Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians buit there state houze on the blood of fellow statemen built it cheaply by not paying the young men who were in National Service
Some are even suffering from disabilities after heavy labour but no payment and no employment
It’s evil what CCM has done! Letter from one group of the young men (there are hundreds)
IMG_4017.jpg

IMG_4018.jpg

IMG_4019.jpg
 
Ndani ya mwaka huu jumla ya kilometers 4000 za barabara za lami (zilizopo chini ya Tanroads) zitakua chini ya ujenzi nchi nzima, ikijumuisha miradi mipya na inayoendelea na ujenzi sasa hivi

Hizi kilometers za lami ni sawa na kujenga mtandao mpya wa lami kwenye 70% ya counties zote za shakahola

Zikiisha Tanzania itakua na zaidi ya kilometers 15k za lami (za Tanroads)

Screenshot_20230523-144848.jpg

Tanzanians buit there state houze on the blood of fellow statemen built it cheaply by not paying the young men who were in National Service
Some are even suffering from disabilities after heavy labour but no payment and no employment
It’s evil what CCM has done! Letter from one group of the young men (there are hundreds)View attachment 2632315
View attachment 2632316
View attachment 2632317
Wangejenga wachina au wazungu mngepiga kelele 😂😂 wamejenga wazalendo bado mnapiga kelele..
Afu ndo nyie mnasema hamfatilii mambo ya watanzania?
20230127_013938.jpg
 
Tanzanians buit there state houze on the blood of fellow statemen built it cheaply by not paying the young men who were in National Service
Some are even suffering from disabilities after heavy labour but no payment and no employment
It’s evil what CCM has done! Letter from one group of the young men (there are hundreds)View attachment 2632315
View attachment 2632316
View attachment 2632317
Do you know the meaning of "National Service?". If you join national service, what jobs are you supposed to do?, does some one paid anything while is volunteering in National Service?. Does Kenya pay prisoners whenever they work to serve their sentences?
 
Do you know the meaning of "National Service?". If you join national service, what jobs are you supposed to do?, does some one paid anything while is volunteering in National Service?. Does Kenya pays prisoners whenever they work to serve their sentences?
Labda alitaka tuwape kazi ile misukule yao zaid ya 200 iliyokufa kwa kushinda njaa
 
Wangejenga wachina au wazungu mngepiga kelele wamejenga wazalendo bado mnapiga kelele..
Afu ndo nyie mnasema hamfatilii mambo ya watanzania?View attachment 2632358
Yani anadetails zingine hata mtanzania wa kawaida Hana Habari nazo!

Ati anasema slave/ force labour! Hivi nchi hii wapi kuna watu wanalazimishwa kufanya kazi, wapi!?? Yani hawa jamaa bwana!!

Shutuma kama hizi hata Qatar walipata sana wakati wa kombe la dunia.

Yani hawa jamaa wanpenda kutusakama!! Dah!!
 
Hakuna shutuma hapo mkuu, ni wivu tu wa wakenya kutaka kujiliwaza baada ya kuona Tanzania inawazidi kwa Kila jambo, msikilize huyu jamaa alivyo na Chuki na Diamond.
 
Back
Top Bottom