We punga nafikiri kuanzia sasa utaacha kuitaja taja Dodoma hovyo hovyo, we huoni wakunya wenzio huwa hawaiongelei Dodoma kabisa unadhani hawaijui?Ati na wana compare hii na Ile Dodomama Yao![]()

Tuoneshe picha za hivyo viwanja vyenu vipya.Hebu kuwa serious , ni nini hiki mnajenga 2023 ?
Viwanja vya kizamani hivi sisi tulijenga miaka ya 70s kwenye kila manispaa, tuna manispaa zaidi ya 25 plus majiji 6 plus Stone Town. Counting ?
Despite the fact that our existing sports infrastructure is the best in the region, Sasa tunajenga uwanja mkubwa kabisa na wa kisasa Africa nzima pale nanenane Dodoma , tinajenga sports complex ya kisasa Kawe, tunakarabati viwanja 7 na kuvifanya viwe vya kisasa. As you are aware our Football Premere League is ranked 7th in the Continent.
Lastly, quick question;
Why do you call these Juakali structures International ?
View attachment 2609241
View attachment 2609242
View attachment 2609243
"Mambati roof" ! !Kwamba in Cundustan republic standards hii ni stadium hahah
View attachment 2609246
Wee wachana na Vitu vya viwango toka Kunyaland!Hebu kuwa serious , ni nini hiki mnajenga 2023 ?
Viwanja vya kizamani hivi sisi tulijenga miaka ya 70s kwenye kila manispaa, tuna manispaa zaidi ya 25 plus majiji 6 plus Stone Town. Counting ?
Despite the fact that our existing sports infrastructure is the best in the region, Sasa tunajenga uwanja mkubwa kabisa na wa kisasa Africa nzima pale nanenane Dodoma , tinajenga sports complex ya kisasa Kawe, tunakarabati viwanja 7 na kuvifanya viwe vya kisasa. As you are aware our Football Premere League is ranked 7th in the Continent.
Lastly, quick question;
Why do you call these Juakali structures International ?
View attachment 2609241
View attachment 2609242
View attachment 2609243
For athletics mostly.Kwamba in Cundustan republic standards hii ni stadium hahah
View attachment 2609246
Woza viwango vyenu ni chini sana mzeeFor athletics mostly.
Local stadiums zinashinda hizi zenu za serikali ukiondoa mkapa.Woza viwango vyenu ni chini sana mzee
FIFA Inasema kenya hakuna kiwanja standard hata moja wew hizo facts unatoa wapLocal stadiums zinashinda hizi zenu za serikali ukiondoa mkapa.
Plus running track zinaviwango standard kabisaaa
Safi sana kumbe mna heshima na Mkapa eehh.Local stadiums zinashinda hizi zenu za serikali ukiondoa mkapa.
Plus running track zinaviwango standard kabisaaa
What about world Athletics Association inasema aje?FIFA Inasema kenya hakuna kiwanja standard hata moja wew hizo facts unatoa wap
We bhana hizo takataka CCM walijenga miaka mingi sana nyuma nyie mnajenga leo Halaf mnaongea humu .. hizo running track hazitafsiri ubora wa uwanja bro .. running track zipo hadi kwenye viwanja vya shule za msingiLocal stadiums zinashinda hizi zenu za serikali ukiondoa mkapa.
Plus running track zinaviwango standard kabisaaa
Pitia hii video ujifunze vile ubora wa uwanja wa mpira wa miguu unafaa kuwa 👇. Huu ni uwanja wa club tu hapa Tz .. Chamazi stadiaWhat about world Athletics Association inasema aje?
Ama kwenu uwanja ni WA mpira pekee!!
Nchi. Ovyo sana.
Ushamba gani inazidi ile ya kushangaa ujenzi wa residential apartment in a city??Upuuzi mtupu uliochanganyika na ushamba wa kinyang’au😂