ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,250
- 89,567
Kunyan na uchafu ni kama pipa na mfunikowameenda kuoga wakimaliza wanarudi, tuwavumilie si unajua foleni za bathroom
View attachment 3683079
You are really struggling to see your mountain, on the Kenyan side it's very clear and you don't need to zoom to extend the picture become blurred.This evening
Niko busy ninaappreciate mali yetu 🇹🇿🇹🇿
Tanzania is such GOATED place man
View attachment 3683117
We nae ni kilaza sana. Mimi nipo Moshi mjini, mji wa Moshi umejengwa 45km kutoka Mlima KilimanjaroYou are really struggling to see your mountain, on the Kenyan side it's very clear and you don't need to zoom to extend the picture become blurred.
Hao kiboko yao mm wala msijali mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣Karibu tena mkuu,wanuka mavi wameongezeka kaja 😄
Hiyo ni dodoma stand mzee, ni hatari fire 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Nini cha ajabu hapo mr. Born Again 007 … reli iko juu and so?… you want to see the real deal , watch Nairobi National Park SGR … then let’s compare …😜
Noma sana kaka, yn kwenye sgr hatuna mpinzani Africa hii.Hii europe aisee
Hizo ni ngonjera za kizamani zimeshapitwa na wakati mzee, jaribu tena kivingine.You are really struggling to see your mountain, on the Kenyan side it's very clear and you don't need to zoom to extend the picture become blurred.