Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians buit there state houze on the blood of fellow statemen built it cheaply by not paying the young men who were in National Service
Some are even suffering from disabilities after heavy labour but no payment and no employment
It’s evil what CCM has done! Letter from one group of the young men (there are hundreds)View attachment 2632315
View attachment 2632316
View attachment 2632317
The kind of shit they did in NAZI Germany…. and modern day North Korea….. na wanasema ati democracy index..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. CCM ni mama na baba wa Taifa…🤣🤣🤣
 
Na kwa nini mnapoteza pesa kujenga capital mpya tangu 1970 wakati mna maskini wengi kupindukia ukanda huu wa Afrika?
Huduma za serikali kwani lazima uende Dar au Dodoma? 21st century bado mnajaribu kuweka capital iwe katikati ya nchi ni upuzi
Mbona nyie ambao hampotezi pesa mumejaza maskini na njaa Kila mwaka? Pesa mnapelekaga wapi?
 
Kenya tumeweka kila kitu Nairobi vipi na kuna ugatuzi?
County goverment na Huduma centres ambazo ziko kila County zinahakikisha mkenya anaweza zaliwa na kufa bila kuwahi kanyanga Nairobi kwa sababu ya huduma za kiserikali including kupata passport, birth certificate, pension, jobs, etc

Danganyika hamna ugatuzi, viongozi wa mkoa wanachaguliwa na serikali ya kidikteta ya CCM 🤣🤣
Ugatuzi gani mmeshidwa kutambua yatendekayo shakahola mpaka watu lukuki wameuwawa
 
The kind of shit they did in NAZI Germany…. and modern day North Korea….. na wanasema ati democracy index..…. CCM ni mama na baba wa Taifa…
Ninyi zaidi ya Njaa na ukabila, hamuwezi kutuzidi kwa lolote. Hii hapa rank ya demokrasia ya 2023, nenda kalie machozi ya Shakahola
 
Pori lote hilo surely naipori 70% not developed
Now that’s real communist propaganda…. Am sure you know within that forest ni modern houses na offices…the only untouched section ni Nairobi National Park which makes our city one and only it’s kind on planet earth…you want prove Kilaza?… wacha propaganda, uliza!…🤣🤣🤣🤣
 
Morogoro
JamiiForums261767175.jpg
JamiiForums168108175.jpg
 
Hili jambo alilikataa Nyerere, yule Babu sijui kwanini hadi Leo Vatican hawajamtangaza kuwa "Mtakatifu", huwa ninafuatilia Sana hotuba zake, hajawahi kosea.
Kile kichwa aisee, aliongea mambo yaliyopita, yaliyokuwepo kipindi kile, yanayoendelea leo na yatakayokuja kesho, yule mzee ni completely prophet.
 
Na kwa nini mnapoteza pesa kujenga capital mpya tangu 1970 wakati mna maskini wengi kupindukia ukanda huu wa Afrika?
Huduma za serikali kwani lazima uende Dar au Dodoma? 21st century bado mnajaribu kuweka capital iwe katikati ya nchi ni upuzi
Sisi nchi yetu iko very organized, viongozi waliopita waliamua makao makuu ya nchi yawe Dodoma ambayo ni center of gravity ya nchi yetu, unajua kwnn? Ni kwasababu Watz tunaakili nyingi sana huwezi kushindana na mtz hata siku moja, huwa hatukurupuki nadhani wenyewe mnajionea, IQ ya mtz ni kubwa sana.
 
Katika hii hotuba yake alizungumza kwamba "dhambi ya ubaguzi haiwezi kuisha, lazima itaendelea


Ninalinganisha na kinachoendelea Sudan hivi Sasa. Hawa waarabu walianza kuwatenga watu weusi wa kusini kwa kisingizio kwamba sio waislam. South Sudanese walipoanzisha vita vya kujitenga, raia wa Jimbo la Darfur ambao ni weusi lakini ni waislam, waliungana na waarabu kuwapiga watu wa South Sudan.

Wakati South Sudan wanakaribia kushinda na kupata Uhuru wao, watu wa Darfur nao wakaanza kubaguliwa kwa kigezo Cha rangi zao, Omar Albashir, rais wa Sudan wakati ule, alianzisha kikosi Cha Janjawed, ambacho 90% ni waarabu wanaoishi Darfur Ili kuonyesha Dunia kwamba hana ubaguzi Wala ugomvi na watu wa Darfur. Hawa Janjawed waliua raia wa Darfur weusi zaidi ya laki 3.

Baada ya Dunia kuingilia kati na kupeleka majeshi ya kulinda amani huko Darfur, Janjawed wakaamua kuondaka huko Darfur na kuja Khartoum kuwa kundi maalum la wanamgambo chini ya Albashir, lakini kwa sababu sio wenyeji wa Khartoum, wao wametoka mashambani, wakaanza kubaguliwa na wakuu wa jeshi ambao waliwakuta hapo Khartoum. Wameamua nao kupigana kupinga kubaguliwa.

Conclusion: Dhambi ya ubaguzi ni Kama kula nyama ya mtu, ukishakula nyama ya mtu, utaendelea tu....
Huyu mzee kama rais yeyote wa Tz akiamua kumuishi ktk kipindi cha uongozi lazima afaulu na watu watamuona genius kumbe anakopi na kupest.
 
Back
Top Bottom