ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
Kama ni za miaka saba na huzitaki basi nakuruhusu lete mpya.Story za miaka saba nyuma bado unatuletea hapa wewe kilaza? Tuletee apartments tuone, kama hakuna jitie kisha ufanye inayofaa
Hiyo njia ya chini ibomolewe tuu wajenge magorofa maana wako addicted nayo sana.Mch
Mchina anapata hasara hapa, eti uchumi wa kati kajamba nani wote wapo chini
Na imagine tumenyamaza tu. Hizi zingekuwa zinajengwa bongo the whole world could have known na JF hakungekalika
Hutakaa uzipateBado ninasubiri zile data za export za manufactured goods za Kenya na tonnes of exported meat za 2021/23 please
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Most of us live in houses not apartments.Of course hakuna cha ajabu. Cha ajabu tu ni kwamba nyinyi mkiona residential apartment ikijengwa hapo Dar ni kitu cha ajabu hadi itajwe hapa jukwaami. Nairobi residential apartments zipo kila mahali
Watanzania kila siku wanaweka miradi mipya humu unlike you mmekwama na miradi ile ile daily, expressway ya mchina, GTC ya mchina then mnamalizia na vi apartments nzee vyenye bati nyekundu juu, so wewe unavyoona kuna uwiano hapo? Kuhusu Kibera na njaa lazima tuweke humu ili kuwakumbusha level mliyopo na kama hamuitaki Kibera na njaa au bandits au uchafu au ukabila basi viondoeni ili muonekane wastaarabu kama sisi.I can't count the number of times the mention Kibera and njaa in this thread just because they lack content
Yet, mnaongoza dunia kwa uchafu, njaa, ukabila, uncivilized society and bad enough the existence of the biggest population living in slums.Jericho is one of the plaes dangayikans consider a slum. Now go to Google Earth and search for random places and compare with Jericho. Let's say Vingunguti for example. Utacheka sana nakuambia
Na Mimi nitaendelea kumchokonoa hadi akasirike.Hutakaa uzipate![]()
Dodoma ina miradi yenye thamani kubwa kuliko miradi inayofanyika East and Central Africa combined.Ati na wana compare hii na Ile Dodomama Yao![]()