku ya ujio wa pelosiHuna hoja,subiria kibano kianze Kwa hao Uganda usije kushindwa kushangilia pia.
Viza zimeanza kufutwa na wanaenda na kule kutamu ,usije laumu Kilio kikianza..Hakuna kibano chochote na africa yote inamsimamo huo huo ndio maana yule pelosi alipokuja tanzania hakuzungumzia mambo ya ushoga kwasababu nchi haikubaliani nazo 😆😆😆😆 na kuna mwandishi wa BBC alijaribu kumuuliza hilo swali waziri wa mambo ya nje akamkatia siku baada ya ujio wa pelosi
Kama ni mashoga waende kwao wakajaze laana huko huko lakini kwa africa ni BIG NO haiwesekani na haitawezekana 😆😆😆Viza zimeanza kufutwa na wanaenda na kule kutamu ,usije laumu Kilio kikianza..
Mlimdanganya Mugabe hivi hivi ,Africa Ina msimamo huo yes ila haiwezi thubutu kutunga sheria kama za Uganda Kwa sababu inaelewa consequences zake..
😆😆😆😆😆😆 dawa ni moja tu chukua kaa la moto gandisha kwenye kipumulio kiungue kisawasawa nje ya hapo hakuna dawa nyingine mzee
Mwenye macho haambiwi tazama mzee👇👇
Zimbabwe ina shida gani hebu ww tueleze ina shida gani?? Ikiwa zimbabwe ina unafuu kwenye umaskini kuliko kenya ambayo haijawah ingia vitani na wanamsujudia beberu miaka kenda 👇Viza zimeanza kufutwa na wanaenda na kule kutamu ,usije laumu Kilio kikianza..
Mlimdanganya Mugabe hivi hivi ,Africa Ina msimamo huo yes ila haiwezi thubutu kutunga sheria kama za Uganda Kwa sababu inaelewa consequences zake..
Tukiachana na ukabila hili ambalo lipo toka mnapata uhuru kwa sasa Mna matatizo chungu nzima njaa ,maandamano , wizi ufisadi unaendelea , matatizo ya kisiasaTanzakundu sent their president to Nigeria for the inauguration, we didnt.View attachment 2640017
View attachment 2640019
?

hawa ni wazungu "wannabe "...Zimbabwe ina shida gani hebu ww tueleze ina shida gani?? Ikiwa zimbabwe ina unafuu kwenye umaskini kuliko kenya ambayo haijawah ingia vitani na wanamsujudia beberu miaka kenda 👇