Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu kuwa serious , ni nini hiki mnajenga 2023 ?
Viwanja vya kizamani hivi sisi tulijenga miaka ya 70s kwenye kila manispaa, tuna manispaa zaidi ya 25 plus majiji 6 plus Stone Town. Counting ?
Despite the fact that our existing sports infrastructure is the best in the region, Sasa tunajenga uwanja mkubwa kabisa na wa kisasa Africa nzima pale nanenane Dodoma , tinajenga sports complex ya kisasa Kawe, tunakarabati viwanja 7 na kuvifanya viwe vya kisasa. As you are aware our Football Premere League is ranked 7th in the Continent.

Lastly, quick question;
Why do you call these Juakali structures International ?
View attachment 2609241
View attachment 2609242
View attachment 2609243
Eti mlijenga miaka ya 70s? Na kwamba ziko kila manispaa? Nionyeshe with proof hizo viwanja mlipojenga manispaa ya Songea, Shinyanga, Iringa, Singida, Bukoba, Mtwara na Tarime,
 
Watanzania kila siku wanaweka miradi mipya humu unlike you mmekwama na miradi ile ile daily, expressway ya mchina, GTC ya mchina then mnamalizia na vi apartments nzee vyenye bati nyekundu juu, so wewe unavyoona kuna uwiano hapo? Kuhusu Kibera na njaa lazima tuweke humu ili kuwakumbusha level mliyopo na kama hamuitaki Kibera na njaa au bandits au uchafu au ukabila basi viondoeni ili muonekane wastaarabu kama sisi.
At least sisi tunaonyesha apartments mzee zenye bati nyekundu (coloured iron sheets). Wewe ukileta picha ya makazi yenu hapa ni uswazi hovels zenye bati zilizoliwa na mchwa built in the most confused manner devoid of any planning. Aren't you even ashamed to talk about Nairobi apartments wakati jiji lenu ni uswazi mwanzo mwisho?
 
Mwanza Street Roads
tarura_tanzania_1683185673284300.jpg
tarura_tanzania_1683185673284113.jpg
tarura_tanzania_168318567328419.jpg
tarura_tanzania_1683185673284573.jpg
tarura_tanzania_168318567328411.jpg
tarura_tanzania_1683185673284463.jpg
 
Bongolala, sikuachana na anything. I just wanted to see how far you could go with this talk. Remember I told you data nikakupa? Here it is

In 2021, Kenya exported a total of $11.66b worth of goods

Out this, 30% ($3.498b) were manufactured goods

Sasa mtanganyika nataka unisikize kwa makini, hakuna siku giza na mchana zitawahi kutana. We are miles ahead of you kushinda humu ukitajataja Kenya kinywani mwako from morning to evening. Shugulika na nchi yenu fukara instead of wasting your time mentioning nchi ambayo imeshinda yenu by far. You still have a long way to go as Tanganyika to even start mentioning Kenya's name everytime.

Angalau ongezeni electricity consumption yenu kwanza ifike level yetu ndio uanze kuwa na ndoto kwamba your country is more industrialized than ours coz kipimo cha kwanza cha ustawi wa viwanda ni the amount of electricity you consume as a country coz industries run on electricity. Huwezi kuwa na viwanda vingi wakati consumption yako ya umeme ni kiduchu. Hope message umeipata
Hahaha, can you please show your value of export of manufactured goods 2022 https://www.ippmedia.com/en/bu...orts-record-strong-growth-2022
Punguza maneno mengi na janjajanja za kukwepa. Kenya will never match Tanzania in manufacturing sector, never and I repeat never again. By the way 39% ya big industries Tanzania hutumia "Natural gas" hatutumii umeme kama ninyi.

Kenya hamna uwezo wa kuuza nje bidhaa za viwandani hata kufikisha $1B, Kila kitu mnaagiza toka nje ya Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom