Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Love šŸ˜ in the city under jacaranda propaganda
IMG_20230429_170000.jpg
 
Tanzania ipo juu ya Kenya kwa lipi?
Unajichekesha au sio, huwa nakuumiza nikikwambia unitajie infrastructure ambayo ipo huko kwenye shit hole yenu na haipo Tz unakimbia. Kwa sasa sina haja tena ya kuendelea kubishana kuhusu hilo tushafunga mjadala kilichobaki ni kupeleka siku ziende kwa afya ya uzi but no comparison at all btn Tz and Kenya.
 
I am giving you 2021 data which clearly shows we are miles ahead of you in value of manufactured goods exported and you are clinging on 2022 data, a difference of 12 months!! Si unaona ulivyo mjinga?

If you couldn't match us in 2021 just when Covid was taking a toll on most economies including ours, what makes you think you could match us in 2022 when most sectors of our economy had recovered from Covid effects? Wewe kilaza wa bongo hakuna siku Tanzania will catch up with Kenya in anything. The earlier you understand this the better. We exported manufactured goods worth $3b in 2021 and I have provided proof. I am not even sure if you exported manufactured goods worth $1b the same year na bado uko na nguvu ya kutoa povu. Useless danyanyikan!
Weka link Kama hii https://www.ippmedia.com/en/bu...orts-record-strong-growth-2022, Wacha ujinga wako wa kupiga kelele, ukiweka link yenye kuonyesha export za manufactured goods (Sio total Exports), tafadhali weka data za "only export of manufactured goods za 2022, tuone. Kumbuka kwamba your manufacturing sector grew by negative - 2.7 last year, hakuna kitu mlipeleka nje ya nchi, Kama unabishe weka tuone. Failed state ninyi hamuwezi shindana na Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bongolala, sikuachana na anything. I just wanted to see how far you could go with this talk. Remember I told you data nikakupa? Here it is

In 2021, Kenya exported a total of $11.66b worth of goods

Out this, 30% ($3.498b) were manufactured goods

Sasa mtanganyika nataka unisikize kwa makini, hakuna siku giza na mchana zitawahi kutana. We are miles ahead of you kushinda humu ukitajataja Kenya kinywani mwako from morning to evening. Shugulika na nchi yenu fukara instead of wasting your time mentioning nchi ambayo imeshinda yenu by far. You still have a long way to go as Tanganyika to even start mentioning Kenya's name everytime.

Angalau ongezeni electricity consumption yenu kwanza ifike level yetu ndio uanze kuwa na ndoto kwamba your country is more industrialized than ours coz kipimo cha kwanza cha ustawi wa viwanda ni the amount of electricity you consume as a country coz industries run on electricity. Huwezi kuwa na viwanda vingi wakati consumption yako ya umeme ni kiduchu. Hope message umeipata
Sasa mbona unalia? Umeambiwa ulete data unatoa povu, Tz ina export zaidi yenu but nyie mnatuzidi kwenye importation, hilo sipingi. Kuhusu umeme hamtokaa mtukaribie kwasababu sisi tuna vyanzo vingi vya umeme, ukijumlisha unapata namba kubwa kuliko yenu, na hapo bado kuna jnhpp soon inakuja ambapo tutaanza kuwauzia umeme mtake msitake.
 
Sasa mbona unalia? Umeambiwa ulete data unatoa povu, Tz ina export zaidi yenu but nyie mnatuzidi kwenye importation, hilo sipingi. Kuhusu umeme hamtokaa mtukaribie kwasababu sisi tuna vyanzo vingi vya umeme, ukijumlisha unapata namba kubwa kuliko yenu, na hapo bado kuna jnhpp soon inakuja ambapo tutaanza kuwauzia umeme mtake msitake.
Don't always believe in people's opinions.
Screenshot_2023-04-29-10-24-33-25_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
Screenshot_2023-04-29-18-47-39-21_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Eti mlijenga miaka ya 70s? Na kwamba ziko kila manispaa? Nionyeshe with proof hizo viwanja mlipojenga manispaa ya Songea, Shinyanga, Iringa, Singida, Bukoba, Mtwara na Tarime,

Hizo manispaa zote umetaja zina stadia since 70s, and nowadays individual teams are building their own stadia.. you can mention whatever municipal you know

Pics
1. Iringa stadium /Samora Machel stadium ( uwanja wa Lipuli FC)
IMG_3483.jpg


2. Singida Namfua Stafium , used by Singida big star fc. Hakuna team Kunyaland inaweza fikia levels za Singida big star
IMG_3482.jpg


IMG_3481.jpg

IMG_3480.jpg


3. Songea - Majimaji Stadium (used by Majimaji FC)
IMG_3486.png


4. Sinyanga - Kambarage Stadium
IMG_3489.jpg


5. Kagera - Kaitaba Stadium , Used by Kagera Sugar
IMG_3484.jpg


6. Mtwara - Nangwanda Sijaona
IMG_3490.jpg


Tarime sio manispaa
 
Eti mlijenga miaka ya 70s? Na kwamba ziko kila manispaa? Nionyeshe with proof hizo viwanja mlipojenga manispaa ya Songea, Shinyanga, Iringa, Singida, Bukoba, Mtwara na Tarime,

Halafu mbona unachukulia Poa hizo manispaa mzee. Hiyo ni miji yenye hadhi na watu wanaishi maisha mazuri ,
Hawana njaa kama huko cundustan , angalia mazingira ya iringa kwa mfano

 
Back
Top Bottom