ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,252
Kichaka Cha kujifichia 😁😁😁😁Hvi ww unafkiri nchi zote zilizotuzunguka zingekua hazina amani ziko kwenye vita unafkiri hii amani iliopo tanzania ingekuwepo??? Inahitaji akili kubwa sana kufkiria haya na siku zote what goes around comes around, diplomacy ni kitu muhimu sana ndio maana unaona tanzania imewekwa SADC kwa heshima kama hio usioitaka ww vitu vingine tumia akili ndogo tu hata kama kubwa huna 😆😆😆😆
Namibia,Angola ,South Africa, Zimbabwe nk wanakuzunguka upande upi? 😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣
Ujamaa ni ujinga,uvivu na mfumo wa hovyo .

alaf nyuma ya mlango tunashabikia democracy
?