Mkuu watu wanaenda mbali sana kuhusu Pole pole ambaye hayupo hapa jamvini. Hata mimi mwenyewe nawaza kuwa Rais maana Urais kumbe ni rahisi kila mtu anaweza akapigiwa debe chaa faster mjengoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usirukeruke mkuu, mjadala hapa ni kwamba "Je Magufuli aliua au alikuza uchumi Tanzania?".
Nimekutajia sectors za uchumi na nikakuambia tupitie Moja baada ya nyingine, tulinganishe kipindi Cha Magufuli na kabla hajaingia madarakani Ili tulinganishe, hiyo ndio njia bora ya kujua Kama uchumi ulikua au ulivurugika, hutaki badala yake unaendeleza shutuma za ajabu
Post ingine ni kuhusu Polepole, huko nako nimekupa maelezo ya kina na ndiko nilikotaja "Ujinga", kwahiyo usijaribu kuchanganya mambo, kwanza tuanze na kupitia sectors za uchumi Moja baada ya ingine tuone Kama zilikua enzi zake au zilisinyaa, mwisho utupe ushahidi kwamba Polepole anaandaliwa kuwa rais 2025.
Mkuu, tulia usipaparike, twende hatua kwa hatua. Tuanze na kipengele Cha kukua kwa GDP" Kisha tupitie Kila sector mojamoja.
Na bado zinajengwa…. Ukienda ground saa hii , construction is ongoing for various industries…… ama unapinga hiyo pia?Inaonekana unasumbuka sana mimi najua idadi ya majengo ya viwanda vilivyopo hapo.. nikuletee picha za juu uone.?
It doesn’t matter what you show him… these Bongolalas are kings of goalpost changing… as I said before, if you showed them a Kenyan walking on water , they will claim the Kenyan can’t swim or that Tanzanians are better swimmers….🤣🤣🤣🤣Ulitaka zote, 78 industries so far.
That’s the mentality that got your country screwed for so many years … unlike you and your hate for Kenya … I will give Ujamaa credit for uniting Bongo but beyond that it was an economic disaster… we can agree to disagree but the experts are on my side… and that’s why you switched your system to free market entrepreneurship … though you Joto la Mawe seem to be still stuck in the past … maybe you should move to North Korea or Cuba… I hear the weather is great this time of the year…🤣🤣🤣Tell us, how private property benefits more country than government owned property?
I will bet you 3 Tusker beers , that a smart mouth Bongolala will post why have such a big mall while watu wana njaa and maybe add some Kibera photos to entice his low esteem…🤣🤣🤣🤣
Which is which hehehe
Sidhani Kama mmepata kumsikia huyu opportunist.. mbwa tu huyu .. 👇.
Iorodheshe hapa hiyo miradi na gharama zake na source ya hizo gharama. Nasubiri.Kwahiyo unataka kusema Magufuli hakuwa Mkabila? Tutajie kijiji kingine Tanzania kilicholazimishiwa $1 bln ya uwekezaji usio na tija kama Chato!
Movement gani unayosema wewe, wakati mimi ni member wa Magufuli camps tangu kipindi cha uchaguzi 2015 na magroup yetu tunao support falsafa ya Magufuli ni wengi sana.nikuulize agenda ya wakina Polepole na wenzie ni nini hasa? Mbona movement yao inaendeshwa kanda ya ziwa tu?
Sasa, kwani huo mkoa wa kigoma umeanza kuezist kipindi cha Magufuli?soma kitabu nilichokupa! Wewe huwezi kunifundisha kitu mimi! Nakupa homework angalia miradi ya Sukumaland in total halafu linganisha na miradi ya Kigoma! Na uje uniambie mbona Kigoma haikupewa kipaumbele pia? Mbona Mara hakukupewa priority pia?
Am loading my popcorn 🍿…🤣🤣Sasa, kwani huo mkoa wa kigoma umeanza kuezist kipindi cha Magufuli?
Magufuli ndio rais wa kwanza Tanzania, hao wengine wameifanyia nini Kigoma miaka yao 10 na zaidi ya uongozi?
Ni ukweli usiopingika kuwa miradi ya kweli na mikubwa ya maendeleo Tanzania imeshudia ikianza kipindi cha MWAMBA Magufuli.
Kama ni lawama zozote za uwiano wa kimaendeleo or miradi ya kimaendeleo, tuanza na marais waliokuwa viongozi miaka 10 na zaidi.
Na kitu kingine ni inequality. Slums zilianza kujaa nje ya Brasilia kwasababu masterplan haikuruhusu high density building. Majengo yako mbali na unahitaji gari kupata huduma. Ni tatizo.Niliona documentary ya Brasilia, wamejenga vizuri lakini moja ya vitu watu wanalalamika ni ofisi za serikali kuwa mbalimbali kiasi kwamba watu wanatembea sana kupata huduma.
Lilongwe Ndio mfano wa kuigwa? 😂😂Capitol Lilongwe ni mmoja wapo unataka mwingine
Uhaiifu au siyo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewev kweli hamna kitu mkuu.
Wewe ulikuwa na ufaulu mbuvu sana shuleni, yaani shule ulikua mtalii. nafiri hii ni mara ya pili kukwambia hivi.
Sasa hapo Sirro kaongelea uhalifu na wewe ulivyo boya ukapotea na Kichwa cha habari "wasiojulikana". jifunze kitu kinaitwa "sensationalism" na ambapo inapotumika kwa makusudi kuwatia kingi watu hata walioenda shule.
Hapa ndio huwa naonaga akili za mkenya zilivyo kiduchu mithili ya punje ya haradali, Kenya is a third world country, so is Tanzania.That’s the mentality that got your country screwed for so many years … unlike you and your hate for Kenya … I will give Ujamaa credit for uniting Bongo but beyond that it was an economic disaster… we can agree to disagree but the experts are on my side… and that’s why you switched your system to free market entrepreneurship … though you Joto la Mawe seem to be still stuck in the past … maybe you should move to North Korea or Cuba… I hear the weather is great this time of the year…[emoji1787][emoji1787][emoji1787]