Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewahi lazimishwa kuwa choko?machoko waliojaa Tzn waliletwa na beberu USA? Choko ana Haki zake ndio hizo beberu anamtetea ..

Mwisho watu wa failed state kama Russia mnapenda kujifichia upuuzi wenu kwenye hoja ya uchoko.
Kwani sheria za machoko duniani zinatetea na kina nani?? Au unafkiri wakiekewa sheria ya kifo wataingia kwenye ushoga ??😆😆

Sinimesema hapa ukiona mtoto wa kiume anatetea ushoga ujue ana alama nazo sinimekwambia mm na ndio sababu kubwa ulikua humpendi magu kisa haendi sawa na mambo hayo

Ikiwa mnyama hana akili hakosei ww mwenye akili ndio ukosee??😆😆😆😆

Hakuna rais amenifurahisha kama mseven
20230530_100414.jpg
 
Huyo jamaa akili hana kabisaa. Sijui huwa anatumiaga nini kufikiria!!! Russia is failed state. Idiot
Bro hawa ndio wale wenye alama za uchoko na bado serekali inawafumbia macho, kijana uliekamilika huwez kutetea ushoga hata kwa sekunde moja

Mbuzi hakupewa akili ila hawez kosea ila binaadamu aliepewa akili na sifa kedekede ndio akosee alaf anakaza fuvu kutetea maasi

Dunia hii😆😆😆🙌🙌🙌🙌🙌
 
Russians aren't different either.

Forty-seven percent of Russian respondents agreed that “gays and lesbians should enjoy the same rights as other citizens,” the poll released Thursday showed, while 43 percent disagreed.

When asked the same question in 2013, the year the “gay propaganda” law passed, 8 percent fewer Russians agreed that LGBT people deserve equal rights (39 percent).

The increase in support since 2013 can be attributed to the gradual decline in anti-LGBT sentiment appearing on TV over the past six years, political analyst Alexei Makarkin told the RBC news website.

“But if fired-up people yelling about Russia’s perverted, millennia-old moral foundations are shown again,” he warned, “the degree of intolerance toward the LGBT community will rise again.”

Levada conducted the survey among 1,625 respondents in 50 Russian regions on April 18-23.
Haya maneno umeyatoa kwa mwanasiasa gani kutoka ulaya mumesahau kombe la dunia russia na qatar hali ilikuaje?? Ww usiniletee statistics za mtu kajiskia kusema upuuuzi kwa maslahi yake 😆😆😆😆😆
 
Haya maneno umeyatoa kwa mwanasiasa gani kutoka ulaya mumesahau kombe la dunia russia na qatar hali ilikuaje?? Ww usiniletee statistics za mtu kajiskia kusema upuuuzi kwa maslahi yake 😆😆😆😆😆
Choose what you want to believe but thats the fact. 47% of Russians are gay tolerant.
 
Kwani sheria za machoko duniani zinatetea na kina nani?? Au unafkiri wakiekewa sheria ya kifo wataingia kwenye ushoga ??😆😆

Sinimesema hapa ukiona mtoto wa kiume anatetea ushoga ujue ana alama nazo sinimekwambia mm na ndio sababu kubwa ulikua humpendi magu kisa haendi sawa na mambo hayo

Ikiwa mnyama hana akili hakosei ww mwenye akili ndio ukosee??😆😆😆😆

Hakuna rais amenifurahisha kama mseven
View attachment 2640038
Ngoja aendelee kukufurahisha ila kibano kitakapoanza nyasi ndio zitaumia napo usije kusita kuendelea kufurahi..
 
Billion 6 zikiletwa na wanaume over 50% washakua mashoga hawana hata uwezo wa kulima au kufanya kazi zitakusaidia nn ?? Mpaka leo bado munamawazo na misaada sio kujitegemea au hujui ukizoea kupewa sana hata mke utamgawa sadaka

Russia, china etc zinatetea ustaarabu wa kinguvu unaotumiwa na nchi za magharibi na wao wanapinga ile sheria ya one world order ambayo nchi za mgharibi zinataka dubia nzima wanawaume wawe mashoga, wanawake wasagane, hakuna kuzaana etc
Hizo ni dola bil.6.6 sawa na til.20 za Bongo..

Zimeshatumika tena kwenye sekta Moja tuu ya kupambana na Ukimwi sijagusia usAid,MCCL, investments,budget support,bill and Melinda gates foundation nk

Una survive hapo Kwa pesa za beberu Marekani na Sina hakika kama wewe ni choko au laa 🤣🤣

Long live beberu USA
 
Ngoja aendelee kukufurahisha ila kibano kitakapoanza nyasi ndio zitaumia napo usije kusita kuendelea kufurahi..
Sio uganda pekee nchi zote za africa zitafata kama ww unadalili hzo basi subiri hukumu ya sheria na kama tayar washakuzindua kachukue kaa la moto uweke hapo paungue kwanza ndio tiba hio
 
Our diplomatic stand is still the same, Russia's withdrawal from Ukraine and that will never change. My point is why didn't he visit tanzakundu which likes to bootlick them!?- you are irrelevant
They are trying to visit to those countries which opposed them and try to find out if they can use food to influence them to change their minds.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni dola bil.6.6 sawa na til.20 za Bongo..

Zimeshatumika tena kwenye sekta Moja tuu ya kupambana na Ukimwi sijagusia usAid,MCCL, investments,budget support,bill and Melinda gates foundation nk

Una survive hapo Kwa pesa za beberu Marekani na Sina hakika kama wewe ni choko au laa 🤣🤣

Long live beberu USA
Zikiletwa alaf over 50% ni mashoga kazi yake na faida yake ni nn?? Na wanawake wakisagana wao kwa wao hio nguvu kazi ya hzo bil 6 zifatoka wapi??
Kupambana na ukimwi ila kwao ukimwi huusikii ila ukimwi uko africa tu ili wapunguze idadi ya binaadamu africa

Hakuna mtu mjinga dunia hii mzee ndio maana unaona wakenya wanadhalilika kwa uwongo wao kwasababu wanaumbuka mapema tu 😆😆😆😆

Eti pesa ya beberu wakat mchina ndio anaongoza kufadhili nchi za africa nenda kaangalie madeni amabayo africa inadaiwa na china ndio utaelewa na china ndio anaongoza kwa direct investments africa nzima nenda kokote africa kama utamkosa mchina 🤣🤣🤣🤣

Kwenye masuala ya biashara tutafanya na hao mabwana zako ila mambo ya utamaduni na sheria za nchi hapana big NO
 
Back
Top Bottom