Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni Moja Kati ya zile kilometers 40000 za mtandao wa lami zilizoko kenya
Pamoja na hizi, zote tarmacked 🤣😅😂

Eekoa4kWkAIomRy.jpeg
EekobUiWkAIVAfS.jpeg
Screenshot_20220602-204329_Opera.jpg
984DC5A7-B04B-4C70-BD30-31E77B909ABA.jpeg
FTHwPfHWIAIsv_d.jpeg
 
Hata magufuli alisema ataunganisha Kila mkoa kwa lami watu hawakuamini ila mdogo mdogo Kila Kijiji kitaunganishwa kwa lami Sijui wale wa mtandao wa barabara kilometers 40000 zisizoonekana zilizoahidiwa na uhuroto zimifikia wapi
Shakahola ni nchi ndogo sana lakini counties zao 47 hazijaunganishwa kwa lami zote, ila walivyo wapumbavu wanajidanganya wana 40k kilometers za lami
 
In Tz kila mko una hospitali ya rufaa kama kwenu hakuna usitufanye tulingane.

Huyu Mashashola hajui kuwa hospital za mikoa yote zimeboreshwa na kuwa hospitali za rufaa. Kwa sasa hospitali ya Taifa ya Muhimbiri inahudumia cases ambazo ni ngumu kwa hospitali za rufaa za mikoa. Cases ambazo zinapelekwa Muhimbiri zimepungua sana, hivi kwamba kuongezwa ufanisi kwa hospitali hiyo.
 
In Tz kila mko una hospitali ya rufaa kama kwenu hakuna usitufanye tulingane.
Na kwa nini mnapoteza pesa kujenga capital mpya tangu 1970 wakati mna maskini wengi kupindukia ukanda huu wa Afrika?
Huduma za serikali kwani lazima uende Dar au Dodoma? 21st century bado mnajaribu kuweka capital iwe katikati ya nchi ni upuzi
 
Back
Top Bottom