babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Nyie ni wanasiasa mufilisi (kama Nyerere alivyosema). Mmetumwa mitandaoni kusambaza uongo kwamba wote wanaompenda Magufuli ni Wasukuma au kanda ya ziwa.
Mimi huniambii kitu mbele ya Magufuli na ni Mchagga pure. Msitake kutuharibia nchi yetu kisa mnamchukia Magufuli kwa kuwabana na kuwakomesha mafisadi na vibaraka wa mabeberu.
Mmemsingizia vyote vibaya alivyokuwa hai (anaua dikteta nk) lakini Watz si wajinga kama mlivyodhani hawakusikiliza uongo wenu. Mmeamua kuongezea uongo wa Ukabila na mtaendelea kushindwa!
Mwanza na Nyanda za juu kusini kuna watu wamekutwa wameuwawa na wasio julikana, je tuseme anayehusika na hayo mauaji ni SH kama walivyo kuwa wanamsingizia JP awamu iliyopita!
