Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hvi mbona munalazmisha mambo ya ukabila humu ndani, munaharibu hii thread
Kwahiyo unataka kusema Magufuli hakuwa Mkabila? Tutajie kijiji kingine Tanzania kilicholazimishiwa $1 bln ya uwekezaji usio na tija kama Chato!
 
Sasa Bora mjinga kuliko mpumbavu unaeng'ang'ania uongo..

Kwamba Serikali ya Mwendazake haikuongeza value retention fee kwenye mikopo ya Bodi? Kwamba haikuongeza makato kutoka 10% to 15%? Kwamba hizo hazijaondolewa Sasa hivi?

Kwamba haikuondoa annual increment na Sasa zimerudishwa?

Kwamba miradi ya NHC haikuwa imejifia au kusimamiaekwa kukosa pesa ila Sasa ujenzi umerejea tena na wewe unajua?

Kwamba Hawa wote ni waongo ila wewe ndio mkweli si ndio?
Usirukeruke mkuu, mjadala hapa ni kwamba "Je Magufuli aliua au alikuza uchumi Tanzania?".

Nimekutajia sectors za uchumi na nikakuambia tupitie Moja baada ya nyingine, tulinganishe kipindi Cha Magufuli na kabla hajaingia madarakani Ili tulinganishe, hiyo ndio njia bora ya kujua Kama uchumi ulikua au ulivurugika, hutaki badala yake unaendeleza shutuma za ajabu

Post ingine ni kuhusu Polepole, huko nako nimekupa maelezo ya kina na ndiko nilikotaja "Ujinga", kwahiyo usijaribu kuchanganya mambo, kwanza tuanze na kupitia sectors za uchumi Moja baada ya ingine tuone Kama zilikua enzi zake au zilisinyaa, mwisho utupe ushahidi kwamba Polepole anaandaliwa kuwa rais 2025.

Mkuu, tulia usipaparike, twende hatua kwa hatua. Tuanze na kipengele Cha kukua kwa GDP" Kisha tupitie Kila sector mojamoja.
 
kadanganye wapuuzi wenzio ukabila upo tena JPM ndo chanzo!
Kwahiyo mnauendeleza?, Kama aliuleta kazi yetu sio kuuendeleza,, jukumu letu ni kuuzima sio kuuendeleza, au unataka kusema serikali ya Sasa pia inaendeleza ukabila?.

Mkuu, kitendo Cha kwamba hakuna mtu yeyote anayezungumza ukabila hapa kwenye hii forum, ni dalili ya wazi kwamba hilo jambo watu halipo kabisa katika vichwa vyao, Wala hawana "interest" nalo.
 
nikuulize agenda ya wakina Polepole na wenzie ni nini hasa? Mbona movement yao inaendeshwa kanda ya ziwa tu?
 
Victoria.

IMG_6972.jpg

IMG_6973.jpg

IMG_6974.jpg

IMG_6975.jpg
 
Kwahiyo unataka kusema Magufuli hakuwa Mkabila? Tutajie kijiji kingine Tanzania kilicholazimishiwa $1 bln ya uwekezaji usio na tija kama Chato!
Mkuu, naomba utofautishe kati ya "Tribalism vs Nepotism, hapo ndio unachanganya mambo. Unapowapa upendeleo jamaa zako wa karibu na majirani zako, hiyo ni "Nepotism".

Tribalism ni kuwapendelea watu wa kabila lako hata Kama hamfahamiani, sio marafiki Wala majirani zako. Kama unachukulia ujenzi wa Chato ni upendeleo, basi hiyo ni "Nepotism sio tribalism".
 
Kwahiyo unataka kusema Magufuli hakuwa Mkabila? Tutajie kijiji kingine Tanzania kilicholazimishiwa $1 bln ya uwekezaji usio na tija kama Chato!
Hvi unafahamu ukabila vzr bwana geza au unausikia? Tuulize sisi tuliofika kwenye nchi zenye ukabila na for ur information tanzania hakuna ukabila kabisa so musiharibu hii thread kwa mambo ambayo hayana msingi wowote bro, turudini kwenye lengo la thread
 
Mkuu, naomba utofautishe kati ya "Tribalism vs Nepotism, hapo ndio unachanganya mambo. Unapowapa upendeleo jamaa zako wa karibu na majirani zako, hiyo ni "Nepotism".

Tribalism ni kuwapendelea watu wa kabila lako hata Kama hamfahamiani, sio marafiki Wala majirani zako. Kama unachukulia ujenzi wa Chato ni upendeleo, basi hiyo ni "Nepotism sio tribalism".
Usilazimishe mambo nepotism na tribalism viko intertwined! Soma kile kitabu uelewe!
 
That’s what they worth……ligi ya Kenya ni kama ya Ligi yetu ya wanawake tu kwa hadhi………….na wamefurahi hao………
Kaka tafadhali, huwezi fananisha ligi yetu ya wananwake hapa na uchafu wa Kenya.
Ligi ya wananwake Tanzania ni kubwa mmno! Watilia viruzi mwenyewe utaniambia.

Ligi ya mpira Kenya ni kama umitashumta huku Tanzania.
 
nikuulize agenda ya wakina Polepole na wenzie ni nini hasa? Mbona movement yao inaendeshwa kanda ya ziwa tu?
Mkuu, Mimi sio mtu wa Majungu Majungu, siwezi kuishi kwa kumfuatilia mtu kiasi hicho, hii yote ni Tanzania, Kila mtu anayo haki ya kufanya chochote mahali popote.

Mkuu hupaswi kuwa na wasiwasi na mwanasiasa kwa lolote analofanya kihalali, wewe sio mwanasiasa, huna la kupoteza kwa wao kwenda huko kwasababu hugombanii cheo chochote katika hilo eneo
 
Usilazimishe mambo nepotism na tribalism viko intertwined! Soma kile kitabu uelewe!
Mimi sio mtaalamu wa Lugha, lakini "Tribalism na Nepotism", japo vinabeba dhana Moja, lakini ni vitu viwili tofauti Sana.

Kwenye "Nepotism" driving factor ni ukaribu wa mtu, bila kujali kabila lake, kwa mfano, mtu yeyote anayeishi Chato, atanufaika na huo "upendeleo" uliofanyika, awe Msukuma au kabila lolote.

Kwenye Tribalism, wanufaika ni wasukuma wote popote walipo duniani. Mkuu jaribu kusoma vitabu vingi na uweke Ubongo wako wazi kupokea elimu, usijifungie ndani ya chumba Cha chuki na Majungu
 
ukweli haufichiki mzee! Hawa watu wana agenda chafu kwa mstakabali wa nchi yetu!
Mzee usiende mbali hivyo! Sisi sote ni watanzania na tuna haki sawa kushiriki kwenye siasa. Utofauti wa fikra usiwe ndo sababu ya mgawanyiko wetu.

Sukuma gang, wasukima, watu kanda hiyo na kadhalika wote wanahaki ya kushiriki na kuipigania nchi kama wewe. Tuheshimiane! Tupendane!

Mimi ni mswahili ila namkubali sana pole pole, ndoto yangu ni kwamba yeye (pole pole) au bashe siku moja waje kuwa raisi wa nchi hii.

Kwa sasa hakuna mwingine yoyote anaenikosha kwenye siasa za nchi hii.( Ukimtoa mama of course!)
 
Mimi sio mtaalamu wa Lugha, lakini "Tribalism na Nepotism", japo vinabeba dhana Moja, lakini ni vitu viwili tofauti Sana.

Kwenye "Nepotism" driving factor ni ujaribu wa mtu, bila kujali kabila lake, kwa mfano, mtu yeyote anayeishi Chato, atanufaika na huo "upendeleo" uliofanyika, awe Msukuma au kabila lolote.

Kwenye Tribalism, wanufaika ni wasukuma wote popote walipo duniani. Mkuu jaribu kusoma vitabu vingi na uweke Ubongo wako wazi kupokea elimu, usijifungie ndani ya chumba Cha chuki na Majungu
soma kitabu nilichokupa! Wewe huwezi kunifundisha kitu mimi! Nakupa homework angalia miradi ya Sukumaland in total halafu linganisha na miradi ya Kigoma! Na uje uniambie mbona Kigoma haikupewa kipaumbele pia? Mbona Mara hakukupewa priority pia?
 
Back
Top Bottom