Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In cruise control....
FB_IMG_1684786821765.jpg
 
So unabisha Capital Hill Ndo Ikulu USA!? Kweli Watanzania wengi vichaa!!!
If a student in the US was asked what’s the official residence of the POTUS and they respond ati Capitol Hill… probably they teacher would order a mandatory drug test…🤣🤣🤣🤣🤣🤣….. Tanganyika is full of sponge bobs and Patricks….🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nairobi to Mau Summit over 200km of dual carriageway is in the works as we speak. Mombasa to Nairobi is in the pipeline but this one will be under ppp
My cousin who lives in Houston is part of the Mombasa/ Nairobi PPP project…..waiting for bureaucracy to sort itself out… I will give you more details later….
 
Hapa ni New York City. EAC na Afrika kiujumla tuna safari ndefu sana
 
Kuhamisha na kujenga majengo ya serikali Dodoma ni wastage ya pesa wakati wanafunzi hawana madarasa na umaskini umezidi kupindukia. Mambo ya kiserikali 21st century yanafanywa online huku Kenya sio kuandamana kwa capital city kila wakati.

Na bado kwenye digital governance hamtufikii, actually mmepitwa mpaka na Uganda
Screenshot_20230426-181226.png
 
Kwahio mgonjwa anatibiwa online? Raisi analala online? Chakula mnapika online?
FRIEND,
Kuhamisha Makao makuu toka Dar es salaam was a great move. Ila Dodoma wasn't the best area for a capital. I think Iringa was more suitable. The weather,soil structure and the locals are the best comparing with Dodoma
Kwani Tanzania hua mnatibiwa kwa capital city pekee? Au chakula manendea capital city ya CCM?
Rais ata akilala kwake sio I shida bora anafanya kazi yake. Kila mkoa unafaa kua na hospital ya rufaa
 
Tanzania ina districts 187 zote zinaunganishwa na lami

Kunyaland ina counties 47, hata 23 tu hazijaunganishwa kwa barabara za lami 😂😂😂

Watasema wana kilometers nyingi za lami


Hata magufuli alisema ataunganisha Kila mkoa kwa lami watu hawakuamini ila mdogo mdogo Kila Kijiji kitaunganishwa kwa lami Sijui wale wa mtandao wa barabara kilometers 40000 zisizoonekana zilizoahidiwa na uhuroto zimifikia wapi
 
Barabara za EPC+F (Engineering Procurement Construction & Financing) kilometers 2000+ kwa wakati mmoja this year

Urefu huu wa barabara ni sawa na barabara kutoka Kwale to Turkana + Narok to Mandera + Kajiado to Marsabit,

Hizi ni barabara za EPC+F tu bado barabara zingine kama 205 km Expressway from Dar to Moro and others, lakini bado mashakahola yatasema yanatupita kwa km za lami

Screenshot_20230523-065059.jpg


 
Back
Top Bottom