ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Kama una hiyo jeuri Tunga sheria kama ya Uganda ndio tujue hiyo heshima ya Tanzania..Mkuu, sidhani Kama ni busara kushabikia nchi kwa sababu ya fedha, huko ni kujishusha na kujidhalilisha Sana, Tanzania tunaheshimika Sana duniani kwa kuwa nchi yenye kusimamia utu na uhuru wa raia pote duniani bila kujali fedha, rejea hotuba ya Nyerere kuhusu "Wanasiasa wenye tabia za umalaya".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yaani usishabikie rafiki wa kweli anaekufaa Kwa dhiki uje kushabikia wahuni kama Russia?

