Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwamba anatetea wanawake wasagane na wanaume wapandane ndio haki hio ambayo ww hujawah isikia kwa mababu zako wote waliotangulia na kama wangekua na mchezo huo ww usingekuwepo duniani leo hii punguza ujinga unaofkirika

Kama biden hapangii nchi zingine kwann uweke vikwazo ?? Au unatuona humu wote tunaakili kama zako??

Mm nimekupa tiba kama washakupandia mzee kachukue kaa la moto lenye moto mkali sana weka kwenye kipumulio hicho kiungue kisawasawa hakuna tiba tofaut na hio

Ukiona mtu anatetea kwa kuwaekea vikwazo tamaduni zingine maana yake anakulazmisha ufate anavotaka hvi ww kuna nani mjinga wa kuamini kua marekani na washirika wake hawalazmishi ushoga africa ?? Unaeza pinga ??
Mkuu, katika hili Marekani hajakosea hata kidogo, yeye anasimamia msimamo na Imani yake Kama ambavyo Uganda inavyosimamia imani, tamaduni na msimamo wake kuhusu ushoga.

Marekani ameamua kutumia haki yake ya kikatiba ya kushirikiana au kutoshirikiana na Taifa lolote ambalo kwasababu zao wanadhani ni haki yao kufanya hivyo.

Wamarekani wameamua kutumia vikwazo Kama njia ya kupinga kile wanachoamini sio sawa kwa upande wake, hiyo ni haki Yao na hatupaswi Kulalamika, Uganda nao wanapaswa kutumia Uhuru wao kufanya lolote dhidi ya Marekani vile watakavyo kwa mujibu wa utamaduni na katiba Yao inavyowaruhusu, Marekani hapaswi kulaumiwa, Uganda haipaswi kulaumiwa, Kila mtu afanye kwa mujibu wa matakwa yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama makanisa yanakashafa hizo ni wao sisi tunasali kwa Mungu sio mwanadamu Mungu aliumba Mwanaume na Mwanamke akasema mkazae muijaze dunia , Mashoga wanawezaje kuzaa etc , kama wao ni mashoga sawa , ila wasilazimishe watu eti kufunga biashara kisa ushoga , wakati wao wanafanya mambo ya ajabu inculding pedophilia
Mkuu, hii Imani ya Mungu Kila mtu anaamini kivyake, mbona mnataka wote tuamini kwamba tumeletwa Ili kuijaza Dunia?, Jambo la kushangaza ni kwamba hao hao wazungu walioleta hiyo habari ya Mungu wa kuijaza dunia", ndio hao hao wanaoleta ushoga.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Zimbabwe ina shida gani hebu ww tueleze ina shida gani?? Ikiwa zimbabwe ina unafuu kwenye umaskini kuliko kenya ambayo haijawah ingia vitani na wanamsujudia beberu miaka kenda 👇

Umechoka pumzika👇🏾👇🏾
EpRJ7HRW8AAMf--.png
 
Na Mimi sijasema pesa or anything,hoja yangu ni kwamba nitaside na upande wenye maslahi kwangu na si vinginevyo..

Marekani ni rafiki wa kweli kwenye shida na njaa,hao wengine ni marafiki wa mdomoni tuu waliomponza Hadi Mugabe
Mkuu, Mimi siendeshwi Sana na maslahi, Mimi ninaendeshwa na "Principles of life", utu kwanza.

Mkuu, Russia, Cuba na China ndizo nchi zilizosimama na sisi katika kipindi kigumu zaidi Cha maisha ya waafrika, kipindi ambacho wazungu walikua wakitukojolea vichwani na kutufanyia Kila aina ya unyama.

Mkuu, utakumbuka ni kwakiasi gani Tanzania tulivyojitoa kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa?, hivi utakisikiaje Kama nchi ya Afrika kusini ikiamua kutuacha sisi watanzania na kuegemea Uingireza kwa kigezo Cha Maslahi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
In descending order
India------------------(75)
Yemen----------------(43)
Pakistan---------------(22)
Kenya------------------(12)
DRC--------------------(11)
Lebanon----------------(10)
Rwanda-----------------(4)
Somalia-----------------(4)
Afrika kusini--------------(3)
Lithuania-----------------(2)
China--------------------(2)
Ugiriki--------------------(2)
Uingereza-----------------(2)
Uswizi---------------------(2)
Zambia-------------------(2)
Zimbabwe-----------------(2)
Cameroon-----------------(1)
Cuba----------------------(1)
Japan---------------------(1)
Oman---------------------(1)
Palestina-------------------(1)
Sierra Leone----------------(1)
Wahindi na wapakistan kwa kweli hapana! hao jamaa siwakubali sema ndo hivyo tu! Wakenya hatuwezi kuwakimbia, hasa sisi wa swahili, Nusu nzima ya mombasa ni watu kutoka Tanga! ila hizi nyang'au zingine ni pasua kichwa sana!
 
Mkuu, Mimi siendeshwi Sana na maslahi, Mimi ninaendeshwa na "Principles of life", utu kwanza.

Mkuu, Russia, Cuba na China ndizo nchi zilizosimama na sisi katika kipindi kigumu zaidi Cha maisha ya waafrika, kipindi ambacho wazungu walikua wakitukojolea vichwani na kutufanyia Kila aina ya unyama.

Mkuu, utakumbuka ni kwakiasi gani Tanzania tulivyojitoa kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa?, hivi utakisikiaje Kama nchi ya Afrika kusini ikiamua kutuacha sisi watanzania na kuegemea Uingireza kwa kigezo Cha Maslahi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
How? Thibitisha
 
Issue ni kwamba kwann mulibadilisha msimamo baadae mukasema hamuna upande wowote ?? 😆😆😆😆😆
Kumbe mushajua where to go now

sabau yahii ziara ni njaa tu! wanataka chakula kutoka Urusi
Kwani sheria za machoko duniani zinatetea na kina nani?? Au unafkiri wakiekewa sheria ya kifo wataingia kwenye ushoga ??😆😆

Sinimesema hapa ukiona mtoto wa kiume anatetea ushoga ujue ana alama nazo sinimekwambia mm na ndio sababu kubwa ulikua humpendi magu kisa haendi sawa na mambo hayo

Ikiwa mnyama hana akili hakosei ww mwenye akili ndio ukosee??😆😆😆😆

Hakuna rais amenifurahisha kama mseven
View attachment 2640038
Kama hao marekani inawauma sana, si wawachukue hao machoko wa Uganda wawapeleke Marekani, wawalinde!
 
Huyu huyu aliyewauza wenzie nimsikilize Ili nijifunze nini?
Kwamba Cuba, China na Urusi zilikua mstari wa mbele katika vita vya kuwakomboa waafrika kuliko nchi za Western.

Vipi kuhusu Nyerere ambaye aliegemea Urusi Ili aweze kuzikomboa nchi za kusini mwa Afrika baada ya nchi za Magharibi kukataa kumuunga mkono?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Cuba, China na Urusi zilikua mstari wa mbele katika vita vya kuwakomboa waafrika kuliko nchi za Western.

Vipi kuhusu Nyerere ambaye aliegemea Urusi Ili aweze kuzikomboa nchi za kusini mwa Afrika baada ya nchi za Magharibi kukataa kumuunga mkono?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania hao kina Cuba,China na Russia walikuwa front line ipi wakati hakuna vita ya ukombozi?
 
Back
Top Bottom