Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa ni much know lakini hakuna ubaya wowote kwenye Dom government city.. miji yote mikuu mipya imezingatia kutenganisha ofisi za serikali pamoja na makazi ya watu, mifano kwa picha ukitaka nitakupatia mana ni mingi mno..

And by the way DODOMA government city si tu eneo kwaajili ya serikali lahasha, huo mji umekua designed ku accommodate kila aina ya majengo kuanzia majengo ya biashara, makazi ya watu, viwanja vya michezo, shule, hospitals n.k ..
Ni vile tu wewe hufuatilii chochote Halaf unataka kujitia ujuaji ilihali hujui kinachoendelea ..
Unajua ni vyema kama ukisoma kitu mtu alichoandika Kwa makini kabla ya kujiaibisha. Mimi nilichokosoa ni PLANNING STRATEGY ya huo mji Maana inafuata MODERNIST IDEAS.

Moja ya architects wa kwanza ku-conceptualize hii concept ni Le Corbusier, architect aliyezaliwa Switzerland. Mwaka 1925 alikuwa na idea ya kui-transform Paris Kwa kujenga tower blocks na highways Kwasababu AUTOMOBILES zilianza kubadilisha lifestyle ya binadamu. Badala ya kuwa na miji ambayo kila kitu kipo karibu wakaona Hakuna shida ya kuwa na miji ambayo mtu yuko mbali na huduma anazohitaji as long as akiwa na gari la kumpeleka anakohitaji.

Hii Ndio vision yake ya Paris. Looks a lot like “government city,” except the towers are really tall.
IMG_4611.jpeg

Miji mingi duniani ilianza implementation ya hii concept kuanzia miaka ya 60. Miji yote iliyojengwa na hii principle lazima utaona highways, freeways, vast parking space, tower blocks, suburb sprawl, and commercial spaces located far from the city center. Nairobi ni mfano mzuri wa hii aina ya planning.

Lakini miji ya hii aina HAKUNA COMMUNITY. Ni Sawa na kuishi bila interaction na watu wengine. Na miji iliyochangua hii design concept ilianza kuanguka kuichumi kwasababu maeneo ya katikati ya miji kulipokuwa na biashara na watu wanatembea Au wakiwa karibu na makazi yao zilikutana na competition kutoka kwenye shopping centers. Na highways, freeways hazi-encourage watu kutembea sio SAFE.

Mini mingi America na Europe aliyobadilishwa na modernism sasa hivi inarudi ilikotoka. Shopping malls zinakufa kwasababu online retail imeshika kasi, wanabomoa freeways na highways katikati ya miji na kujenga mixed use buildings na walkable neighborhoods kuvutia watu wanaotembea. Kwa kufanya hivyo unajenga uchumi mzuri na a sense of community.

Nikuulize swali. Ni bora uishi kwenye mji A Au B?

Mji A
IMG_4615.jpeg

Mji B
IMG_4612.jpeg

Nchi nyingi duniani sasa hivi zinaelewa kuwa ili kujenga miji ambayo watu wanafurahia kuishi ni vyema ku-prioritize waenda Kwa miguu. Kwasababu hao Ndio wanatengeneza community na hao Ndio shoppers.

Seoul, Korea walikuwa na highway wakaibomoa kujenga stream na park: sehemu ya watu ku-stroll na kupumzika.
IMG_4619.png

Kama unataka kujifunza zaidi ya planning strategy ninayo-recommend, nenda kasome kuhusu “NEW URBANISM.”
 
View attachment 2620901

View attachment 2620902

Mji B
View attachment 2620903

Nchi nyingi duniani sasa hivi zinaelewa kuwa ili kujenga miji ambayo watu wanafurahia kuishi ni vyema ku-prioritize waenda Kwa miguu. Kwasababu hao Ndio wanatengeneza community na hao Ndio shoppers.

Seoul, Korea walikuwa na highway wakaibomoa kujenga stream na park: sehemu ya watu ku-stroll na kupumzika.
View attachment 2620912

Kama unataka kujifunza zaidi ya planning strategy ninayo-recommend, nenda kasome kuhusu “NEW URBANISM.”

Yaani wewe kitu kilichobuniwa na Wazungu ndio kipya machoni kwako na sahihi!!??

Wewe endelea na ushamba wako huko ulipo.
 
Naomba utupe ushahidi katika teuzi, idadi ya wasukuma ktk Baraza la mawaziri vs proportion ya idadi ya wasukuma Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Soma hiki Kitabu halafu nitajie Rais mmoja East Africa aliyefanya kufuru kwao kama JPM kutumia $1bln Chato bila kuidhinishwa na Bunge! Uhuru? Hapana! Museveni miaka karibu 40 madarakani! Hapana! Kagame miaka karibu 30 madarakani! Hapana!
 
Attachments

  • media_13665498.jpeg
    media_13665498.jpeg
    43.2 KB · Views: 6
Tatizo huna "supporting evidences/documents", Katika vipimo vyote vilivyotolewa na taasisi za nje "Neutral International bodies" nyingi Sana zilionyesha kwamba Tanzania ilifanya vizuri Sana kiuchumi katika kipindi Cha Magufuli hadi kupelekea Tanzania kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati mapema kuliko ilivyotegemewa na WB/IMF.

Kamwe haiwezikani uchumi uaribike lakini nchi iweze kuingia katika kundi za uchumi wa kati mapema zaidi kuliko ilivyotegemewa, hicho pekee ni kigezo kikubwa kuonyesha kwamba Magufuli alifanikiwa Sana katika kujinge uchumi wa nchi.

Katika madini, Magufuli alibadilisha kabisa hiyo sector, Hivi Sasa sector ya madini ndiyo inayoongoza kuingiza pesa za kigeni na kuipita kwa mbali sector ya utalii.

Kwenye kilimo nako huko usiseme, hiyo miradi yote mikubwa ya umwagiliaji maji, ambayo mama Samia ameiongezea fedha, ni mwrndelezo wa kazi ya Magufuli, msikilize Bashe atakuekeza vizuri.

Mkuu, Magufuli ndiye baba wa hii Tanzania mpya, upende usipende, huo ndio ukweli, lakini aliturudisha nyuma Sana ktk suala Zima la demokrasia na haki za binadamu, Magufuli na Kagame wanalingana sana.

Huu ndio ukweli kuhusu Magufuli

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Unataka kumdanganya nani? Nakupa mifano michache tuu japo Nina mifano milioni
1.Unajua Kwa nini Serikali ilichukua mkopo wa Uviko 19 Kwa dirisha la dharula?
2.Unajua sababu za kusimamisha Ajira,salary,kuunganisha mifuko,kusua Sua Kwa mafao,miradi Mingi kwenda Nje ya mda?
3.Unajua sababu ya kuchukua pesa kwenye accounts za watu Kwa Nguvu?
4.Nitajie hiyo independent organization hata Moja ambayo iliwahi sema Tanzania uwekezaji umeongezeka au wewe hapo lini uliwahi sikia FDI imeimarika?
5.Unajua sababu ya real estates kufa?
6.Unaijua sababu ya kuingiza jeshi kununua korosho?
7.Unaijua sababu ya mazao ya kilimo.kuporomoka bei? Eg mbaazi,ufuta,korosho,nafaka nk?
8.Unajua sababu ya wimbo wa Tanzania ya viwanda kuacha kuumbwa Hadi vyerehani kuwa sehemu ya viwanda?
9.Unajua sababu ya commercial loans kuongezeka badala ya consessional loans?
10. Unaijua sababu ya propaganda kutumika kuongoza Nchi?

Haya kati ya miradi yote mikubwa aliyoanzisha huyo mtu Wetu,nitajie mradi hata mmja ambao ulikuwa on time by march 2021..

Mwisho unadhani nini kulifanya hayo yote nimeeleza hapo Juu yawe on reverse as we speak just within 2 years? Do you hear any kisingizio ?

Tusibishane sana muwekeni polepole 2025 au 2030 harafu tuonane na mtunze Statistics za Rais Samia kuanzia march 2021 Hadi 2025 mje mlinganishe
Screenshot_20230322-182232.jpg
 
Unataka kumdanganya nani? Nakupa mifano michache tuu japo Nina mifano milioni
1.Unajua Kwa nini Serikali ilichukua mkopo wa Uviko 19 Kwa dirisha la dharula?
2.Unajua sababu za kusimamisha Ajira,salary,kuunganisha mifuko,kusua Sua Kwa mafao,miradi Mingi kwenda Nje ya mda?
3.Unajua sababu ya kuchukua pesa kwenye accounts za watu Kwa Nguvu?
4.Nitajie hiyo independent organization hata Moja ambayo iliwahi sema Tanzania uwekezaji umeongezeka au wewe hapo lini uliwahi sikia FDI imeimarika?
5.Unajua sababu ya real estates kufa?
6.Unaijua sababu ya kuingiza jeshi kununua korosho?
7.Unaijua sababu ya mazao ya kilimo.kuporomoka bei? Eg mbaazi,ufuta,korosho,nafaka nk?
8.Unajua sababu ya wimbo wa Tanzania ya viwanda kuacha kuumbwa Hadi vyerehani kuwa sehemu ya viwanda?
9.Unajua sababu ya commercial loans kuongezeka badala ya consessional loans?
10. Unaijua sababu ya propaganda kutumika kuongoza Nchi?

Haya kati ya miradi yote mikubwa aliyoanzisha huyo mtu Wetu,nitajie mradi hata mmja ambao ulikuwa on time by march 2021..

Mwisho unadhani nini kulifanya hayo yote nimeeleza hapo Juu yawe on reverse as we speak just within 2 years? Do you hear any kisingizio ?

Tusibishane sana muwekeni polepole 2025 au 2030 harafu tuonane na mtunze Statistics za Rais Samia kuanzia march 2021 Hadi 2025 mje mlinganishe View attachment 2620948
Wanataka kumuweka Polepole?
 
Wanataka kumuweka Polepole?
Ndio nasikia sikia wanamtumia kupima upepo.Slowslow na Gwajiboy ndio Frontrunner wao japo Kuna wengine kina PM,Mpina, Bashungwa..

Lakini out of hao wote mjamaa haswa hapo ni Slow slow na huyo ni dangerous kabisa na pia yeye ni rahisi kuwateka watu wenye akili ndogo Kwa kichaka Chao kile kile Cha Uzalendo na blaa blaa kama hizo..

Wawekane Kwa namna yeyote ila wanaoijua ila mda utasema na nimeshakula kucheza na wajamaa na nadhani na Wafanyabiashara wengi wamekua hawatakubali kuumia kama awamu iliyopita..

Kimei hapa anasema sio tuu watu walikuwa wanakacha kuweka pesa banks Bali walikuwa wanapokea maelekezo ya kihuni,watetezi waje Sasa wabishe na hapa,huku ndiko Wanataka waturudishe? 👇
 
Ndo maana anaropokaropoka? Polepole ni Msukuma pia?
 
Tatizo huna "supporting evidences/documents", Katika vipimo vyote vilivyotolewa na taasisi za nje "Neutral International bodies" nyingi Sana zilionyesha kwamba Tanzania ilifanya vizuri Sana kiuchumi katika kipindi Cha Magufuli hadi kupelekea Tanzania kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati mapema kuliko ilivyotegemewa na WB/IMF.

Kamwe haiwezekani uchumi uaribike na bado nchi iweze kuingia katika kundi za uchumi wa kati mapema zaidi kuliko ilivyotegemewa, hicho pekee ni kigezo kikubwa kuonyesha kwamba Magufuli alifanikiwa Sana katika kujinge uchumi wa nchi.

Katika madini, Magufuli alibadilisha kabisa hiyo sector, Hivi Sasa sector ya madini ndiyo inayoongoza kuingiza pesa za kigeni na kuipita kwa mbali sector ya utalii.

Kwenye kilimo nako huko usiseme, hiyo miradi yote mikubwa ya umwagiliaji maji, ambayo mama Samia ameiongezea fedha, ni mwendelezo wa kazi za Magufuli, msikilize Bashe atakuekeza vizuri.

Mkuu, Magufuli ndiye baba wa hii Tanzania mpya, upende usipende, huo ndio ukweli, lakini aliturudisha nyuma Sana ktk suala Zima la demokrasia na haki za binadamu, Magufuli na Kagame wanalingana sana.

Huu ndio ukweli kuhusu Magufuli

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Akirudi unitag.
 
Sidhani kama wanaojenga huu mji wanatazama case studies za capital cities zilizojengwa namna hii hii na kufeli. Brasilia ilijengwa kwa hii style in the 1960s. Ukifikiria maeneo yenye strong community, ambayo inapaswa kuwa sifa ya miji mikuu, huwezi kukuta building blocks zilizotengana namna hii, Au highways zinakatiza kwenye mitaa, Au large empty spaces.

Sehemu zenye community ni WALKABLE. Mtembea Kwa miguu na muendesha baiskeli wanapewa kipaumbele kuliko muendesha gari. Majengo yana GENTLE DENSITY, sio detached buildings surrounded by large parking lots. Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa wangepaswa kujenga taasisi za serikali within the current city limits. Kama serikali ingekuwa inaishi na wananchi in the same neighborhoods, maendeleo yangemfikia kila mtu. Hakukuwa na haja ya kuanzisha some utopian government town.
Niliona documentary ya Brasilia, wamejenga vizuri lakini moja ya vitu watu wanalalamika ni ofisi za serikali kuwa mbalimbali kiasi kwamba watu wanatembea sana kupata huduma.
 
Back
Top Bottom