The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ma captain wanaondoka leo kwenda US kuichukua, next week chuma kinaingia.
Ma captain wanaondoka leo kwenda US kuichukua, next week chuma kinaingia.
Na Picha ikionyesha vijumba 8! 😛 😛 👆Kenya is building the largest 3D printed estate in Africa in Malindi
View attachment 2632604
Hili suala la bandari ya Dar kuizidi ya Mombasa mbn washakahola wamekaa kimya as if nothing happened, au ndio wamekubali kiaina









Wanaugulia!Hili suala la bandari ya Dar kuizidi ya Mombasa mbn washakahola wamekaa kimya as if nothing happened, au ndio wamekubali kiaina![]()
🤣🤣🤣🤣 wanahara tu
🤣🤣🤣🤣 wanahara tu
Hiyo kauli yao ya kujifariji huwa inanikera sana, eti soon "Tz will overtake us" tuwapite mara ngp? Kila kitu kipo wazi kabisa kwa ss.Wanavyojiongelesha... eti matter of time till Tz overtakes Kenya economically... economy ipi hasa? Hilo lifake GDP?
Kwamba economically wametupita?
Hawajajijua tulishawapita kwenye kila kitu siku nyingi sana?




