Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi jacaranda bloom. Who can't fall in love with this? View attachment 2610162

Namba za gari zenu mmefika lini XZD!
Maisha yenu ni full uongo uongo pumbav.

IMG_7921.jpg
 
Haki Mombasa if you add 3 skyscrapers, the skyline would be bigger and better than Ka Dar is a Slum… Hebu zoom hii Picha…
 

Attachments

  • 6959635C-5D5D-4462-83F4-09FF151C78CB.jpeg
    6959635C-5D5D-4462-83F4-09FF151C78CB.jpeg
    89 KB · Views: 13
Vitu tulishaavizoea Kenya ndio mnaanzisha. Halafu mbona hizo zenu zinakaa ovyo ovyo hivi?

View attachment 2610447
Nimeona gari ya Kepee Motors ya Masoud na Gari ya Udsm inafanywa na Dr.Marando na Eng.Robert Gabriel ziko vizuri kabisa..

Wame demonstrates specs nk kiasi kwamba wanasema early next year commercial electric vehicles zinaanzia kuingiza Sokoni tena made in Tanzania ambazo ni nzuri na efficient kuliko hata za Wazungu..

So hizi ni habari njema Kwa manufacturer wa Tanzania can't wait to see,tuwaunge mkono.cc chongchung
 
Back
Top Bottom