Photoshopping! inakaa humu wameingia watoto!kwa raha zetu View attachment 2632646
Katika hii hotuba yake alizungumza kwamba "dhambi ya ubaguzi haiwezi kuisha, lazima itaendelea
Ninalinganisha na kinachoendelea Sudan hivi Sasa. Hawa waarabu walianza kuwatenga watu weusi wa kusini kwa kisingizio kwamba sio waislam. South Sudanese walipoanzisha vita vya kujitenga, raia wa Jimbo la Darfur ambao ni weusi lakini ni waislam, waliungana na waarabu kuwapiga watu wa South Sudan.
Wakati South Sudan wanakaribia kushinda na kupata Uhuru wao, watu wa Darfur nao wakaanza kubaguliwa kwa kigezo Cha rangi zao, Omar Albashir, rais wa Sudan wakati ule, alianzisha kikosi Cha Janjawed, ambacho 90% ni waarabu wanaoishi Darfur Ili kuonyesha Dunia kwamba hana ubaguzi Wala ugomvi na watu wa Darfur. Hawa Janjawed waliua raia wa Darfur weusi zaidi ya laki 3.
Baada ya Dunia kuingilia kati na kupeleka majeshi ya kulinda amani huko Darfur, Janjawed wakaamua kuondaka huko Darfur na kuja Khartoum kuwa kundi maalum la wanamgambo chini ya Albashir, lakini kwa sababu sio wenyeji wa Khartoum, wao wametoka mashambani, wakaanza kubaguliwa na wakuu wa jeshi ambao waliwakuta hapo Khartoum. Wameamua nao kupigana kupinga kubaguliwa.
Conclusion: Dhambi ya ubaguzi ni Kama kula nyama ya mtu, ukishakula nyama ya mtu, utaendelea tu....
Mkuu sikubaliani na wewe, ni mgogoro wao wenyewe na sababu kubwa ni ubaguzi na ukabila. Ethiopia wanapigana kwa sababu ya ukabila, Somalia ni mambo ya ubaguzi wa Koo na Koo.Kwa kiasi kikubwa migogoro ya nchi hiyo inasababishwa zaidi na wakubwa, sababu ikiwa ni mafuta, madini na siasa za kimataifa. Hilo eneo la bahari ya sham ni la kimkakati (trade route), teyari kuna kambi za majeshi ya Marekani na China. Sasa maajuzi warusi walikubaliana na serikali ya Sudan kujenga kambi ya jeshi hapo, ndo unaona RSF wakileta chokochoko.
Nilipokujibu mwanzo nilitumia maneno haya, "kwa kiasi kikubwa". Ni kweli matatizo ya ubaguzi wa kikabila, kiukoo, rangi na kidini yamekuwepo maeneo hayo toka enzi na enzi ila kwa sasa yanakuzwa zaidi kwa maslahi ya watu wa nje.Mkuu sikubaliani na wewe, ni mgogoro wao wenyewe na sababu kubwa ni ubaguzi na ukabila. Ethiopia wanapigana kwa sababu ya ukabila, Somalia ni mambo ya ubaguzi wa Koo na Koo.
Mkuu Sudan ni nchi yenye ubaguzi mkubwa Sana kati ya waarabu na watu weusi, watu weusi wanadharauliwa Sana Sudan, yaani Sana Sana Sana na zaidi ya Sana.
Kenya wanabaguana Sana, kwamba kabila mbili au tatu ndizo zenye haki ya kuwa rais wa Kenya, chokochoko zinaanza taratibu, baada ya miaka 5 Kenya lazima watapigana, na bado tutasingizia mataifa makubwa.
Mbona Warusi wako Sudan siku nyingi?Nilipokujibu mwanzo nilitumia maneno haya, "kwa kiasi kikubwa". Ni kweli matatizo ya ubaguzi wa kikabila, kiukoo, rangi na kidini yamekuwepo maeneo hayo toka enzi na enzi ila kwa sasa yanakuzwa zaidi kwa maslahi ya watu wa nje.
Wachina wana ambitions zao za belt and road hapo shamu, warusi nao wameanza kujenga base yao hapo, sasa nchi za magharibi hazitaki hawa jamaa wawe na ushawishi hapo. Ndiyo maana serikali ya Sudan ilipowakaribisha tuu warusi ikaletewa kivumbi na kikosi cha RSF.
Hivi unafikiri warusi wakiwa na base yao hapo na wakaaamua kuzuia meli za mafuta kupita, kuna atakaye pita? Unadhani ulaya kitakalika kwa kukosa mafuta? Haya mambo ni makubwa kuliko unavyodhani kaka.
Kwahiyo Kule Darfur ambako hao RSF(Janjawed) walipokua wanaua watu weusi walitumwa na mataifa makubwa?, au kulikua na njia ya kupitisha mafuta?. South Sudan walivyopigana kutaka kujitenga pia kulikua na mkono wa mataifa makubwa?, Somalia wanapigana tangu 1991, au Oromo wanavyopigana kutaka kujitenga pia ni mataifa makubwa?, vita vya Tigrey na Serikali ya Ethiopia pia ni mataifa makubwa, huko DRC zaidi ya vikundi 200 vya waasi, nako ni mataifa makubwa, Cameroon nchi Yao imegawanyika pande mbili, nako huko Je?. Mkuu Africa bado Sana.Nilipokujibu mwanzo nilitumia maneno haya, "kwa kiasi kikubwa". Ni kweli matatizo ya ubaguzi wa kikabila, kiukoo, rangi na kidini yamekuwepo maeneo hayo toka enzi na enzi ila kwa sasa yanakuzwa zaidi kwa maslahi ya watu wa nje.
Wachina wana ambitions zao za belt and road hapo shamu, warusi nao wameanza kujenga base yao hapo, sasa nchi za magharibi hazitaki hawa jamaa wawe na ushawishi hapo. Ndiyo maana serikali ya Sudan ilipowakaribisha tuu warusi ikaletewa kivumbi na kikosi cha RSF.
Hivi unafikiri warusi wakiwa na base yao hapo na wakaaamua kuzuia meli za mafuta kupita, kuna atakaye pita? Unadhani ulaya kitakalika kwa kukosa mafuta? Haya mambo ni makubwa kuliko unavyodhani kaka.
Ndiyo wamekuwepo mdogo mdogo hata SMO ilipoanza walipeleka ndege zao Sudan ila bado hawajawa na base bahari ya Shamu.Mbona Warusi wako Sudan siku nyingi?



Siasa za ovyo, inakuwaje mtu unatukana matusi makubwa namna hii!
Mashakahola yanaona eti huo ndio uhuru wa kujieleza![]()



Kazi wanayoMizigo hiyo watakimbia wote humu tarehe 2 Jun