Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just recently they were against it calling them boxes … coz hawana…. Now that wameanza …. Dunia haitalala…. And they cry when we say they have inferiority complex….. 🤣🤣🤣
Huwa wanazitamani sana. Kuna kipindi pia walikuwa wakisema eti watanzania hawana utamaduni wa kuishi kwenye apartments wakati jiji lao ni uswazi mwanzo mwisho. Then you ask yourself this question : Kama hawana utamaduni wa kuishi kwenye apartments, they few they the build wanajengea akina nani? And why do they get excited everytime an apartment block is built somewhere in Dar? Inferiority complex ni kitu mbaya sana
 
Ushamba gani inazidi ile ya kushangaa ujenzi wa residential apartment in a city??
Wewe huwa ni kichwa kigumu sana, miradi ya hivyo vigorofa hapa DAR ipo kila mahali .. usije ukajua labda eti aliepost alishangaa kuona kigorofa kimoja kujengwa.. rudia ile post labda unaweza kuambua chochote
 
Local stadiums zinashinda hizi zenu za serikali ukiondoa mkapa.
Plus running track zinaviwango standard kabisaaa
Fikeni level kama hzi alaf njoo ongea pumba sasa 🤣🤣🤣🤣

Gambani stadium pemba
Screenshots_2023-05-04-12-51-54.png
Screenshots_2023-05-04-12-52-12.png
 
Just recently they were against it calling them boxes … coz hawana…. Now that wameanza …. Dunia haitalala…. And they cry when we say they have inferiority complex….. 🤣🤣🤣
Huwa wanazitamani sana. Kuna kipindi pia wa
Wewe huwa ni kichwa kigumu sana, miradi ya hivyo vigorofa hapa DAR ipo kila mahali .. usije ukajua labda eti aliepost alishangaa kuona kigorofa kimoja kujengwa.. rudia ile post labda unaweza kuambua chochote

likuwa wakisema eti watanzania hawana utamaduni wa kuishi kwenye apartments wakati jiji lao ni uswazi mwanzo mwisho. Then you ask yourself this question : ama hawana utamaduni wa kuishi kwenye apartments, they few they the build wanajengea akina nani?
 
Wewe huwa ni kichwa kigumu sana, miradi ya hivyo vigorofa hapa DAR ipo kila mahali .. usije ukajua labda eti aliepost alishangaa kuona kigorofa kimoja kujengwa.. rudia ile post labda unaweza kuambua chochote
Eti zipo kila mahali? 😂😂
Niletee picha za residential apartments Temeke, Tabata, Buguruni na Mwananyamala tuone
 
Eti zipo kila mahali?
Niletee picha za residential apartments Temeke, Tabata, Buguruni na Mwananyamala tuone

Wewe una bahati Sana ulipoamua kuachana na "debate" ya Manufacturing sectors kati ya Kenya na Tanzania, nilikua nimekuandalia silaha za maangamizi.

Kuanzia Leo, sitaki tena kuona unataja manufacturing sector ya Kenya, huwezi linganisha hata siku Moja na Tanzania.

Kenya manufacturing sector has collapsed for good. Soma vizuri kwa undani na unyamaze usirudi Tena

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe una bahati Sana up lipoamua kuachana na "debate" ya Manufacturing sectors kati ya Kenya na Tanzania, nilikua nimekuandalia silaha za maangamizi.

Kuanzia Leo, sitaki tena kuona unataja manufacturing sector ya Kenya, huwezi linganisha hata siku Moja na Tanzania.

Kenya manufacturing sector has collapsed for good. Soma vizuri kwa undani na unyamaze usirudi Tena

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umewachapa KO ,Kenya ni watoto kwetu kwa vingi
 
Umewachapa KO ,Kenya ni watoto kwetu kwa vingi
Hawa ni watu wa kelele tu, tatizo vyombo vyao vya habari na viongozi wao wamekua wakiwajaza ujinga kutaka kuwakweza wajione wao wapo juu katika Kila kitu, sisi huwa hatuna kelele, tunafukuza mwizi kimya kimya.

Wale waliokua wakiwaunga mkono na kutaka kutudanganya huku Tanzania kwamba wakenya wapo mbele yetu, siku hizi siwasikii Tena, sijui wameenda wapi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom