Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Most of us live in houses not apartments.
You mean these "houses" 😂😂😂😂😂😂😂
Screenshot_20220527-004137~2.png
Screenshot_20220527-004123~2.png
Screenshot_20220527-003427~2.png
Screenshot_20220527-005042~2.png
Screenshot_20220527-004329~2.png
Screenshot_20220527-004307~2.png
Screenshot_20220625-195527~2.png
Screenshot_20220527-004414~2.png
Screenshot_20220625-175809~2.png
Screenshot_20220527-004347~2.png
Screenshot_20220527-003609~2.png
Screenshot_20220625-175848~2.png
 
Hahaha, can you please show your value of export of manufactured goods 2022 https://www.ippmedia.com/en/bu...orts-record-strong-growth-2022
Punguza maneno mengi na janjajanja za kukwepa. Kenya will never match Tanzania in manufacturing sector, never and I repeat never again. By the way 39% ya big industries Tanzania hutumia "Natural gas" hatutumii umeme kama ninyi.

Kenya hamna uwezo wa kuuza nje bidhaa za viwandani hata kufikisha $1B, Kila kitu mnaagiza toka nje ya Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I am giving you 2021 data which clearly shows we are miles ahead of you in value of manufactured goods exported and you are clinging on 2022 data, a difference of 12 months!! Si unaona ulivyo mjinga?

If you couldn't match us in 2021 just when Covid was taking a toll on most economies including ours, what makes you think you could match us in 2022 when most sectors of our economy had recovered from Covid effects? Wewe kilaza wa bongo hakuna siku Tanzania will catch up with Kenya in anything. The earlier you understand this the better. We exported manufactured goods worth $3b in 2021 and I have provided proof. I am not even sure if you exported manufactured goods worth $1b the same year na bado uko na nguvu ya kutoa povu. Useless danyanyikan!
 
Hawa ni watu wa kelele tu, tatizo vyombo vyao vya habari na viongozi wao wamekua wakiwajaza ujinga kutaka kuwakweza wajione wao wapo juu katika Kila kitu, sisi huwa hatuna kelele, tunafukuza mwizi kimya kimya.

Wale waliokua wakiwaunga mkono na kutaka kutudanganya huku Tanzania kwamba wakenya wapo mbele yetu, siku hizi siwasikii Tena, sijui wameenda wapi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakati huu uzi unaanza mwaka 2017 ilikuwa shida sn kuwaaminisha watu kwamba Tz ipo juu ya Kenya, tulipata tabu sana mpaka baadhi ya Watz walikuwa hawaamini kabisa, tena tulikuwa tunarumbana humu kweli kweli na Watz wenzetu waliokuwa hawaamini hilo, lkn kwa ss Wakenya ndio hawaamini kama Kenya yao ipo juu ya Tz, wamebaki Wakenya wachache hasa wa humu JF ambao ukweli wanaujua kwamba Tz ipo juu sana sema wanaona aibu kukubali japo tunaona wanakubali kupitia post zao zilizokata tamaa.
 
Tanzania ipo juu ya Kenya kwa lipi? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom