Unataka kumdanganya nani? Nakupa mifano michache tuu japo Nina mifano milioni
1.Unajua Kwa nini Serikali ilichukua mkopo wa Uviko 19 Kwa dirisha la dharula?
2.Unajua sababu za kusimamisha Ajira,salary,kuunganisha mifuko,kusua Sua Kwa mafao,miradi Mingi kwenda Nje ya mda?
3.Unajua sababu ya kuchukua pesa kwenye accounts za watu Kwa Nguvu?
4.Nitajie hiyo independent organization hata Moja ambayo iliwahi sema Tanzania uwekezaji umeongezeka au wewe hapo lini uliwahi sikia FDI imeimarika?
5.Unajua sababu ya real estates kufa?
6.Unaijua sababu ya kuingiza jeshi kununua korosho?
7.Unaijua sababu ya mazao ya kilimo.kuporomoka bei? Eg mbaazi,ufuta,korosho,nafaka nk?
8.Unajua sababu ya wimbo wa Tanzania ya viwanda kuacha kuumbwa Hadi vyerehani kuwa sehemu ya viwanda?
9.Unajua sababu ya commercial loans kuongezeka badala ya consessional loans?
10. Unaijua sababu ya propaganda kutumika kuongoza Nchi?
Haya kati ya miradi yote mikubwa aliyoanzisha huyo mtu Wetu,nitajie mradi hata mmja ambao ulikuwa on time by march 2021..
Mwisho unadhani nini kulifanya hayo yote nimeeleza hapo Juu yawe on reverse as we speak just within 2 years? Do you hear any kisingizio ?
Tusibishane sana muwekeni polepole 2025 au 2030 harafu tuonane na mtunze Statistics za Rais Samia kuanzia march 2021 Hadi 2025 mje mlinganishe
View attachment 2620948