Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Magufuli city tayari zimeshaanza kujengwa residential buildings.? Nimeona hii 👇
s8.jpg
page_1.jpg
 
Mkuu, mimi nakuelewa sana, shida yako ni moja. You have too much tolérance towards stupidity, unawalea sana Wendawazimu Huku ukifahamu fika hawatakubaliana na mtazamo wako kamwe,
Kwa kufanya hivi maana yake unakuwa unawaendekeza, kisha wanakuzoea, kisha wanajiona wako relevant, feeding the troll is a gentle sin. Don’t feed the troll.
Yamekwisha mkuu, ninahisi wameelewa.
 
Hii barabara muhimu sana Kuanzia Itigi to Rungwa to Chunya over 400km wakifanikisha kuiunga na lami basi itasaidia sana usafirishaji , itakuwa hamna haja ya kupita Dodoma kama unaenda mbeya , pia Mwanza to Mbeya itakuwa imefupishwa , hizi ndo project zinazokuza sana uchumi wa nchi
Ni kweli Mkuu,Kipande kilichosalia ni Kati ya Makongongolosi-Rungwa Hadi hapo Moronga Kwa upande wa Singida na kutoka Rungwa Hadi Ipole Kwa upande wa Tabora..

Hii ndio Barabara fupi ukitaka kufika Mikoa ya Kaskazini au Lake zone badala ya kuzungukia Dodoma.

Bajeti ijayo hizo sections zinaenda kupata Wakandarasi
 
Hivi rungwa to chunya ina lami
 
Back
Top Bottom